Kwa madude haya Iran inabidi akae kwa kutulia!

Ali akipigwa mabomu, wewe msungunsu wa kata ya Muhunze inakupunguzia bei ya unga wa mahindi?
Kwa ulivyo kilaza hujui hata vita ya Congo imekuongezea bei ya usafirishaji, ,maana yake bei ya mafuta yamepanda nchi nzima (angalia hapo chini kutoka February kwenda March) , na wewe kilaza mfia dini ulivyo, maana kila unachoposti humu ni mahaba ya us na israel, pia utalipa kama ni mchele au ugali.....
Na kama Ali akipigwa, yatapanda zaidi ya vita ya Ukrain/Russia, halafu utakuja kulia humu bei ya unga imepanda...

 
Huyu kilaza sijawahi kuona anachangia kwenye mada za mustakabali wa hii nchi...
Kutwa kucha ni mada za mashariki ya kati na ghuba ya uajemi utadhani ni mzayuni mweusi walimsahau huku.....
Paka wa kujituma wenyewe.
 
Huyu kilaza sijawahi kuona anachangia kwenye mada za mustakabali wa hii nchi...
Kutwa kucha ni mada za mashariki ya kati na ghuba ya uajemi utadhani ni mzayuni mweusi walimsahau huku.....
Mada za ndani nimekuachia wewe uhangaike nazo!! Nakushangaa sana wewe kutumia sana Ninapoongelea mada za Mashariki ya kati na Uajemi bila shaka yeyote wewe ni Mwarabu-koko
 
Mkuu vipi kuhusu Congo na Rwanda wamemalizana au
 
Huyu badala ya kutumia nguvu kutangaza utalii wa Tanzania anatumia nguvu kupromote nchi ya kiyahudi? Alafu watu wazima kabisa wanadanganywa eti hayo makaburi hapo ndio watakuwa wa kwanza kunyakuliwa!!! Hahahha ila hizi dini tumezifanya tunazijua kuliko waanzilishi
 
Mbona wewe unaabudu ng’ombe hatukusemi?
 
Ilibidi nimtolee uvivu huyu kilaza
Hawa ndio wale darasani tulikuwa tunaita "busy for nothing", hakosi kila somo lakini kichwa boksi kwenye mitihani...
Kushabikia hivi udini ni dalili ya ukilaza...
 

Waislamu hatuamini kwamba mwanadamu ameumbwa kwa sura ya asili ya Mungu.

Mungu haonekani kama wanadamu au kuwa na mapungufu ya asili ya ubinadamu.

Yeye hana mikono na miguu kama sisi, wala Yeye si wa nyama na damu

Hoja ya Wakristo ni kufuru kwa mujibu wa Uislamu.

Uislamu unafundisha kwamba Mungu alipulizia roho yake ndani ya wanadamu wote, lakini sisi hatujaumbwa kwa sura yake, wala hatushiriki mfano wake.

“Mtanifananisha na nani, au kunihesabu kuwa sawa na nani? Mtanifananisha na nani ili tulinganishwe? ( Isaya 46:5, NIV )

Mtanifananisha na nani, na kunifananisha na nani, ili tufanane? (Isaya 46:5, KJV)

Maana ni nani mbinguni awezaye kulinganishwa na BWANA? ni nani miongoni mwa wana wa Mungu awezaye kufananishwa na BWANA? ( Zaburi 89:6 )

Mstari wa Mwanzo uliongezwa na wapagani ambao waliamini kuwa walikuwa "mfano" wa mungu wao.

Kitabu cha Mwanzo kilitungwa upya na Ezra, ambaye alifanya masahihisho ya Biblia baada ya utumwa wa Babeli.

Vitabu hivyo viliharibiwa na majeshi ya Mfalme Nebukadneza.

Ezra alirudi Yerusalemu mwaka wa 458 K.W.K. baada ya kuandika tena Torati kutoka kwa kumbukumbu, mabadiliko kadhaa yalifanywa.

Vitabu vya Agano la Kale vinawakilisha uteuzi wa urithi wa fasihi wa Waisraeli ambao uliandikwa, kunakiliwa, kutafsiriwa, kurekebishwa, na kuongezwa polepole kama nyenzo za kisheria au za apokrifa, wakati wa karne kadhaa baada ya kuondoka kwa Musa (amani iwe juu yake).

Marekebisho na masahihisho ya Biblia bado yanaendelea hadi leo kwa kujitegemea na madhehebu tofauti ya Kikristo
 
Umechanganyikiwa? Toka lini wewe ukaijuq Bible? Nakushauli tu ujikite kwenye Quran unayoijua achana na Bible utaokotq makopo muda si mrefu!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…