Kwa maelezo ya CDF mstaafu ni Kwamba Magufuli alipata Msamaha na Ondoleo la Dhambi zake zote mbele ya Kardinali Pengo!

Kwa maelezo ya CDF mstaafu ni Kwamba Magufuli alipata Msamaha na Ondoleo la Dhambi zake zote mbele ya Kardinali Pengo!

Nguvu haihitajiki kumtetea Mwinyi wala Nyerere. Nguvu ya supersonic inahitaji kumtetea Jiwe.
somo: Jitahidi kuishi mkitenda haki
 
Kwamba Pengo anaondoa dhambi za mtu?????😆😆😆
Yesu alisema " mtakaowafungia duniani watafungiwa mbinguni na mtakaowafungulia duniani watafunguliwa mbinguni"

Kardinali Pengo na Paroko Makubi walimuongoza Shujaa Magufuli Kufanya Sala ya Toba na wakampaka Mafuta matakatifu

Imani hazifanani Ustaadh 😂😂🔥
 
Kama alimwongoza Sala ya Toba tunaweza kujifariji kwa hilo!
Lakini vinginevyo kifo ni Siri ya Mungu na mtu wakati wa kufa!
 
Mara nyingi ndugu wa mgonjwa ndio humfuata baba Paroko na kumuomba ampatie mgonjwa sakramenti ya Mafuta matakatifu

Lakini Shujaa Magufuli yeye mwenyewe alimuagiza CDF awaite Baba Paroko na Kardinali Pengo kwa ajili ya Huduma

Basi Yesu Kristo alisema " Dhambi zenu zijapokuwa Nyekundu zitafanywa nyeupe kama theruji"

Na tena " Watoza Ushuru watatangulia kuuona Ufalme wa Mbinguni kabla yenu"

Ni vema CDF Mabeyo ametoa Ufafanuzi maana umezima uvumi mwingi ukiwemo ule wa COVID 19

Mungu wa Mbinguni mbariki General Mabeyo
Huyu huyu Pengo alitukanwa chakari na Mbunge wa Kawe Gwajima baada ya Pengo kubali mahakama ya kaadhi ili wote wakristu tukinywa bia au kutafuna nguruwe wakatunyonge wale wenzetu??
 
Mara nyingi ndugu wa mgonjwa ndio humfuata baba Paroko na kumuomba ampatie mgonjwa sakramenti ya Mafuta matakatifu

Lakini Shujaa Magufuli yeye mwenyewe alimuagiza CDF awaite Baba Paroko na Kardinali Pengo kwa ajili ya Huduma

Basi Yesu Kristo alisema " Dhambi zenu zijapokuwa Nyekundu zitafanywa nyeupe kama theruji"

Na tena " Watoza Ushuru watatangulia kuuona Ufalme wa Mbinguni kabla yenu"

Ni vema CDF Mabeyo ametoa Ufafanuzi maana umezima uvumi mwingi ukiwemo ule wa COVID 19

Mungu wa Mbinguni mbariki General Mabeyo
Mmm. Mwenyezi Mungu ndie anaetoa msamaha
 
Kwetu sisi haipo hivyo.....
Tusipangiane.
Hiyo ni imani yako wewe......

hiyo ni mjibu wa imani yako sisi wakatoriki dhambi zetu tunaziungama kwa watawa wetuy kama paroko,asjkofi na hata papa. baki na imani yako
kama mababu wasiuwawe kwa dhambi za watoto wao wala watoto wao wasiuwawe kwa dhambi za mabbu zao kwamaana kila mtu na mzigo wake, vp mtu aweze kusamehe sambi zako. mapandpqe wanachofanya mi kukuombea tu ila kika mtu anavuna alichopamda. kwa imani ma matendn gan had usamehewe?
 
Mara nyingi ndugu wa mgonjwa ndio humfuata baba Paroko na kumuomba ampatie mgonjwa sakramenti ya Mafuta matakatifu

Lakini Shujaa Magufuli yeye mwenyewe alimuagiza CDF awaite Baba Paroko na Kardinali Pengo kwa ajili ya Huduma

Basi Yesu Kristo alisema " Dhambi zenu zijapokuwa Nyekundu zitafanywa nyeupe kama theruji"

Na tena " Watoza Ushuru watatangulia kuuona Ufalme wa Mbinguni kabla yenu"

Ni vema CDF Mabeyo ametoa Ufafanuzi maana umezima uvumi mwingi ukiwemo ule wa COVID 19

Mungu wa Mbinguni mbariki General Mabeyo
Kwastahili hii basi nyinyi hamna haja na Yesu kristo wala Mungu, wala hamhitaji kusubiri kiama.... sasa kama muna samehe dhambi? jamani Dunia ina vituko..
 
kama mababu wasiuwawe kwa dhambi za watoto wao wala watoto wao wasiuwawe kwa dhambi za mabbu zao kwamaana kila mtu na mzigo wake, vp mtu aweze kusamehe sambi zako. mapandpqe wanachofanya mi kukuombea tu ila kika mtu anavuna alichopamda. kwa imani ma matendn gan had usamehewe?
uandishi wako sijauelewa mkuu
 
