Kwa maelezo ya CDF Mabeyo, Tundu Lissu ni muongo wa kutupwa

CDF ameamua kukitetea chama chake. Ila akumbuke uswazi hatupokei amri za kijeshi.
 
Kama makamu wa rais alifichwa ndiyo utaambiwa ukweli wewe! Mijitu mingine haijielewi kweli.
 
Kwani Mabeyo hawezi kudanganya? hata kama ni kwa sababu za kiusalama?. Kwani alikuonesha picha au video ya Huyo Mtu akiwa Mzena Hadi uamini sana upande wake?

Na mbona Waziri Mkuu alitoa Taarifa kuwa yupo Ofisini? Muongo ni nani kwa upande huo?

Muongo ni Lisu maana alikuwa getoni kwake Ubelgiji
 
Una ujinga mwingi sana hata hao wanaokulipa ni wajinga bora hizo fedha wangezipeleka kwa watoto yatima.
 
Una ujinga mwingi sana hata hao wanaokulipa ni wajinga bora hizo fedha wangezipeleka kwa watoto yatima.

Lakini wewe ni mjinga zaidi ndiyo maana hujikiti kwenye mada
 
Magufuli alishakufa na Mabeyo alishataafu, weka hoja za watu wanao trend sasa hivi. Alafu elewa kwamba mteule wa raisi Nyekundu anaweza akakuambia ni njano na wewe ukaamini.
 
Tutashitakiwa MIGA
Hata hujui kama tulishitakiwa kweli na kulipa mabilioni,kesi nyingine bado ziko mahakamani na makinikia yao walishachukua sijui unaishi kaburini chato hata hujui kinachoendelea. Unajiabisha sana kwa kutoa rejea ya miga kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…