Father of All
JF-Expert Member
- May 30, 2026
- 458
- 843
Hoja iko wazi.
Naomba niwasilishe.
Naomba niwasilishe.
Wale mashehe wanaotoa kauli za kutishia waumini wao mida ya Alfajiri. Mnawasaidia vip?Vipaza sauti kwenye hali gani?
Kama n kwenye hali ya kusikilizana wenyewe kwa wenyewe hapo ndani bc n sahihi, ila ikiwa kero kwa jamii ya nje bc sio sahihi.
Wewe unaeamini kuwa kuna malaya 72 wana kusubiria siku ukifa ndio una akili kweli?Huna akili
Sasa hao n sio sahihi, ila wale majamaa wana mikwara kinoma hasa wakianza ongelea ishu za vifo 🙌Wale mashehe wanaotoa kauli za kutishia waumini wao mida ya Alfajiri. Mnawasaidia vip?
Wale 90% ni maskiniSasa hao n sio sahihi, ila wale majamaa wana mikwara kinoma hasa wakianza ongelea ishu za vifo 🙌
Kwa mitazamo yenu finyu,mlitaka nisapoti ujinga wenu.Wewe unaeamini kuwa kuna malaya 72 wana kusubiria siku ukifa ndio una akili kweli?
Shetan siku zote anachukia AzanUsiombe uishi katikati ya msikiti na kanisa la kilokole.. wohiii wohii
Mchungaji kafunga vyombo vya band full misebene ya Yesu ya mkesha wa kufukuza umaskini..!! Usiku mzima mabati yanatikisika mpaka panya nao wanaamua kusafiri kwa muda wanakususia ghetto..!!
Saa 10 usiku panatulia, unasema sasa nipate lepe la usingizi walau hata lisaa saa 12 niamke nijiande mguu wa kutoka..!!
Kabla hujalaza mbavu..
Laulaaaaahhh..!!
Msikitini unasikia spika kama la wauza sumu za mende na viroboto linaanza kukoroma..!!
Adhana inalia unaambiwa iko kitanda unachoringia ni kaburi lako..!! 😹
😁😁😁Adhana inalia unaambiwa iko kitanda unachoringia ni kaburi lako..!! 😹
Adhana au mikelele na vitisho?Shetan siku zote anachukia Azan
Wanazingua hao watu, wafunge soundproof bana..!! 😹😹😁😁😁
Kuna kipindi nilikuwa nikipanga mahala napapenda kwa mazingira, unakuja kushtuka kumbe kuna msikiti karibu. Unakuwa kama mwanafunzi sasa😁.
Habari yako, hv ww n Wakike au wakiume, hua navutiwa sana na comment zakoUsiombe uishi katikati ya msikiti na kanisa la kilokole.. wohiii wohii
Mchungaji kafunga vyombo vya band full misebene ya Yesu ya mkesha wa kufukuza umaskini..!! Usiku mzima mabati yanatikisika mpaka panya nao wanaamua kusafiri kwa muda wanakususia ghetto..!!
Saa 10 usiku panatulia, unasema sasa nipate lepe la usingizi walau hata lisaa saa 12 niamke nijiande mguu wa kutoka..!!
Kabla hujalaza mbavu..
Laulaaaaahhh..!!
Msikitini unasikia spika kama la wauza sumu za mende na viroboto linaanza kukoroma..!!
Adhana inalia unaambiwa iko kitanda unachoringia ni kaburi lako..!! 😹
Wewe kwani unazo?Huna akili
Wewe unadhani ni kwa hali gani?Vipaza sauti kwenye hali gani?
Kama n kwenye hali ya kusikilizana wenyewe kwa wenyewe hapo ndani bc n sahihi, ila ikiwa kero kwa jamii ya nje bc sio sahihi.
Ni kuwakamata na kuwasweka ndani halafu wafunguliwe mashitaka. Simpo.Wale mashehe wanaotoa kauli za kutishia waumini wao mida ya Alfajiri. Mnawasaidia vip?
Soma hy comment vzr, nshajibu hiWewe unadhani ni kwa hali gani?
😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃Usiombe uishi katikati ya msikiti na kanisa la kilokole.. wohiii wohii
Mchungaji kafunga vyombo vya band full misebene ya Yesu ya mkesha wa kufukuza umaskini..!! Usiku mzima mabati yanatikisika mpaka panya nao wanaamua kusafiri kwa muda wanakususia ghetto..!!
Saa 10 usiku panatulia, unasema sasa nipate lepe la usingizi walau hata lisaa saa 12 niamke nijiande mguu wa kutoka..!!
Kabla hujalaza mbavu..
Laulaaaaahhh..!!
Msikitini unasikia spika kama la wauza sumu za mende na viroboto linaanza kukoroma..!!
Adhana inalia unaambiwa iko kitanda unachoringia ni kaburi lako..!! 😹
Azan ni wimbo mtamu kwa sheitwan audhillahi minna shaitwan rajiim. Ila tukubaliane. Mambo yamebadilika. Watu hawaende hija tena kwa misafara ya farasi wala ngamia.Shetan siku zote anachukia Azan