MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Ndiyo.Unauamini ufafanuzi wa MOI?
Ndiyo.Unauamini ufafanuzi wa MOI?
Unaamini shutuma za Dudubaya?Unauamini ufafanuzi wa MOI?
headphone ni speaker na nafahamu ndani ya spika kuna magnet, kwa uelewa wangu lakini.Headphone zina magnet vipi sasa hapa wakati MRI nayo inatumia nguvu hiyo?
Pole mkuu na wengineo wote mliokumbwa na kadhia.Baada ya mke wangu kujifungua mtoto wa pili ziwa moja likaanza kumuuma anaponyonyesha,
Tukaenda kwenye hospitali moja ya serikali,
Wakampima na kumpa dawa azitumie kwa siku 30 kisha turudi tena
Lakini kutokana na maumivu ilibidi mke wangu asitishe kumnyonyesha mtoto, maana pia lile ziwa lilianza kuvimba,
Tukarudi hospitali na kuwaeleza, tukawaambia pia kuwa ziwa lina uvimbe,
Doctor akamcheki tena, akatuuliza bado unanyonyesha? Tukamwambia hapana,
Akasema hiyo ni hali ya kawaida ikiwa utasitisha unyonyeshaji ghafla, akatufafanulia kuwa kuna tezi za maziwa zinaweza kuvimba kwa sababu mtoto hanyonyi, tukapewa dawa na tukaambiwa turudi tena baada ya kumaliza dawa,
Ziwa likazidi kuvimba, tukaenda hospitali binafsi, wakampima upya, wakakata kinyama kwenye ziwa la mke wangu kwa ajili ya vipimo,
Tukaambiwa turudi baada ya wiki mbili,
Tuliporudi tukaambiwa mke wangu ana saratani ya ziwa stage 2 na inaelekea 3, tukaanza matibabu ya saratani haraka, tuliandikiwa tuende KCMC moshi, tukauguza hapo for almost 2 years, akapata nafuu tukarudi nyumbani,
Baada ya muda ikarudi tena, tukarudi kcmc, akatibiwa hapo kwa miezi nane na akafariki hapo , sijui wa kumlaumu hapo, japo moyo wangu haujawahi kupona kabisa, nadhani sekta ya afya kwa nchi hii ina shida kubwa, nakumbuka doctor aliyetupima kwenye hospitali ya serikali tulimkuta tena kwenye hospitali hiyo ya binafsi na akatuhudumia tena.
TEC wanatengewa pesa nyingi na serekali ktk huduma ya afya. Hawana machine.za kisiasa?Ila inaumiza sana.. Sisi 2024 kama sio kujiongeza tungempoteza ndugu yetu.. Inauma sana.. Kapasuka bandama wao wanasema kateguka nyonga
aliandika hivi ndio maana nikaulizaEar protection gear sio headphone. Some kind of earplugs kuziba nasikio sio kusikiliza.
- Vifaa vya kusikilizia (Headphones): Mara nyingi utapewa headphone ambazo hupunguza kelele na wakati mwingine hukuruhusu kusikiliza muziki au maelekezo ya daktari.
Polisi Tanzania yeye hajali kitu, yeye anapiga za vichwa kwa Gen Z, wakiandamana kwa masuala kama hayaInahuzunisha sana maelezo aliyotoa gwiji na mhasisi wa bongo fleva Godfrey Tumaini Dudu Baya vipimo alivyofanya Muhimbili kuwa siyo sahihi na uhalisia.
Anasema asingeenda India angepooza milele.
Katumia dollar elfu 20 kufuata matibabu India.
Msikilize zaidi hapo chini kwenye Video.
View attachment 3556025
Tuliza mihemko nonsense gentlemanUwe na adabu wewe shoga, Tanganyika ni sehemu ya makalio yako.....Kama unadhani hivyo. Mbwa wewe.
