Kwa maelezo haya ya Dudu Baya ukiwa na hela bora ukatibiwe India

Kwa mujibu wa sheria ya manunuzi ya umma serikali hainunui vitu used. Dudubaya apuuzwe kwa sababu Muhimbili kama hospitali ya serikali haiwezi kuvunja sheria kwa kununua kitu kilichotumika. Kuhusu kuvalishwa headphones tusubiri ufafanuzi wa wataalam.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Yuko sahihi Hospitali za Umma za Bongo ni shida.

Nina hakika huko India alienda private sio za government

Pili sio rahisi Kwa Viongozi wa Juu kujua Kwa sababu wao hawajui hizo mashine na wanaozipwndekeza na watu wa Afya,probably Huwa wanatenga Bajeti ya Mpya lakini Jamaa wanaleta used.
Tlaatlaah vipi hapo chawa mwenzio kaongea uongoo?
 
Una recruit Watu wa D 3 unategemea nini?

Nimewahi andika Uzi wa kupinga huu ujinga ila wapuuzi wakanishambulia.

Haya ndio matokeo Sasa.
Wapi hao mkuu? Polisi? Polisi wanare cruit div IV na 0 tu!
 
Kwa mujibu wa sheria ya manunuzi ya umma serikali hainunui vitu used. Dudubaya apuuzwe kwa sababu Muhimbili kama hospitali ya serikali haiwezi kuvunja sheria kwa kununua kitu kilichotumika. Kuhusu kuvalishwa headphones tusubiri ufafanuzi wa wataalam.
Vipi kuhusu kuvalishwa headphones na kukalishwa kwenye mashine kwa dk 45 wakati mashine za India watu hawavai headphones na wanakaa dk 15 tu? Huoni kuwa MRI za Muhimbili zina kasoro?
 
Ufafanuzi umeshatolewa na MOI.
 
Back
Top Bottom