Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
Marekani imepeleka angalau ndege sita za kivita aina ya B-2 stealth katika kisiwa cha Diego Garcia, hatua inayotafsiriwa kama onyo kwa Iran kufuatia kuongezeka kwa mvutano Mashariki ya Kati.
Ndege hizo, ambazo ni asilimia 30 ya ndege zote za aina hiyo za Marekani, zimeonekana kupitia picha za satelaiti za Planet Labs.
Diego Garcia iko umbali wa takriban maili 2,400 kutoka pwani ya kusini ya Iran.
Mtaalamu wa masuala ya kijeshi Cedric Leighton amesema hatua hii ni ujumbe kwa Iran kusitisha msaada wake kwa waasi wa Houthi na huenda pia ni njia ya kuishinikiza Iran kuhusu makubaliano mapya ya nyuklia.
My take: Kwa mtindo huu Iran anatakiwa akae kwa kutulia ama sivyo anaweza kupigwa na kitu kizito sana bila yeye kutegemea.
================================================
The United States has deployed at least six B-2 stealth bombers to Diego Garcia, a remote island in the Indian Ocean, marking a significant shift in its military posture.
The move, which accounts for 30% of the US Air Force’s stealth bomber fleet, is widely interpreted as a message to Iran amid rising tensions in the Middle East, reported CNN.The B-2s, each worth approximately $2 billion, were captured in satellite images from Planet Labs on Tuesday, showing them stationed on the airbase’s tarmac.
The images also revealed tankers, cargo aircraft, and shelters that could be concealing additional bombers. Diego Garcia, a joint US-British military base, is strategically located about 2,400 miles from Iran’s southern coastline.
Former US Air Force Colonel and CNN military analyst Cedric Leighton explained that the deployment of these advanced aircraft serves as a warning to Iran.
“The deployment of these B-2s is clearly designed to send a message – perhaps several messages – to Iran,” Leighton said. “One of them could be a warning to cease supporting the Houthis in Yemen. Another message the Trump administration might be sending to Iran is that it wants a new nuclear deal.”