Kwa hiyo mnachinja watu makusudi Kisha mnamwita baba paroko akija tayari njia ya kwenda peponi! Ama kweli aliyetuletea hizi Imani ametuondolea ubongo na kubakiziwa kichwa kama pakacha la kufichia meno! Yaani unaua watu makusudi unatesa familia za watu Kisha unamwita baba paroko ambae anatoka kukata Nyagi na kitimoto anakuekea mokono Kisha anakwambia tayari umesha samehewa dhambi zako nawe unaitikia NG'OOO kama juha! SaSa subiri ufe bonge la gogo la moto linaanzia kwenye NKANDU
 
Rehema ya Mungu ilimuongoza Rais John Pombe Magufuli kujua kuwa muda wake wa kuondoka umefika,alisema waambie madaktari waniruhusu niende nyumbani,Gen Mabeyo akajibu Mh suala la afya sina mamlaka nayo, tusubiri madaktari wanasemaje, naomba utulie upo kwenye mikono salama,akasema niitie Paroko wangu wa Oysterbay na Kardinali Pengo,tulimkosa alikuwa kwenye misa lakini baada ya misa Kardinali Pengo alikuja pamoja na Paroko wa Parokia ya Oysterbay wakamsalia na kumpa sakramenti ya upako wa Wagonjwa,wakamuogoza sala ya toba na sala ya mwisho,akapumzika,jioni akakata roho,kwa wakatoliki hiki ni kifo chema na unakwenda mbinguni.

-Mwenye kujaji ni Mungu peke yake Luka 18:9-14

9 Yesu alitoa mfano huu kwa ajili ya wale waliojiona kuwa wao ni wenye haki na kuwadharau wengine. 10 Watu wawili walikwenda hekaluni kusali, mmoja wao alikuwa Farisayo na mwingine alikuwa mtoza ushuru. 11 yule Farisayo alisimama akasali kimoyomoyo. ‘Ninakushukuru Mungu kwa sababu mimi si kama watu wengine: wany ang’anyi, wadhalimu, wazinzi, au kama huyu mtoza ushuru. 12 Mimi nafunga mara mbili kwa juma na kutoa sehemu ya kumi ya mapato yangu.’ 13 Lakini yule mtoza ushuru alisimama mbali. Hakuthubutu hata kuinua uso wake kutazama mbinguni; bali alijipiga kifuani kwa majuto akasema, ‘Mungu, nihurumie, mimi mwenye dhambi.’

14 Nawaambieni, huyu mtoza ushuru alirudi nyumbani akiwa amehesabiwa haki mbele za Mungu na wala si yule Farisayo. Kwa maana ye yote ajikwezaye atashushwa na ye yote ajinyenyekezaye, atainuliwa.” mara nyingi ndugu wa mgonjwa ndio humfuata baba Paroko na kumuomba ampatie mgonjwa sakramenti ya Mafuta matakatifu,lakini Shujaa Magufuli yeye mwenyewe alimuagiza CDF awaite Baba Paroko na Kardinali Pengo kwa ajili ya Huduma,basi Yesu Kristo alisema " Dhambi zenu zijapokuwa Nyekundu zitafanywa nyeupe kama theruji" na tena " Watoza Ushuru watatangulia kuuona Ufalme wa Mbinguni kabla yenu",ni vyema Gen Mabeyo ametoa Ufafanuzi maana umezima uvumi mwingi kama ule wa jamaa wa ubelgiji mara hivi mara vile ukiwemo ule wa COVID 19,

-Kwa Wapagani kama Yericko Nyerere.

Wapo wanaoendelea kumtukana Marehemu,kumhukumu wao wamejigeuza Miungu wanahukumu,wapo wanaokufuru kama vile wao hawaji kufa,wapo wanaosema karma imefanya kazi sababu uongozi wake usalama waliteka,mara walimpiga risasi Lissu,kwa kuwa hakuna anayejua wala msema ukweli wao wanaamini karma imefanya kazi,karma ni malipo ya dhambi,basi kama ni kweli karma imefanya kazi na Hayati amelipa deni la dhambi basi baada ya kulipa malipo ya karma,deni linakuwa limelipwa in full,hivyo hakuna haja ya kuendelea kutukana na kukufuru kwa maana mtu wetu ameingia peponi mbinguni kwa Baba yake,rejea makala ya Pascal Mayala kule jamii forum yenye kichwa Voices From Within:Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni,kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani,Nakuombea nawe ndugu msomaji,Mungu akujalie kujua siku yako ya kufa ili uweze kuandaa nyumba yako na kutubu,kwa maana hakuna binadamu mkamilifu hata mmoja.

Nikiishia hapa, Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854

-Bachelor of business administration in International business.

-Master of Leadership and Management.

Recent Publications;-
-Assessment on the Effects of Micro-financing on Poverty Reduction.
 
Back
Top Bottom