Kwa maamuzi haya ya Rais Trump bila shaka Hayati Magufuli alikuwa mbele ya muda

Una akili ndogo sana. Ok.
1. Kujitegemea na covi 19 zinahusiana vipi ? Hata hivyo badala ya kuchanja alisema peta hivyo hivyo immunity yako inatosha
Tuanzie hapa ili tumjue mwenye akili ndogo , katika watanzania 60 M walisema hawataki chanjo?

Hiyo joint statement nani alitumwa awasemee, je hujiulizi baada ya Magufuli kufa chanjo zikaingia waliochanjwa kwani walikodiwa kutoka Malawi ?
2. Unadhani Covi 19 haukuwa mradi? Mbona dunia sasa haihangaiki na ujinga huo?
Thibitisha Covid-19 ulikuwa mradi.

Weka hapa rejea 5 katika vyanzo vinavyoaminika ikiwemo shirika la afya duniani.
3. Sasa ARV utakosa tuone utakula vocha gani
Mimi nimesema wapi ninatumia ARV halafu wewe nani alikwambia ARV ni chakula hadi mtu ale?
4. Afrika jipange kujitegemea acha kuomba omba utaolewa.
Rudia kusoma ulichoandika huko juu na hapa namba 4 uone kama utaelewa ulichoandika.
Kama umechafukwa njoo na povu
Hizi lugha sio jukwaa lake , peleka mahali pake sio hapa.
 
Watakaosoma watakuelewa. PERIOD
 
Weka hapa rejea ya watanzania wangapi walichanjwa hiyo chanjo yako
 
Umemjibu vyema sana
 
Pesa za ndani ambazo zimefichwa na viongozi waafrica huko nje ya Africa, zinazidi hadi bajeti zetu za ndani kwa mwaka.

Na mzungu siyo Fala akukopeshe pesa yake, anacho fanya ni pesa zile zile ambazo viongozi waafrica wanaficha nje, wao wanazirudisha kuzikopesha nchi nchi hizo za Africa tena kwa riba kubwa, maana ulaya huwezi weka pesa ako benki eti ikae tu isizungushiwe biashara.

Tafsiri yake ni nini, tafsiri ni kwamba viongozi wengi waafrica kwa sababu ya kukosa akili na kuendekeza maslahi binafsi wanajiibia wenyewe kupeleka pesa ulaya na marekani alafu zinarudishwa zile zile kukopeshwa sisi.
 
Kuna kibibi kinapenda kuomba na kukopa kama kimezaliwa tumbo moja na matonya.

Hicho hakiwezi kuacha kuomba na kukopa.

Kinavyopenda vijihela, kitaenda kuomba hata kusikoombeka. Kinaweza kwenda kuomba hata Somalia.
 
Kuna kibibi kinapenda kuomba na kukopa kama kimezaliwa tumbo moja na matonya.

Hicho hakiwezi kuacha kuomba na kukopa.

Kinavyopenda vijihela, kitaenda kuomba hata kusikoombeka. Kinaweza kwenda kuomba hata Somalia.
Hahaha
 
Kwa nini Watanzania wote million 63 hawakuchanjwa?
Jibu swali hao waliochanjwa ni kutoka Burundi?

Bila kunyimwa haki yao kwa chanjo kuzuiwa wangechanya wapi ?

Ndio maana chanjo ilipofika wakuchajja walichanja kwa hiyari yao na wasiotaka hawakuchanja.
 
Cheti feki! umekaa sumu na hasira, chuki na njaa dhidi ya marehemu
 
Cheti feki! umekaa sumu na hasira, chuki na njaa dhidi ya marehemu
Kila mtu akiongelea ujinga wa yule mwehu mnasema ni cheti feki.

Kama aliwaaminisha hakopi anatumia pesa za ndani mkaamini basi hata kila anayemkosoa mtasema ni cheti feki.
 
"Na Mimi nataka niseme, watanzania mtanikumbuka. Na mtanikumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya. Kwasababu nime sacrifice maisha yangu kwa wananchi masikini"
 
"Na Mimi nataka niseme, watanzania mtanikumbuka. Na mtanikumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya. Kwasababu nime sacrifice maisha yangu kwa wananchi masikini"
Ni kweli tunakumbuka
 
wewe ndio punguani usiyeweza hata kusoma nyakati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…