Kwa maafa ya Hanang' serikali iwe inasikiliza wazee

Hawakutia laana, maana yao ni kuwa kwa kuwa wamezuiwa kuzuia janga acha litokee na tutajuta.

Siku hizi mtu anaweza kuwa na shahada halafu kilaza.
 
Unachosema nilishakisikia wiki iliyopita na pia waliofariki ni zaidi ya watu mia 2 lakini serikali inatangaza miili iliyopatikana...maiti zimeoza na kuna hatari ya magonjwa ya mlipuko....
Mkuu watu wanaoishi kwa hisani ya mitandao hivi vitu hawawez kuamini,wawaulize watu wa Hanang' ndo wanajua ukweli,Hadi leo watu wa geology hawajui Ile ni volcano,mudflow,land slide,debris flow haijulikani chanzo nini
 
Unachosema nilishakisikia wiki iliyopita na pia waliofariki ni zaidi ya watu mia 2 lakini serikali inatangaza miili iliyopatikana...maiti zimeoza na kuna hatari ya magonjwa ya mlipuko....
Mkuu watu wanaoishi kwa hisani ya mitandao hivi vitu hawawez kuamini,wawaulize watu wa Hanang' ndo wanajua ukweli,Hadi leo watu wa geology hawajui Ile ni volcano,mudflow,land slide,debris flow haijulikani chanzo nini
 
Juzi nilikutana na mzungu katika kupiga stori nikawa namwambia sisi waafrica tunaamini katika dini ila mambo yakiwa magumu tunaingia kwenye mizimu(Ancestors) Akanambia Hata wao Wazungu Wana mizimu Akanambia nchi inayoongoza Kwa Uchawi ulaya ni Romania.Akasema kwao pia Ukraine uchawi upo sana na watu wanaroga,Sema wenyewe wameupa jina Good magic.Pia Akanambia technology zozote unaziona duniani Zina Asili ya uchawi ndo maana mtu anaweza kuroga gari isiwake na wakati ni vyuma tupu.
 

Wale red indians lazima waendeleze mila zao pale maana ndio mother land yao hakuna wakuwakataza maana hao wengine wote ni wakuja
 
Karibu mkuu mtarajiwa kijana kutoka Kolomije ameonekana huko Hanang akitoa maagizo kwa vyombo vya usalama.?
 
Naomba ueleze kidogo mkuu nina sababu muhimu
Hii ilikuwa West Manyara kabila wanyaturu...picha linaanza pombe ya kienyeji inaandaliwa inawekwa kwenye mtungi mkubwa, baada ya hapo inaenda kuwekwa kaburini usiku inalala pale kuamkia siku ya tambiko, alfajiri saa 11 mtungi unaenda kuondolewa chap kabla hamjaamka ili wengine msione whats goin on..watu wakiamka wazee wa mila wanaanza shughuli za tambiko analetwa kondoo mweupe anaanza kufanyiwa vitu vya ajabu ajabu...ananyweshwa ile pombe,wengine wanainywa uku wanamtemea mdomoni, wanampaka mafuta ya ng'ombe yale meupe NB;sio ya njano, hapo wanaongea maneno ya kikwao wanaongea na mizimu...kondoo akisha jaa tumbo yupo dhofurihali hana nguvu tena kwa vituko alivofanyiwa wanamchinja...wanampasua ile mbolea ya utumbo mdogo inamwagwa kaburini yani unachota na mkono af unairusha kwenye kaburi huku unaongea kikabila...mkimaliza nyama ya kondoo inapikwa mnakula af mifupa yote mnaenda kutupa kaburini ile ngozi yake inakatwa vipande mnavalishwa kama pete...baada ya hapo mnaanza kuchimba kaburi mnatoa masalia...mnatembea kwa mguu mpaka kaburi jipya kwenda kuzika hamtakiwi kupanda usafiri wowote...hapo mkikosea mkapanda gari mizimu inarudi kule mnaenda kuzika mifupa mitupu...kwahio kaburi halisi ni kule mizim ilipo hata ukienda kuomba kaburi jipya pale ni empty hakuna majibu coz mizimu mmeiacha kule kaburi la zamani...hayo nimeyaona tu siyajui kiundani mimi nimezaliwa LATE NINETY'S..
 
Nimekusoma mkuu
 
Umeongea vema sana Mkuu. Naye ni Mzimu sema ukiwaleza wafia dini. Mmoja nimeona anasema Acha Imani potofu, nikajiuliza mwenye Imani potofu yupi anaeabudu Mila zake au anaeabudu za wazungu, yupi amepotoka kiimani.?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Inasikitisha sana.
 
Kama mtu haamini mila ni kimpango wake aisee mila ndio imani zetu mama.
 
VOLCANIC ERUPTION.

BAHATI MVUA ILINYESHA LAVA ONHEKUWA YA MOTO WATU WANHEYEYUKA.
 
Huu si uongo ni UWONGO. mkikaa kilabuni na kunywa chang'aaa mkalewa mnaanza kusifiana ujinga kama huu
 
Weeeeeeh.... Sema kweli
 
Sasa milima imeahanyeshwa damu na kula nyama miaka na miaka imeshiba sasa imeamua kutapika..yani imevimbiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…