Ali akipigwa mabomu, wewe msungunsu wa kata ya Muhunze inakupunguzia bei ya unga wa mahindi?habari mpya duniani hivi sasa ni mkutano wa USA vs Iran. kama kuna mtu atatuletea habari zozote za nini kimetokea au kinaweza tokea kati ya nchi hizi mbili basi habari zake ndizo breaking news na zinanoga sana kuzisoma. ukweli kabisaa ni bora Ali akapigwa mabomu na kulipuliwa visima vyake vyote vya mafuta kuliko kumuacha awe analeta vita kila kona. unajua jinsi alivyokuwa analipa wamtukanao yesu mwembe chai 1995! Ali si mtu wa kuachiwa madaraka ni lazima apigwe na kunyimwa haki ya kumiliki nukilia
Kwa ulivyo kilaza hujui hata vita ya Congo imekuongezea bei ya usafirishaji, ,maana yake bei ya mafuta yamepanda nchi nzima (angalia hapo chini kutoka February kwenda March) , na wewe kilaza mfia dini ulivyo, maana kila unachoposti humu ni mahaba ya us na israel, pia utalipa kama ni mchele au ugali.....
Na kama Ali akipigwa, yatapanda zaidi ya vita ya Ukrain/Russia, halafu utakuja kulia humu bei ya unga imepanda...