Kwa madereva: Tuliowahi kutokewa na mauzauza barabarani tupeane uzoefu

Kwa madereva: Tuliowahi kutokewa na mauzauza barabarani tupeane uzoefu

Kuna siku nilikua natembea njiani Muda wa saa sita hivi
Nilikua navuka uwanja kwenda jirani tu na hapo kama dakika 5hivi.

Ila ajabu kuanzia saa sita nilifka maeneo saa tisa,
Na pale wakati natembea nilikua napishana na watu wako busy kama mchana halafu ni eneo la kijijini,
Lile tukio sitasahau kamwe.

[emoji252] [emoji479]
Mkuu na Walikuwa bize kweli haoo[emoji16][emoji16]ungejaribu hata salamu tu mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu na Walikuwa bize kweli haoo[emoji16][emoji16]ungejaribu hata salamu tu mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikua kama zuzu
Naona tu watu wanapita na kurudi
Wengine wamekaa vikundi,
Na mie natembea
Imagine urefu wa uwanja utembee masaa kadhaa
Kukatisha pale katikati

[emoji252] [emoji479]
 
Kuna siku nilikua natembea njiani Muda wa saa sita hivi
Nilikua navuka uwanja kwenda jirani tu na hapo kama dakika 5hivi.

Ila ajabu kuanzia saa sita nilifka maeneo saa tisa,
Na pale wakati natembea nilikua napishana na watu wako busy kama mchana halafu ni eneo la kijijini,
Lile tukio sitasahau kamwe.

[emoji252] [emoji479]
Mkuu USIKU ni kwa ajili ya VISIVYOONEKANA KWA MACHO,,,unapaswa utulie,,sio muda wa kurandaranda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikua kama zuzu
Naona tu watu wanapita na kurudi
Wengine wamekaa vikundi,
Na mie natembea
Imagine urefu wa uwanja utembee masaa kadhaa
Kukatisha pale katikati

[emoji252] [emoji479]
Dah aisee sasa mkuu hukuona kama unatembea sana ukachoka ama ulitembea kiasi cha muda ule ule ila kutizama saa inasoma 9?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom