Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida mna utani kueni serious niwape link mzigo Bei sawa na bure🤣sitaki faida kubwa we enjoy stimu mi nipate Hela kidogo
Kuna ishu ya kuhamisha masalia ya kaburi kutoka sehem moja kwenda kwingine...tambiko lake ni hatari nimewai kushudia moja ilo! unahamisha mifupa na mizimu ukikosea masharti unajikuta umeacha mizimu umeondoka na mifupa mitupu..hatariMimi babu yangu miaka hiyo alipokuwaga Williamson diamond mwadui anakuambia wazungu walikuwa wanapiga matambiko ya maana hadi kutoa sadaka,chinja sana mbuzi huko
Matambiko waafrika tunayapoteza wenyewe,kwa kuleta dharau
Wazungu wenyewe wana rituals zao
Wanafanya
Ova
Nipo serious kabsaa nahitaji mzigo nipo dar we upo wapShida mna utani kueni serious niwape link mzigo Bei sawa na bure[emoji1787]sitaki faida kubwa we enjoy stimu mi nipate Hela kidogo
Ndo nimetoka ibadani hapa ngoja nkapate msosi! Upo dar maeneo gnNipo serious kabsaa nahitaji mzigo nipo dar we upo wap
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mbweni ila popote naweza kukufuataNdo nimetoka ibadani hapa ngoja nkapate msosi! Upo dar maeneo gn
Unaweza kuelezea kwa undani mkuu?Kuna ishu ya kuhamisha masalia ya kaburi kutoka sehem moja kwenda kwingine...tambiko lake ni hatari nimewai kushudia moja ilo! unahamisha mifupa na mizimu ukikosea masharti unajikuta umeacha mizimu umeondoka na mifupa mitupu..hatari
inawezekana mkuu...Una
Unaweza kuelezea kwa undani mkuu?
Nashangaa wasomi uchwala wafia dini. Hivi kuna dini ambayo haimini mizimu, nini maana holly Gost ama roho mtakatifu.? Na je hao mitume mnaoaminishwa wapo hai ama walikufaAsante kwa Bandiko lenye imani za mizimu ndani yake.
ACHA IMANI POTOFU MKUU
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Naomba ueleze kidogo mkuu nina sababu muhimuinawezekana mkuu...
Hakuna Cha mudflow,land slide,debris flow ,ni kukaidi Mila na desturi za eneo husika zisifanyike ,Wakuu,kwa taarifa nilizozipata mlima Hanang' hua unautaratibu wa kufanyiwa matambiko,
Mlima ulianza kuunguruma tangu mwezi wa Tisa ,wazee wa mlima Hanang' wanajua ulikua unaashiria Nini
Mlima huo unapoanza kutoa ngurumo na kutikisika wazee hua wanajua unaashiria Nini
Kikawaida hua wanapanda mlimani wazee wa kibarabaigi huufanyia matambiko kwa kuchinja ng'ombe,pombe na hatimie mizimu husikia na kutulia
Kilichotokea Hanang' mlima ulianza kuunguruma Toka mwez wa 9 na kutikisika kidogo,kama kawaida ya Mila na desturi lazima tambiko lifanyike
Wazee wakajipanga wakati wanaenda mlimani wakakutana na watu wa misitu(maliasili) wakafukuzwa milimani
Wazee waliapa kitachotokea mwaka huu lazima nchi itikisike ,baada ya siku 3 likatokea la kutokea watu zaidi ya 80 wamekufa
Hakuna Cha mudflow,land slide,debris flow ,ni kukaidi Mila na desturi za eneo husika zisifanyike ,
Chonde chonde serikali,YA KAISARI MUWAACHIE YA KAISARI ,yakwenu fanyeni yenu,
Tumepoteza watu wengi kisa tunajifanya hatujui Mila na desturi za eneo husika
Kama unabisha waulize watu wa Hanang' asili ya mlima huo
Mlima hanang iliumbwa na Mungu.Wakuu,kwa taarifa nilizozipata mlima Hanang' hua unautaratibu wa kufanyiwa matambiko,
Mlima ulianza kuunguruma tangu mwezi wa Tisa ,wazee wa mlima Hanang' wanajua ulikua unaashiria Nini
Mlima huo unapoanza kutoa ngurumo na kutikisika wazee hua wanajua unaashiria Nini
Kikawaida hua wanapanda mlimani wazee wa kibarabaigi huufanyia matambiko kwa kuchinja ng'ombe,pombe na hatimie mizimu husikia na kutulia
Kilichotokea Hanang' mlima ulianza kuunguruma Toka mwez wa 9 na kutikisika kidogo,kama kawaida ya Mila na desturi lazima tambiko lifanyike
Wazee wakajipanga wakati wanaenda mlimani wakakutana na watu wa misitu(maliasili) wakafukuzwa milimani
Wazee waliapa kitachotokea mwaka huu lazima nchi itikisike ,baada ya siku 3 likatokea la kutokea watu zaidi ya 80 wamekufa
Hakuna Cha mudflow,land slide,debris flow ,ni kukaidi Mila na desturi za eneo husika zisifanyike ,
Chonde chonde serikali,YA KAISARI MUWAACHIE YA KAISARI ,yakwenu fanyeni yenu,
Tumepoteza watu wengi kisa tunajifanya hatujui Mila na desturi za eneo husika
Kama unabisha waulize watu wa Hanang' asili ya mlima huo
Naamini wewe ndiye unaimani potofu. huyu anaongelea Imani ya asili yake. Kumbuka hapo watu waliku wanapajua kuwa Pana volcano, na utaratibu wake wa kuituliza kwa asili.Asante kwa Bandiko lenye imani za mizimu ndani yake.
ACHA IMANI POTOFU MKUU
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Yaani hata taarifa hukuskia kwenye vyombo vya habari waathirika walivyohojiwa asubui waliskia sauti ya muungurumo kama volcano,nyinyi mnoishi kwa niaba ya hisani ya Facebook,Instagram, TikTok mnashidaMlima unanguruma kama tumbo la njaa siyo.
Mkubwa wa kaz watoto hawaezi kukuelewaMarekani tu mpaka leo red Indians wanaendeleza mila zao,na wamarekani wanaitambua mila zao
Wakati msiba wa malkin uliona wale askari wakiwa na mbuzi,wee endelea kusema kusema ohh mila potofu
Hivi unajuwa wakati wazungu wako shinyanga mwadui kwenye almost
Huko walikuwa wanafanya matambiko
Nyie endeleeni kuleta dharau
Ova
Umeongea vema sana Mkuu. Naye ni Mzimu sema ukiwaleza wafia dini. Mmoja nimeona anasema Acha Imani potofu, nikajiuliza mwenye Imani potofu yupi anaeabudu Mila zake au anaeabudu za wazungu, yupi amepotoka kiimani.?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Watakwambia mtakatifu yesu alikataa matambiko ya mizimu ya mababu, alafu ukikaa ukifikiri utagundua yesu na watakatifu wenzie nao ni mizimu ya kiyahudi tu sema wamepewa majina mazuri.
Yesu na muhamadi nao ni mizimuAsante kwa Bandiko lenye imani za mizimu ndani yake.
ACHA IMANI POTOFU MKUU
KaziKweliKweli/JobTrueTrue