Kwa ‘madudu’ haya kwenye ripoti ya CAG, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa achia ngazi

PAC wanahusikaje mkuu?
Wao wanasubiri tu taarifa ya mwisho..

Hawahusiki na usimamizi before taarifa.

Nijuze nijifunze kitu ndugu
Waziri Mkuu na Kamati Ya Usimamizi Wa Serikali (PAC) ya bungeni yote, wanatakiwa wajiuzulu haraka sana kwa maslahi ya taifa letu. Hii ni kashfa kubwa haijawahi kutokea nchini tokea tumepata uhuru.

Hata kashfa za Richmond/Dowans/Escrow hazijafikia kiasi hichi, hizo kashfa zote za ufisdai hata ukizionganisha pamoja hazijafikia hii ya safari hii.
 
Ripoti hii ya CAG imeacha Serikali uchi na Waziri Mkuu kiongozi wa shughuli za kila siku za Serikali na msimamizi wa shughuli za Serikali za kila siku anapaswa aachie ngazi mara moja.

Ni aibu kwa madudu haya mpaka sasa upo ofisini, unafanya nini? Ona aibu mwenyewe uchukue hatua kwa heshima yako.

Nashangaa Mawaziri wanavyokuwa na makamera kuwajibisha vidagaa, wakuu wa shule kisa milioni 2 haikufanya manunuzi sahihi na huku mapapa wanakula watakavyo.

Kassim Majaliwa must go
Haya sasa
 
Nakazia:

Ukisema waziri mkuu ajiuzulu bado kuna aliyekuwa makamu wa Rais naye anatakiwa afanyeje?
 
Hata Rais wa sasa aachie ngazi maana alikuwa sehemu ya serikali, hilo jambo haliwezekani wote waliohusika na ubadhilifu washugulikiwe ikiwemo spika kwani alionywa muda mrefu kwa bunge kushindwa kuisimamia serikali

Rais wetu mwacheni inawezekana mwenda zake alikuwa hashauriki!

Mwache arekebishe yale aliyokuwa anashauri na kubakia kuzodolewa!

Huyu ndo anafahamu mapungufu yote! Nitamtetea mpaka pale itakapoonekana na yeye anaelekea mle.mle mwa mwandazake!

Msije kuishia kule kule mlipoanzia kumsema JK dhaifu then mkaletewa Dikteta ambaye kila mtu alikuwa analia na kusaga meno. Mara mtamzania kashasahau.

Tumwache arudishe nchi inapotakiwa kuwa! Huenda tukapata hata katiba mpya kipindi hiki!
 
Amepisha uchunguzi
 
Inatakiwa kuanzia Samia na cabinet yake yotete na bunge zima waachie ngazi kumwandama majaliwa peke yake ni kumuonea MPANGO awaeleze wananchi

Rais wetu mwacheni inawezekana mwenda zake alikuwa hashauriki!

Mwache arekebishe yale aliyokuwa anashauri na kubakia kuzodolewa!

Huyu ndo anafahamu mapungufu yote! Nitamtetea mpaka pale itakapoonekana na yeye anaelekea mle.mle mwa mwandazake!

Msije kuishia kule kule mlipoanzia kumsema JK dhaifu then mkaletewa Dikteta ambaye kila mtu alikuwa analia na kusaga meno. Mara mtamzania kashasahau.

Tumwache arudishe nchi inapotakiwa kuwa! Huenda tukapata hata katiba mpya kipindi hiki!
 
Hata Rais wa sasa aachie ngazi maana alikuwa sehemu ya serikali, hilo jambo haliwezekani wote waliohusika na ubadhilifu washugulikiwe ikiwemo spika kwani alionywa muda mrefu kwa bunge kushindwa kuisimamia serikali
makamu wa rais ni kivuli tu na ukizingatia aina ya rais tuliyekuwa nae huwezi kutoa lawama hata 0%..
 
PAC wanahusikaje mkuu?
Wao wanasubiri tu taarifa ya mwisho..

Hawahusiki na usimamizi before taarifa.

Nijuze nijifunze kitu ndugu
PAC kazi yao ni kuisimamia serikali, kuishauri na kuizuia serikali kufanya project zitakazo sababisha hasara kwa taifa. Na PAC sio tu wanafanya kazi kwa kuletewa documentation juu ya meza na kuzifanyia kazi, pia wanayo mamlaka huru ya kuamua kufanya uchunguzi wao wenyewe kujiridhisha kwa kuunda tume.

2010 - 2015 PAC waliwahi kuunda tume huru kwenda kuchunguza migodi ya mwadui, buzwagi na kwengine. Walikua wakifanya kazi huru.

Kwa miaka 5 (2015 - 2020) PAC imeshindwa kuisimamia serikali katika project za ATCL na TTCL mpaka kufikua hatua imesababisha mabillioni ya hasara.

1) PAC kwanini hawakuizuia serikali isiingie kichwa kichwa kwenye ku invest hela nyingi sana katika hizo project??? Licha ya baadhi ya wabunge wa upinzani/mashirika ya ndege/wafanyabiashara/wanaharakati kuonya kwamba biashara hio ni kichaa.

