johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Naona umecharuka na NYUZI za JPM!Mara nyingi ndugu wa mgonjwa ndio humfuata baba Paroko na kumuomba ampatie mgonjwa sakramenti ya Mafuta matakatifu
Lakini Shujaa Magufuli yeye mwenyewe alimuagiza CDF awaite Baba Paroko na Kardinali Pengo kwa ajili ya Huduma
Basi Yesu Kristo alisema " Dhambi zenu zijapokuwa Nyekundu zitafanywa nyeupe kama theruji"
Na tena " Watoza Ushuru watatangulia kuuona Ufalme wa Mbinguni kabla yenu"
Ni vema CDF Mabeyo ametoa Ufafanuzi maana umezima uvumi mwingi ukiwemo ule wa COVID 19
Mungu wa Mbinguni mbariki General Mabeyo
Nawewe ujitahidi uje ufanye hivyo.Na Bashite ajitahidi aje afanye hivyo
Aliowakosea Mbona hakuwaita kwanza akawaomba MSAMAHA?Mara nyingi ndugu wa mgonjwa ndio humfuata baba Paroko na kumuomba ampatie mgonjwa sakramenti ya Mafuta matakatifu
Lakini Shujaa Magufuli yeye mwenyewe alimuagiza CDF awaite Baba Paroko na Kardinali Pengo kwa ajili ya Huduma
Basi Yesu Kristo alisema " Dhambi zenu zijapokuwa Nyekundu zitafanywa nyeupe kama theruji"
Na tena " Watoza Ushuru watatangulia kuuona Ufalme wa Mbinguni kabla yenu"
Ni vema CDF Mabeyo ametoa Ufafanuzi maana umezima uvumi mwingi ukiwemo ule wa COVID 19
Mungu wa Mbinguni mbariki General Mabeyo
Kwetu sisi haipo hivyo.....Ondoleo la dhambi linafanywa na mtu mwenyewe kwa imani ma jitiadazake. Dhambi pekee inayotolewa na mtu mwingne ni ile ya mliyoirithi toka kwa baba yenu kaini ya kumuua ndugu yake habil.
Umetoa wapi hii?Aliowakosea Mbona hakuwaita kwanza akawaomba MSAMAHA?
Mungu hutoa MSAMAHA baada ya wewe kusamehewa na uliowakosea
Ampumzike kwa amani mzalendo wa kweli vibaraka wa barrick hawapendi kuisikia hii!Mara nyingi ndugu wa mgonjwa ndio humfuata baba Paroko na kumuomba ampatie mgonjwa sakramenti ya Mafuta matakatifu
Lakini Shujaa Magufuli yeye mwenyewe alimuagiza CDF awaite Baba Paroko na Kardinali Pengo kwa ajili ya Huduma
Basi Yesu Kristo alisema " Dhambi zenu zijapokuwa Nyekundu zitafanywa nyeupe kama theruji"
Na tena " Watoza Ushuru watatangulia kuuona Ufalme wa Mbinguni kabla yenu"
Ni vema CDF Mabeyo ametoa Ufafanuzi maana umezima uvumi mwingi ukiwemo ule wa COVID 19
Mungu wa Mbinguni mbariki General Mabeyo
hiyo ni mjibu wa imani yako sisi wakatoriki dhambi zetu tunaziungama kwa watawa wetuy kama paroko,asjkofi na hata papa. baki na imani yakoOndoleo la dhambi linafanywa na mtu mwenyewe kwa imani ma jitiadazake. Dhambi pekee inayotolewa na mtu mwingne ni ile ya mliyoirithi toka kwa baba yenu kaini ya kumuua ndugu yake habil.
HakikaKama alipata neema hio ya kutubu Mungu anayo majibu
Kusamehewa Dhambi na Utakatifu ni Vitu viwili tofautiKwahiyo Ni Mtakatifu Ama?