Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Hili lazima afe sababu ya ukatili wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😆😆😆😆😆😆Yesu alisema " mtakaowafungia duniani watafungiwa mbinguni na mtakaowafungulia duniani watafunguliwa mbinguni"
Kardinali Pengo na Paroko Makubi walimuongoza Shujaa Magufuli Kufanya Sala ya Toba na wakampaka Mafuta matakatifu
Imani hazifanani Ustaadh 😂😂🔥
Thubutu, mbingu ya nani. Tunapaswa kutubu sasahivi tupo wazima. Ile ya Yule msalabani ni kesi nyingine. Yesu alikuwa bado hajahubiliwa Ulimwenguni. Ndo kwanza kazi ilikuwa Haijaanza alafu wakati ule ilikuwa ngumu Sana kumtambuwa Yesu ndo muokoziDakika yako ya mwisho ukiweza kutubu unakwenda mbinguni,rejea Majambazi mawili yaliyosulubiwa na Bwana Yesu msalabani,mmoja alimtukana na mmoja alitubu na Yesu akamwambia punde utakuwa nami mkono wa kuume wa Mungu Baba.