Ukisema ukweli jiandae yeye alitakiwa kupamba na kupamba tena sio kupaka matope, anafukuza wateja nani atakubari akavalishwe headphones dakika 45 amelala kwenye mashine na vipimo vinatoka tofauti? Ila hapo kwenye kuvaa headphones nimecheka sanaMuhimbili hawato mmaind kweli !?
WatatijijuaMuhimbili hawato mmaind kweli !?
Ila inaumiza sana.. Sisi 2024 kama sio kujiongeza tungempoteza ndugu yetu.. Inauma sana.. Kapasuka bandama wao wanasema kateguka nyongaHahaha nimeishia kucheka tu hakuna namna hahaha eti unavalishwa Headphones wewe umekua DJ?
πππ So you mean who cares !?Watatijijua
Nchini Tanganyika tunafanyiwa mambo ya kipumbavu sana. Watu wengi wanakufa kwa sababu ya matibabu mabovu kwa kutumia mashine zilizokufa na kutupwa huko Ulaya halafu zikaokotwa na kuletwa Tanganyika kwa ajili ya kuwaua raia wasiokuwa na hatia. Inauma na inahudhunisha sana. Hivi ni lini serikali hii ya wakoloni weusi (CCM) itaanza kujali maisha ya raia.Ila inaumiza sana.. Sisi 2024 kama sio kujiongeza tungempoteza ndugu yetu.. Inauma sana.. Kapasuka bandama wao wanasema kateguka nyonga
πππ Serikali yenyewe inavyopenda uchawa hii na kusifiwa sifiwa halafu yeye ana waponda , Ngoja kwanza tuone hili movieUkisema ukweli jiandae yeye alitakiwa kupamba na kupamba tena sio kupaka matope, anafukuza wateja nani atakubari akavalishwe headphones dakika 45 amelala kwenye mashine na vipimo vinatoka tofauti? Ila hapo kwenye kuvaa headphones nimecheka sana
Duuh hii ilikuaje mkuu emu simulia kidogo yaan mashine ilisoma ameteguka nyonga ila mlipojiongeza kwenda kupima kwengine ikasoma kapasuka bandama?Ila inaumiza sana.. Sisi 2024 kama sio kujiongeza tungempoteza ndugu yetu.. Inauma sana.. Kapasuka bandama wao wanasema kateguka nyonga
Asante mamba kwa kutuambia ukweli kuhusu uozo wa Muhimbili na jinsi wanavyowaua kimyakimya watanzania wasiokuwa na hatia.Inahuzunisha sana maelezo aliyotoa gwiji na mhasisi wa bongo fleva Godfrey Tumaini Dudu Baya vipimo alivyofanya Muhimbili kuwa siyo sahihi na uhalisia.
Anasema asingeenda India angepooza milele.
Katumia dollar elfu 20 kufuata matibabu India.
Msikilize zaidi hapo chini kwenye Video.
View attachment 3556025
ππ Hao mabwege sindio waliwahi kupata Kesi ya kumfanyia upasuaji wa kichwa mgonjwa wakati alipaswa kufanyiwa upasuaji wa mguu,Ila inaumiza sana.. Sisi 2024 kama sio kujiongeza tungempoteza ndugu yetu.. Inauma sana.. Kapasuka bandama wao wanasema kateguka nyonga
Wa-mind nini? Kasema uongo? Tanzania tumekuwa waoga mpaka kiongozi wa serikali akikukanyaga unaogopa kusema kwa uogopa kuwa ata-mind! By the way na yeye ni wale wale wenye mawazo finyu tu. Anauliza waziri na rais kama wanajua? Wanang'ang'ania uongozi kwa kuua bila kujua matatizo ya nchi? Huu ujinga wa sisi watanzania wa kudhani huduma na vifaa vya hospital ni vibaya eti kwa sababu rais hajui utaisha lini? Mbona wanajua kuna mechi za kununua magoli? Mbona wanajua kuna mishangingi iliyozeeka inaitwa mama Kanumba inahitaji gari la kutembelea? Jinga kabisa haya ma-viongozi.Muhimbili hawato mmaind kweli !?
tanganyika ndio nini na ni kakitu gani hako kwanza gentleman?Nchini Tanganyika tunafanyiwa mambo ya kipumbavu sana. Watu wengi wanakufa kwa sababu ya matibabu mabovu kwa kutumia mashine zilizokufa na kutupwa huko Ulaya halafu zikaokotwa na kuletwa Tanganyika kwa ajili ya kuwaua raia wasiokuwa na hatia. Inauma na inahudhunisha sana. Hivi ni lini serikali hii ya wakoloni weusi (CCM) itaanza kujali maisha ya raia.
Cc MamaSamia2025 ChoiceVariable Tlaatlaah Ritz Lucas mwashamba Lucas Mwashambwa
Jibu hoja kwanza. Usidandie treni kwa mbele.tanganyika ndio nini na ni kakitu gani kwanza gentleman?
Mamba kaamua kuweka mambo hadharani....liwalo na liwe....kama watamteka na kumuua wamuue tu. Watazaliwa mamba wengine.Wakati wengine wamechagua Uchawa, Mamba kachagua ukweli
πππ Mbona wanajua kuwa bitchuka anaumwa na wamempelekea Hela malizia na hiyo ,Wa-mind nini? Kasema uongo? Tanzania tumekuwa waoga mpaka kiongozi wa serikali akikukanyaga unaogopa kusema kwa uogopa kuwa ata-mind! By the way na yeye ni wale wale wenye mawazo finyu tu. Anauliza waziri na rais kama wanajua? Wanang'ang'ania uongozi kwa kuua bila kujua matatizo ya nchi? Huu ujinga wa sisi watanzania wa kudhani huduma na vifaa vya hospital ni vibaya eti kwa sababu rais hajui utaisha lini? Mbona wanajua kuna mechi za kununua magoli? Mbona wanajua kuna mishangingi iliyozeeka inaitwa mama Kanumba inahitaji gari la kutembelea? Jinga kabisa.