Zamaulid
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 19,697
- 15,497
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sukamahela...nina demu wangu paleMwaka juz Nimekula shavu la kupeleka it border lusumo gali aina ya Subaru imprezza basi kama Kawa kwa kuwa gali lenyewe lilikuwa la race lilinikosesha hela lilikuwa linachukua watu wawili tu asiliamia kubwa ndani lilikuwa na mabomba ambayo yamefungwa gali zima endapo likipinduka lisiumie... Basi nimetoka yard kurasini break Rombo nikapata kichwa cha kwenda tinde njia panda kahama mwanza... Basi piga gia piga gia gali lilikuwa linakimbia sana... Kuna sehemu ukitoka dodoma mbele kuna kijiji kinaitwa saka mahela basi eneo hilo niko kibati mbaya tunapiga story mishale ya 9 kwenda 10 Ghafla abiria akaniambia watu hao kuja kutaamaki kundi la watu liko mbele basi nilipita katikati no watu no nini.... Abiria alishangaa sana nikamwambia hiyo ni michezo ya usiku Road
Sent using Jamii Forums mobile app
Unitagdouh!! pole sna mdada,, ulikuw vyombo nn cku hyo??
mi nlikua na kidem ki1 hv recently af kumbe ni kichawi asee,,kisa chake ntaeleza cku ingine
Sent from my GT-I9505 using JamiiForums mobile app
sasa kama mko na mama mkwe?Siku ingine ikigoma kuwaka inatakiwa dereva avue nguo zote abakie uchi linawaka anapiga gia hadi mkitoka maeneo hayo anavaa nguo kuendelea na safari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha chai mzee baba humu tunasoma mpk mawaziriMimi nilikuwa naendesha baiskeli mida ya saa moja usiku kutoka Cheyo kwenda Isevya gafla nikakutana na demu mkali sanaaaaa mwarabu amejazia vishungi balaaa . .sikumkwepa akacheka sanaaaa akanambia nimefaulu mtihani wa kumkarawila nilitafuna balaaaaa...leo nipo N.I.T nasomea udereva niwe dereva wa malori nikatafune majini njiani
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuh dunia hii inamengi sanaaaa!! Pole sana mkuunyie haya mambo ya kiswahili yasikie kwa wenzako kama huamini uwepo wa Mungu, nakumbuka ilikuwa mwaka 2013 natoka sehemu moja inaitwa buyuni ipo ukipita kimbiji kigamboni huko, narudi zangu magomeni, nilikuwa nimeenda kuchukua kuku nina kijifarm kule, sasa kufika mitaa ya cheka nasikia kuku wanalia kama bundi ni asubuhi tu ya saa tatu, nikageuka niangalie huwezi amini nikamwona bibi mmoja anatembea yupo nyuma ya gari yaani namwona kupitia site mirror yule bibi namfahamu ni jirani yangu kule buyuni wakat natoka kule nilimwacha anafagia kieneo chake, nilipata mshtuko mkubwa sana kwa kuwa sikuwa kwenye speed kali nikapaki gari pembeni nikasali sana nilipomaliza nikawasha gari nakuondoka nilipiofika kivukon nikamwona tena, kwa kifupi mpaka nafika home kuku wote 31 wamekufa, nikauza lile eneo na ndio ukawa mwisho wa mimi kwenda tena kule
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungebeba tuu ukatoe huduma, acha uogaKuna siku ilikuwa 2007. Nikitoka Arusha kwenda Dar saa Saba Nane usiku nilikuwa napita maeneo ya kwedikwazu. Kuna mahala Barbara imenyooka Sana Basi nikawa natembea speed 100-120.
Kuna mrembo mmoja mdada akawa anasimamisha gari akiomba lift. Nikapiga taa kubwa kumwona vizuri mrembo haswaa, sikusimama nikanuoosha goti, huku najiuliza huyu anaenda Wapi saa hizi,. Bwana ile nampita kwa speed ile alinipiga busu Mara tatu hapo dirishani. Maana sikuwa nimefunga madirisha ili nipigwe upepo nisilale. Nilifika dar Sina raha kutwa nzima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kura yangu umeipata mkuu, hapo tutajua mengi ya baharini/ziwani pia.
Pole sana kiongozi... hiyo ndio dunia tunayoishi mkuunyie haya mambo ya kiswahili yasikie kwa wenzako kama huamini uwepo wa Mungu, nakumbuka ilikuwa mwaka 2013 natoka sehemu moja inaitwa buyuni ipo ukipita kimbiji kigamboni huko, narudi zangu magomeni, nilikuwa nimeenda kuchukua kuku nina kijifarm kule, sasa kufika mitaa ya cheka nasikia kuku wanalia kama bundi ni asubuhi tu ya saa tatu, nikageuka niangalie huwezi amini nikamwona bibi mmoja anatembea yupo nyuma ya gari yaani namwona kupitia site mirror yule bibi namfahamu ni jirani yangu kule buyuni wakat natoka kule nilimwacha anafagia kieneo chake, nilipata mshtuko mkubwa sana kwa kuwa sikuwa kwenye speed kali nikapaki gari pembeni nikasali sana nilipomaliza nikawasha gari nakuondoka nilipiofika kivukon nikamwona tena, kwa kifupi mpaka nafika home kuku wote 31 wamekufa, nikauza lile eneo na ndio ukawa mwisho wa mimi kwenda tena kule
Sent using Jamii Forums mobile app