Kuna vitu ukiwasikia hawa ma pro wetu unashika kichwa. Nilipata mtoto premature miaka miwili iliopita. Kuna siku madokta wanapita round Dr mmoja katika kumpima Pima mtoto huyo Dr akaropola NASIKIA SAUTI KAMA MOYO WA MTOTO UNA TUNDU! Wife alipaniki sana. Huyo Dr akasema ngoja nikamwite Dr mwenzangu.Kuna foreigner Specialist (kapuni) alimkataa Dr kutoka Hospitali kubwa tu hapa Tz owa sababu anatembea na picha za wagonjwa kwa simu, alimuuliza kwa nini unafanya hivyo alisema " ninakuwa nazo kwenye simu ili nitumie kama reference kwa wagonjwa wakija na kuwaonyesha kuwa huyu kwenye tulimfanyia hivi na hivi na wewe hivyo tutakufanyia" 😂
Huyu Dr ni mkubwa na anaaminiwa kweli na hiyo hospital kubwa hapa Tz kama jembe lao 😄
Hapana nasisi wa Nanjilinji hatuwataki,nani anataka apasuliwe kichwa badala ya mguu? wamalizane hapa hapo Dar,sisi ndio mtuletee mabomuwapeleke Nanjilinji hapo
atapata tu fursa ya matibabu zaidi, ni vizuri awe na heshima kidogoNakusalimu kwa jina la Muungano wa Tanzania Waziri wetu wa AFYA kipenzi cha Watanzania katika mwezi huu mtukufu kabisa wa Ramadan.
Natumaini ujumbe wa Bw. Godfrey TUMAINI a.k.a. Dudubaya au a.k.a. Mamba Twenty Four utakuwa umekufikia huko ulipo kuhusu Mashine zetu za MRI na CT-SCAN Kwamba Serikali mnanunua Second Hand, zinapiga kelele Sana pale zinapohudumia mgonjwa na zinachukua muda mrefu Sana kumchunguza mgonjwa wakati za India hazina kelele na zinatumia dakika 15 tu kumuhudumia mgonjwa.
Pia Dudubaya amezungumzia kuhusu Mashine zetu kutotoa taarifa sahihi kwa lugha nyingine zinadanganya kutoa majibu ya mgonjwa badala ya kutambua tatizo halisi la mgonjwa zinashindwa kufanya hivyo, badala ya mgonjwa kuambiwa anaumwa kichwa ataambiwa anaumwa miguu, na operation itafanyika ya miguu badala ya kichwa - HII NI HATARI SANA KATIKA KARNE HII
Hivyobasi, badala ya kuhangaika na Afisa Kificho wa Teeth katika tasnia ya Sanaa ya Bongo Fleva, Bw. Dudubaya na kuanza kumletea figisu naona Kuna haja ya kufanya mabadiliko chanya pale MOI, maana amesema ni Hospital ya TAIFA ya MOI, piga chini kuanzia DG hadi mkuu wa kitengo cha Radiology Hawa wote wapeleke Nanjilinji hapo weka watu wapya watakaotusaidia sisi wananchi masikini na waliohusika kununua Mashine Mtumba hapo MOI basi TAKUKURU wafanye kazi yao na Mashine Mpya za kisasa muweke kwenye Bajeti ijayo ziweze kununuliwa.
Ni hayo tu
Sijajua huwa wana shida gani mkuu. Nachoka kabisa halafu wakiona wamekosea hata kuwajibishwa hakuna. Sasa fikiria huyo anaongea hata kujali privacy au sababu wanaona wote wanaokuja fata huduma ni vilaza.Kuna vitu ukiwasikia hawa ma pro wetu unashika kichwa. Nilipata mtoto premature miaka miwili iliopita. Kuna siku madokta wanapita round Dr mmoja katika kumpima Pima mtoto huyo Dr akaropola NASIKIA SAUTI KAMA MOYO WA MTOTO UNA TUNDU! Wife alipaniki sana. Huyo Dr akasema ngoja nikamwite Dr mwenzangu.
Nikamwambia wife don't worry hilo Dr pumbavu. Hata mtoto angekuwa na hilo tatizo hakutakiwa kuropoka tu Kuna njia nzuri zaidi na alitakiwa ajiridhishe kabisa ndio atupe taarifa. Lwanza mtoro ana zaidi ya wiki hapa ina maana wengine wote na vipimo vyao hawakuona hilo tatizo? Baadae akaja na ma Dr wengine mwisho wakaondoka kimya kimya mtoto hana tatizo lolote.
sawa wewe chawa ndio una akili timamuHapana. Bila shaka una tatizo la akili.
Inasikitisha sana...Dudu baya watamuua
NIlianza kupiga piga miguu na kugeuka geuka ...wakaja kuniuliza unashida gani?Ulisumbuaje hadi wakakutoa?
Nimecheka ila inasikitisha 😀😀😀NIlianza kupiga piga miguu na kugeuka geuka ...wakaja kuniuliza unashida gani?
Nikasema nimechoka, nitoeni