2) Wakisema hatukujua kama project hizo zilikua zinaingiza kiasi hicho cha hasara. Je, walifanya jambo gani ku minimize hasara??? Waliunda tume kuchunguza hayo waliokua wakiambiwa na serikali ili kuyathibitisha???

3) Ni aibu PAC kupewa kazi ya kuisimamia serikali, halafu mabillioni ya hasara serikali inaliingiza taifa bila wao PAC kujua, wanakuja kujua CAG anapotoa mahesabu. Je CAG asingetoa hayo mahesabu au angedanganya ina maana PAC wasingejua??? Kuna haja gani ya kuwa na PAC bungeni kama hawajui hata mashirika ya serikali yanaingiza hasara nchi???

Na cha zaidi, hata waliojaribu kuwaambia ukweli, waliowaona ni wabaya. Mfano, SPEAKER NDUGAI akumbushwe CAG Prof Assad alifanya ukaguzi wa mahesabu ya serikali, na aligundua huu ushenzi na madudu yote yaliofanyika... Ila aliposema kweli na kuweka wazi report yake, alikua mkali na kiherehere namba moja kumkashifu, kumwekea tamko la kutokufanya nae kazi, na kumdhalilisha kwa kumvua mkanda mpaka viatu siku anaingia bungeni. Wabunge wa CCM walimuunga mkono Speaker wao.

Sasa, CAG Kichere nae ameongea yale yale aliosema mwalimu wake CAG Prof Assad. Na yeye weka zuio la kufanya nae kazi bungeni!!!

Kifupi, wameshindwa kufanya kazi zao, walikubali kudanganywa na wakadanganyika. Walishindwa kutumia mamlaka yao huru ya kufanya uchunguzi kujiridhisha project za serikali zinaendeshwa kwa faida au hasara.
 
Ripoti hii ya CAG imeacha Serikali uchi na Waziri Mkuu kiongozi wa shughuli za kila siku za Serikali na msimamizi wa shughuli za Serikali za kila siku anapaswa aachie ngazi mara moja.

Ni aibu kwa madudu haya mpaka sasa upo ofisini, unafanya nini? Ona aibu mwenyewe uchukue hatua kwa heshima yako.

Nashangaa Mawaziri wanavyokuwa na makamera kuwajibisha vidagaa, wakuu wa shule kisa milioni 2 haikufanya manunuzi sahihi na huku mapapa wanakula watakavyo.

Kassim Majaliwa must go
Waziri Mkuu, Ndugai, Tulia, Mganga, Jafo, Ummy wote wanatakiwa kujihuzulu haraka sn
 
Mh. Majaliwa na vigogo wenzako wa awamu ya tano, hapa tulipo sasa tunasubiria ripoti tokea:

1. CAG matumizi ya pesa BOT Jan - March 31 kama ilivyoagizwa na mh. Rais.

2. Tume ya kitalaamu kuhusiana na Corona.

Ukijumlisha na kilichotolewa jana na CAG ni ajabu na kweli kuwa mungali bado ofisini.

Hivi mnajinasibu kuwa mna mtumikia nani?
 
Kwa nini Majaliwa tu?? SAMIA SULUHU HASSAN inabidi naye ajiuzulu, tungekuwa na bunge msumeno lingepiga VOTE of No Convidence hawa wote waondoke, hata madudu yalilindwa na wao, waondoke Uchaguzi mwingine ufanyike. Au apewe Interim President tuweke katiba MPYA. Full spot.
 
Kujiuzulu hakutasaidia, bali wakiri udhaifu na wakubali kujirekebisha.
Mama aanzishe Mchakato wa katiba mpya itakayo towa mwanya kwa wakosefu kuchukuliwa hatua badala ya kulindwa na katiba, akiwemo Raisi mwenyewe.
 
Kwa nini Majaliwa tu?? SAMIA SULUHU HASSAN inabidi naye ajiuzulu, tungekuwa na bunge msumeno lingepiga VOTE of No Convidence hawa wote waondoke, hata madudu yalilindwa na wao, waondoke Uchaguzi mwingine ufanyike. Au apewe Interim President tuweke katiba MPYA. Full spot.
makamu wa rais ni kivuli tu hasa kwenye utawala wa rais aliyepita hata ungekuwa ni wewe ungefyata mkia...kwani mama wa watu hajipendi..
 
Majaliwa alituwekea vidole juu tulipoulizia afya ya marehemu, sasa ni zamu yake.
 
Mh. Majaliwa na vigogo wenzako wa awamu ya tano, hapa tulipo sasa tunasubiria ripoti tokea:

1. CAG matumizi ya pesa BOT Jan - March 31 kama ilivyoagizwa na mh. Rais.

2. Tume ya kitalaamu kuhusiana na Corona.

Ukijumlisha na kilichotolewa jana na CAG ni ajabu na kweli kuwa mungali bado ofisini.

Hivi mnajinasibu kuwa mna mtumikia nani?
Majaliwa anatakiwa kuachia ngazi haraka
 
Back
Top Bottom