Kwa maelezo ya CDF Mabeyo, Tundu Lissu ni muongo wa kutupwa

Mambo ya Jiwe tuachane nayo! Jiwe alishapumzika,sasa kumhususisha na mambo mengine siyo fair!
Kwa sababu shahidi ambaye angethibitisha kama Lissu amesema kweli au uongo ni Jiwe mwenyewe ambaye ameshalala.

CDF hawezi kusema uongo
 
Mabeyo alibisha?
 
Kwani Mabeyo hawezi kudanganya? hata kama ni kwa sababu za kiusalama?. Kwani alikuonesha picha au video ya Huyo Mtu akiwa Mzena Hadi uamini sana upande wake?

Na mbona Waziri Mkuu alitoa Taarifa kuwa yupo Ofisini? Muongo ni nani kwa upande huo?
 
Ulitaka Mabeyo akueleze nini zaidi ya alichoeleza?

Tatizo nyie uvccm hamuelewi kuwa kuna Wapinzani ambao ni CCM kuliko nyie ndio Sababu wakirudi tu hupokelewa na Vyeo πŸ˜€πŸ˜€
Alitaka aelezwe jinsi "mzarendo" aliyependa vya nyumbani na kukataa kusafiri nje ya nchi alivyosafirishwa kwa matibabu.
 
Kwani Mabeyo hawezi kudanganya? hata kama ni kwa sababu za kiusalama?. Kwani alikuonesha picha au video ya Huyo Mtu akiwa Mzena Hadi uamini sana upande wake?

Na mbona Waziri Mkuu alitoa Taarifa kuwa yupo Ofisini? Muongo ni nani kwa upande huo?
πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Hakuna uongo kwani hakufariki Rais Wa Tanzania?

Mwongo ni yule aliyesema Rais anachapa kazi yuko fiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…