Kwa madude haya Iran inabidi akae kwa kutulia!

Kwa madude haya Iran inabidi akae kwa kutulia!

Picha za hivi punde za setilaiti za Kituo cha Usaidizi wa Wanamaji Diego Garcia katika Bahari ya Hindi zinaonyesha uwepo mkubwa wa wanajeshi/ Ndege-vita za Marekani zikiwa zimeegeshwa kwenye lami: Ndege za masafa mrefu wa B-2 "Spirit", huku moja au mbili zikiwezekana zikiwa zimepakiwa na mabomu. Pia zinazoonekana Tanker sita za kujaza mafuta za angani za KC-135 "Stratotanker" na ndege ya kimkakati ya "Galaxy" ya C-5 "Galaxy". Kwa mtindo huu Iran anatakiwa akae kwa kutulia ama sivyo anaweza kupigwa na kitu kizito sana bila yeye kutegemea.
Hauna kazi ya kufanya??? Unachoandika ni utumbo tu siku zote, mambo ya ndege kuwepo uwanjani na kupigwa Iran mbona haiendani!!!
 
Wewe nyani jitu jeusi lenye pua kubwa na nywele za kipilipili....
una uhusiano gani na us na israeli?
Kwani TAL hakuhusu?
Na je DRC na Sudan sio nyani kama wewe?
Wewe muarabu wa vikindu, una uchungu gani na Iran. Una umaalum gani kuliko ngozi nyeusi iliyobarikiwa mng'ao na uimara.
 
Hauna kazi ya kufanya??? Unachoandika ni utumbo tu siku zote, mambo ya ndege kuwepo uwanjani na kupigwa Iran mbona haiendani!!!
Vikiendana au visiendane wewe kama hazikuhusu pita kushoto najua sana mnavyoumia na safari hii mtaumia sana na mimi Nita endelea kukuumiza sana tu mpaka ujinga ukutoke!!
 
Na mimi toka nijiunge na JF sijawahi kuona mwarabu-koko anaumia anapoona habari znaripotiwa kuhusu Magaidi kama wewe nahisi wewe umeolewa na waarabu maana kwa hasira hizo lazima Una hisa nao!!
Nyani mweusi mimi unaniita niko huku nakula Pasaka ki Robo safi nikirudi nitakujuza uje unipokee uwanjani Nguruwe wewe!!
Hongera sana mkuu
 
Pumbavu...
Jukwaa la kimataifa linahusu mabwana zenu wazungu...
Kwanini tusijue Kagame ametushinda wapi mpaka akatuzolea wanajeshi wetu na kuwarudisha kama mateka?
Unahasira za kijinga mno shekhe

Na wewe, leta hizo habari za Rwanda, yeye kaleta hizo!
 
Picha za hivi punde za setilaiti za Kituo cha Usaidizi wa Wanamaji Diego Garcia katika Bahari ya Hindi zinaonyesha uwepo mkubwa wa wanajeshi/ Ndege-vita za Marekani zikiwa zimeegeshwa kwenye lami: Ndege za masafa mrefu wa B-2 "Spirit", huku moja au mbili zikiwezekana zikiwa zimepakiwa na mabomu. Pia zinazoonekana Tanker sita za kujaza mafuta za angani za KC-135 "Stratotanker" na ndege ya kimkakati ya "Galaxy" ya C-5 "Galaxy". Kwa mtindo huu Iran anatakiwa akae kwa kutulia ama sivyo anaweza kupigwa na kitu kizito sana bila yeye kutegemea.
Hiyo kambi ipo muda mrefu,na huwa na askari elfu 50 wa marekani na uingereza,tatizo ujinga umekujaa
 
Hiyo kambi ipo muda mrefu,na huwa na askari elfu 50 wa marekani na uingereza,tatizo ujinga umekujaa
Wote tu Najua kambi hiyo ipo muda mrefu lakini Ulivyo mjinga na mpumbavu unafikiri ndege hizo zinakaa hapo muda wote. Ndege zote hizo zote zina kambi zake siyo hapo. Hapo zipo kwa kazi maalum na zikimaliza zitaondoka kurudi kwenye kambi zake. Wewe endelea kuota ndoto za Mwendawazimu tu.
 
Marekani imepeleka angalau ndege sita za kivita aina ya B-2 stealth katika kisiwa cha Diego Garcia, hatua inayotafsiriwa kama onyo kwa Iran kufuatia kuongezeka kwa mvutano Mashariki ya Kati.

Ndege hizo, ambazo ni asilimia 30 ya ndege zote za aina hiyo za Marekani, zimeonekana kupitia picha za satelaiti za Planet Labs.

Diego Garcia iko umbali wa takriban maili 2,400 kutoka pwani ya kusini ya Iran.

Mtaalamu wa masuala ya kijeshi Cedric Leighton amesema hatua hii ni ujumbe kwa Iran kusitisha msaada wake kwa waasi wa Houthi na huenda pia ni njia ya kuishinikiza Iran kuhusu makubaliano mapya ya nyuklia.

My take: Kwa mtindo huu Iran anatakiwa akae kwa kutulia ama sivyo anaweza kupigwa na kitu kizito sana bila yeye kutegemea.

================================================

The United States has deployed at least six B-2 stealth bombers to Diego Garcia, a remote island in the Indian Ocean, marking a significant shift in its military posture.

The move, which accounts for 30% of the US Air Force’s stealth bomber fleet, is widely interpreted as a message to Iran amid rising tensions in the Middle East, reported CNN.The B-2s, each worth approximately $2 billion, were captured in satellite images from Planet Labs on Tuesday, showing them stationed on the airbase’s tarmac.

The images also revealed tankers, cargo aircraft, and shelters that could be concealing additional bombers. Diego Garcia, a joint US-British military base, is strategically located about 2,400 miles from Iran’s southern coastline.

Former US Air Force Colonel and CNN military analyst Cedric Leighton explained that the deployment of these advanced aircraft serves as a warning to Iran.

“The deployment of these B-2s is clearly designed to send a message – perhaps several messages – to Iran,” Leighton said. “One of them could be a warning to cease supporting the Houthis in Yemen. Another message the Trump administration might be sending to Iran is that it wants a new nuclear deal.”

View attachment 3303395
Si ulishatoa hii habar au huu ni mzigo mwingine
 
Wote tu Najua kambi hiyo ipo muda mrefu lakini Ulivyo mjinga na mpumbavu unafikiri ndege hizo zinakaa hapo muda wote. Ndege zote hizo zote zina kambi zake siyo hapo. Hapo zipo kwa kazi maalum na zikimaliza zitaondoka kurudi kwenye kambi zake. Wewe endelea kuota ndoto za Mwendawazimu tu.
Hizo ndege zimeongezwa tu,zilikuwepo aina hiyo hapo,na zinatumika kupiga houthi, maana intelligence society ya USA imetoa tathmini kuwa mashambulizi yote dhidi ya houthi yana ufanisi 2% au hakuna kabisa,hivyo Iran yenye bunkers bora zaidi ya houthi, shambulizi halitokua na maana zaidi ya suicide
 
Hiyo 2% umeitoa wapi? Kwa akili yako ndogo unafikiri wanaweza kufanya kazi isiyo na maana? Unafikiri Marekani ni Wamatumbi wanapigana kwa panga na Upinde?
 
Attachments

  • document_6046489361996847032.mp4
    3.7 MB
Back
Top Bottom