Kwa maelezo haya ya Dudu Baya ukiwa na hela bora ukatibiwe India

Kwa maelezo haya ya Dudu Baya ukiwa na hela bora ukatibiwe India

Inahuzunisha sana maelezo aliyotoa gwiji na mhasisi wa bongo fleva Godfrey Tumaini Dudu Baya vipimo alivyofanya Muhimbili kuwa siyo sahihi na uhalisia.

Anasema asingeenda India angepooza milele.

Katumia dollar elfu 20 kufuata matibabu India.

Msikilize zaidi hapo chini kwenye Video.


Soma ufafanuzi wa Muhimbili:Muhimbili watolea ufafanuzi Hoja zilizotolewa na Dudubaya kuhusu MRI
Hapo kwenye uasisi wa bongo fleva hapan ila gwiji saw
 
Mkuu kuna kitu nyuma ya pazia ukiangalia kwa makini utaona. Umewahi jiuliza masuali haya:-

Afrika tuna ardhi kubwa mashine za kufanyia kilimo zipo kwanini tusiwekeze huko na sisi tukawa wauzaji wakubwa wa Ngano,mchele,mahindi na mafuta ya kupikia?.

Kwanini tuna rasilimali nyingi za kuwa matajiri wakubwa duniani lakini tunashindwa na wenye majangwa na wenye season za snow na vimbunga na miteteko ya ardhi?.

Kuna chochote Afrika tumevumbua ambacho kinasaidia ulimwengu huu au bara hili?.

Kwanini tumejikita sana kwenye dini kuliko uvumbuzi?.
Hivyo ulivyovitaja vinahitaji fedha ila dini inahitaji imani na sio fedha
 
Wabongo wahuni tu hakuna specialist wala nini usanii Tupu imagine daktari bingwa anamiliki bar huo muda wa kufanya mambo ya maana anautoa wapi? Kazi kujisifia Sifia tu wenzetu bingwa anapewa hadi ulinzi mshahara na bima ndio usiseme , huko machawa ndio wanakula nchi
 
Back
Top Bottom