Kwa maelezo haya ya Dudu Baya ukiwa na hela bora ukatibiwe India

Kuna baadhi ya hospital kule India zinahusika na kutoa organs kwa makusudi kuwa na tahadhari sana. Bora Thailand au Turkey tena kwa check up Thailand bei yake ndogo sana $400 unakutana na wataalamu zaidi ya 6 na kufanyiwa CT scan,MRI,full blood check up na mkojo na kinyesi pia wanaangalia.

Matibabu,Hotel na Visa total haifiki hata $10,000
Just imagine, unatoka Tanzania nchi yenye kila aina ya rasilimali unaenda Thailand kufuata tiba
 
Baada ya mke wangu kujifungua mtoto wa pili ziwa moja likaanza kumuuma anaponyonyesha,

Tukaenda kwenye hospitali moja ya serikali,
Wakampima na kumpa dawa azitumie kwa siku 30 kisha turudi tena

Lakini kutokana na maumivu ilibidi mke wangu asitishe kumnyonyesha mtoto, maana pia lile ziwa lilianza kuvimba,
Tukarudi hospitali na kuwaeleza, tukawaambia pia kuwa ziwa lina uvimbe,

Doctor akamcheki tena, akatuuliza bado unanyonyesha? Tukamwambia hapana,
Akasema hiyo ni hali ya kawaida ikiwa utasitisha unyonyeshaji ghafla, akatufafanulia kuwa kuna tezi za maziwa zinaweza kuvimba kwa sababu mtoto hanyonyi, tukapewa dawa na tukaambiwa turudi tena baada ya kumaliza dawa,
Ziwa likazidi kuvimba, tukaenda hospitali binafsi, wakampima upya, wakakata kinyama kwenye ziwa la mke wangu kwa ajili ya vipimo,
Tukaambiwa turudi baada ya wiki mbili,

Tuliporudi tukaambiwa mke wangu ana saratani ya ziwa stage 2 na inaelekea 3, tukaanza matibabu ya saratani haraka, tuliandikiwa tuende KCMC moshi, tukauguza hapo for almost 2 years, akapata nafuu tukarudi nyumbani,

Baada ya muda ikarudi tena, tukarudi kcmc, akatibiwa hapo kwa miezi nane na akafariki hapo , sijui wa kumlaumu hapo, japo moyo wangu haujawahi kupona kabisa, nadhani sekta ya afya kwa nchi hii ina shida kubwa, nakumbuka doctor aliyetupima kwenye hospitali ya serikali tulimkuta tena kwenye hospitali hiyo ya binafsi na akatuhudumia tena.
Aisee pole sana.
 
Jamaa ajiandae kwenda India for the rest of his life.

Nani atamsaidia hapa bongo kwa kashfa zote hizo.
 
Pole sana
 
Aisee Pole sana,juzi niliwahi kuleta malalamiko kuhusu hospital ya rufaa temeke dogo kafa kizembe kabisa.dep muhimu kama emergency unawaachia interns waongoze unategemea nini?
Hii nchi ya hovyo sana siasa imeharibu sana
 
Just imagine, unatoka Tanzania nchi yenye kila aina ya rasilimali unaenda Thailand kufuata tiba
Mkuu kuna kitu nyuma ya pazia ukiangalia kwa makini utaona. Umewahi jiuliza masuali haya:-

Afrika tuna ardhi kubwa mashine za kufanyia kilimo zipo kwanini tusiwekeze huko na sisi tukawa wauzaji wakubwa wa Ngano,mchele,mahindi na mafuta ya kupikia?.

Kwanini tuna rasilimali nyingi za kuwa matajiri wakubwa duniani lakini tunashindwa na wenye majangwa na wenye season za snow na vimbunga na miteteko ya ardhi?.

Kuna chochote Afrika tumevumbua ambacho kinasaidia ulimwengu huu au bara hili?.

Kwanini tumejikita sana kwenye dini kuliko uvumbuzi?.
 
Kwa mtu ambaye hajawahi uguliwa na mtu wake ugonjwa seriuos atambishia huyo mwamba hospitali zetu choka mbaya hazina wataalamu wala vifaa.
Juzi nimempoteza baba yangu mzazi hospitali ya rufaa mbeya kimzaa tu tulikuwa tumeagizwa tumtafutie chakula tunarudi mzee wetu hajitambui baadaye amefariki bado nalia nimeumia sana.
Wakuu tutunze afya zetu hospitali zetu ni danganya toto ukienda ukirudi shukuru Mungu
Mzee wangu hakuwa wa kufa kwa ugonjwa ule
RIP my father
Pole sana Mkuu
 
Baada ya mke wangu kujifungua mtoto wa pili ziwa moja likaanza kumuuma anaponyonyesha,

Tukaenda kwenye hospitali moja ya serikali,
Wakampima na kumpa dawa azitumie kwa siku 30 kisha turudi tena

Lakini kutokana na maumivu ilibidi mke wangu asitishe kumnyonyesha mtoto, maana pia lile ziwa lilianza kuvimba,
Tukarudi hospitali na kuwaeleza, tukawaambia pia kuwa ziwa lina uvimbe,

Doctor akamcheki tena, akatuuliza bado unanyonyesha? Tukamwambia hapana,
Akasema hiyo ni hali ya kawaida ikiwa utasitisha unyonyeshaji ghafla, akatufafanulia kuwa kuna tezi za maziwa zinaweza kuvimba kwa sababu mtoto hanyonyi, tukapewa dawa na tukaambiwa turudi tena baada ya kumaliza dawa,
Ziwa likazidi kuvimba, tukaenda hospitali binafsi, wakampima upya, wakakata kinyama kwenye ziwa la mke wangu kwa ajili ya vipimo,
Tukaambiwa turudi baada ya wiki mbili,

Tuliporudi tukaambiwa mke wangu ana saratani ya ziwa stage 2 na inaelekea 3, tukaanza matibabu ya saratani haraka, tuliandikiwa tuende KCMC moshi, tukauguza hapo for almost 2 years, akapata nafuu tukarudi nyumbani,

Baada ya muda ikarudi tena, tukarudi kcmc, akatibiwa hapo kwa miezi nane na akafariki hapo , sijui wa kumlaumu hapo, japo moyo wangu haujawahi kupona kabisa, nadhani sekta ya afya kwa nchi hii ina shida kubwa, nakumbuka doctor aliyetupima kwenye hospitali ya serikali tulimkuta tena kwenye hospitali hiyo ya binafsi na akatuhudumia tena.
Daah ebana pole Sana.
 
😄😄 Hao mabwege sindio waliwahi kupata Kesi ya kumfanyia upasuaji wa kichwa mgonjwa wakati alipaswa kufanyiwa upasuaji wa mguu,

Halafu mgonjwa aliyepaswa kufanyiwa upasuaji wa kichwa wakamfanyia upasuaji wa mguu 😄

Nakumbuka ilikuwa enzi ya kikwete
ile kesi ni tofauti
 
Mm ndio maana mtaalamu yoyote Yule aliyesoma TZ akinishauri mambo ya kitaalamu haijalishi ni Kada gani huwa nakuwa makini Sanaa maana mifumo yetu ya Elimu na kutoa huduma naijua, iko corrupt Sana na hakuna mhusika anayejali, Kwa vitu serious lazima uwe makini kweli...Tutafute Sana pesa .
 
Back
Top Bottom