Kwa maafa ya Hanang' serikali iwe inasikiliza wazee

Pikiniki ya kwenda kupiga pombe na nyama huko mlimani ikatibuliwa na askari wa misitu. Mlima ukakasirika na kuangukia mji.
Wazee wa kikombe wengi bado wapo kupotosha watu.
 
Kuna ishu ya kuhamisha masalia ya kaburi kutoka sehem moja kwenda kwingine...tambiko lake ni hatari nimewai kushudia moja ilo! unahamisha mifupa na mizimu ukikosea masharti unajikuta umeacha mizimu umeondoka na mifupa mitupu..hatari
 
WAAFRIKA TUNA IMANI ZETU, WAARABU NA WAZUNGU WAKATUKATAZA KUFUATA DINI ZETU, WAKATULETEA ZA KWAO WAKASEMA DINI YAO NDIYO NZURI NA YETU WAKAITA USHENZI, AJABU NA SISI TUKAONA KWELI DINI YETU NI USHENZI, TUKAONA UKRISTO NA UISLAM NDIZO DINI ZA MUNGU.
#Tujitafakari.
Ajabu tumelishwa imani zao kiasi tunaweza hata kupigana na kuuana kwa kuzitetea imani zao.
 
Mlima unanguruma kama tumbo la njaa siyo.
 
Una
Kuna ishu ya kuhamisha masalia ya kaburi kutoka sehem moja kwenda kwingine...tambiko lake ni hatari nimewai kushudia moja ilo! unahamisha mifupa na mizimu ukikosea masharti unajikuta umeacha mizimu umeondoka na mifupa mitupu..hatari
Unaweza kuelezea kwa undani mkuu?
 
Asante kwa Bandiko lenye imani za mizimu ndani yake.

ACHA IMANI POTOFU MKUU

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Nashangaa wasomi uchwala wafia dini. Hivi kuna dini ambayo haimini mizimu, nini maana holly Gost ama roho mtakatifu.? Na je hao mitume mnaoaminishwa wapo hai ama walikufa
 
Hakuna Cha mudflow,land slide,debris flow ,ni kukaidi Mila na desturi za eneo husika zisifanyike ,


Sent using Jamii Forums mobile app
 
"" Tutakapofanikiwa kujikomboa kifikra dhidi ya dini tulizoletewa na wakoloni, hapo ndipo tutapoionyesha dunia sisi ni nani,na huu ndiyo utakuwa ukombozi wa kweli wa mwafrika, yaani, ameweza kujitambua na kujielewa!""
Ni ngumu mno kuuondoa utumwa huu,una mizizi iliyoenda mbali mno.
#By crocodiletooth.
 
Mlima hanang iliumbwa na Mungu.

Mwenye kustahili Ibada ni Mungu pekee.

Wazee hao wachawi ndo chanzo Cha Umaskini wa Watanzania, watu wa Giza.

Wapotezwe kabisa.
 
Asante kwa Bandiko lenye imani za mizimu ndani yake.

ACHA IMANI POTOFU MKUU

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Naamini wewe ndiye unaimani potofu. huyu anaongelea Imani ya asili yake. Kumbuka hapo watu waliku wanapajua kuwa Pana volcano, na utaratibu wake wa kuituliza kwa asili.
 
Mlima unanguruma kama tumbo la njaa siyo.
Yaani hata taarifa hukuskia kwenye vyombo vya habari waathirika walivyohojiwa asubui waliskia sauti ya muungurumo kama volcano,nyinyi mnoishi kwa niaba ya hisani ya Facebook,Instagram, TikTok mnashida
 
M
Mkubwa wa kaz watoto hawaezi kukuelewa
 
Watakwambia mtakatifu yesu alikataa matambiko ya mizimu ya mababu, alafu ukikaa ukifikiri utagundua yesu na watakatifu wenzie nao ni mizimu ya kiyahudi tu sema wamepewa majina mazuri.
Umeongea vema sana Mkuu. Naye ni Mzimu sema ukiwaleza wafia dini. Mmoja nimeona anasema Acha Imani potofu, nikajiuliza mwenye Imani potofu yupi anaeabudu Mila zake au anaeabudu za wazungu, yupi amepotoka kiimani.?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…