Themagufulianz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2017
- 4,548
- 1,988
Waziri Mkuu na Kamati Ya Usimamizi Wa Serikali (PAC) ya bungeni yote, wanatakiwa wajiuzulu haraka sana kwa maslahi ya taifa letu. Hii ni kashfa kubwa haijawahi kutokea nchini tokea tumepata uhuru.
Hata kashfa za Richmond/Dowans/Escrow hazijafikia kiasi hichi, hizo kashfa zote za ufisdai hata ukizionganisha pamoja hazijafikia hii ya safari hii.
Haya sasaRipoti hii ya CAG imeacha Serikali uchi na Waziri Mkuu kiongozi wa shughuli za kila siku za Serikali na msimamizi wa shughuli za Serikali za kila siku anapaswa aachie ngazi mara moja.
Ni aibu kwa madudu haya mpaka sasa upo ofisini, unafanya nini? Ona aibu mwenyewe uchukue hatua kwa heshima yako.
Nashangaa Mawaziri wanavyokuwa na makamera kuwajibisha vidagaa, wakuu wa shule kisa milioni 2 haikufanya manunuzi sahihi na huku mapapa wanakula watakavyo.
Kassim Majaliwa must go
Ripoti hii ya CAG imeacha Serikali uchi na Waziri Mkuu kiongozi wa shughuli za kila siku za Serikali na msimamizi wa shughuli za Serikali za kila siku anapaswa aachie ngazi mara moja.
Ni aibu kwa madudu haya mpaka sasa upo ofisini, unafanya nini? Ona aibu mwenyewe uchukue hatua kwa heshima yako.
Nashangaa Mawaziri wanavyokuwa na makamera kuwajibisha vidagaa, wakuu wa shule kisa milioni 2 haikufanya manunuzi sahihi na huku mapapa wanakula watakavyo.
Kassim Majaliwa must go
Ukisema waziri mkuu ajiuzulu bado kuna aliyekuwa makamu wa Rais naye anatakiwa afanyeje?Ripoti hii ya CAG imeacha Serikali uchi na Waziri Mkuu kiongozi wa shughuli za kila siku za Serikali na msimamizi wa shughuli za Serikali za kila siku anapaswa aachie ngazi mara moja.
Ni aibu kwa madudu haya mpaka sasa upo ofisini, unafanya nini? Ona aibu mwenyewe uchukue hatua kwa heshima yako.
Nashangaa Mawaziri wanavyokuwa na makamera kuwajibisha vidagaa, wakuu wa shule kisa milioni 2 haikufanya manunuzi sahihi na huku mapapa wanakula watakavyo.
Kassim Majaliwa must go
Hata Rais wa sasa aachie ngazi maana alikuwa sehemu ya serikali, hilo jambo haliwezekani wote waliohusika na ubadhilifu washugulikiwe ikiwemo spika kwani alionywa muda mrefu kwa bunge kushindwa kuisimamia serikali
Eti mkombozi wa wanyonge na mzalendo wa wadanganyikaHii ripoti ya CAG imetuonyesha,kutufundisha na kutuonya kuwa tunahitaji taasisi imara na siyo mtu mmoja mwizi na fisadi anayejidai na kujinadi imara.
Amepisha uchunguziRais wetu mwacheni inawezekana mwenda zake alikuwa hashauriki!
Mwache arekebishe yale aliyokuwa anashauri na kubakia kuzodolewa!
Huyu ndo anafahamu mapungufu yote! Nitamtetea mpaka pale itakapoonekana na yeye anaelekea mle.mle mwa mwandazake!
Msije kuishia kule kule mlipoanzia kumsema JK dhaifu then mkaletewa Dikteta ambaye kila mtu alikuwa analia na kusaga meno. Mara mtamzania kashasahau.
Tumwache arudishe nchi inapotakiwa kuwa! Huenda tukapata hata katiba mpya kipindi hiki!
Inatakiwa kuanzia Samia na cabinet yake yotete na bunge zima waachie ngazi kumwandama majaliwa peke yake ni kumuonea MPANGO awaeleze wananchi
makamu wa rais ni kivuli tu na ukizingatia aina ya rais tuliyekuwa nae huwezi kutoa lawama hata 0%..Hata Rais wa sasa aachie ngazi maana alikuwa sehemu ya serikali, hilo jambo haliwezekani wote waliohusika na ubadhilifu washugulikiwe ikiwemo spika kwani alionywa muda mrefu kwa bunge kushindwa kuisimamia serikali
PAC kazi yao ni kuisimamia serikali, kuishauri na kuizuia serikali kufanya project zitakazo sababisha hasara kwa taifa. Na PAC sio tu wanafanya kazi kwa kuletewa documentation juu ya meza na kuzifanyia kazi, pia wanayo mamlaka huru ya kuamua kufanya uchunguzi wao wenyewe kujiridhisha kwa kuunda tume.PAC wanahusikaje mkuu?
Wao wanasubiri tu taarifa ya mwisho..
Hawahusiki na usimamizi before taarifa.
Nijuze nijifunze kitu ndugu
Waziri Mkuu, Ndugai, Tulia, Mganga, Jafo, Ummy wote wanatakiwa kujihuzulu haraka snRipoti hii ya CAG imeacha Serikali uchi na Waziri Mkuu kiongozi wa shughuli za kila siku za Serikali na msimamizi wa shughuli za Serikali za kila siku anapaswa aachie ngazi mara moja.
Ni aibu kwa madudu haya mpaka sasa upo ofisini, unafanya nini? Ona aibu mwenyewe uchukue hatua kwa heshima yako.
Nashangaa Mawaziri wanavyokuwa na makamera kuwajibisha vidagaa, wakuu wa shule kisa milioni 2 haikufanya manunuzi sahihi na huku mapapa wanakula watakavyo.
Kassim Majaliwa must go
Naunga mkono hoja aseemakamu wa rais ni kivuli tu na ukizingatia aina ya rais tuliyekuwa nae huwezi kutoa lawama hata 0%..
🤣🤣🤣Eti mkombozi wa wanyonge na mzalendo wa wadanganyika
makamu wa rais ni kivuli tu hasa kwenye utawala wa rais aliyepita hata ungekuwa ni wewe ungefyata mkia...kwani mama wa watu hajipendi..Kwa nini Majaliwa tu?? SAMIA SULUHU HASSAN inabidi naye ajiuzulu, tungekuwa na bunge msumeno lingepiga VOTE of No Convidence hawa wote waondoke, hata madudu yalilindwa na wao, waondoke Uchaguzi mwingine ufanyike. Au apewe Interim President tuweke katiba MPYA. Full spot.
Majaliwa anatakiwa kuachia ngazi harakaMh. Majaliwa na vigogo wenzako wa awamu ya tano, hapa tulipo sasa tunasubiria ripoti tokea:
1. CAG matumizi ya pesa BOT Jan - March 31 kama ilivyoagizwa na mh. Rais.
2. Tume ya kitalaamu kuhusiana na Corona.
Ukijumlisha na kilichotolewa jana na CAG ni ajabu na kweli kuwa mungali bado ofisini.
Hivi mnajinasibu kuwa mna mtumikia nani?