Father of All
JF-Expert Member
- May 30, 2026
- 458
- 843
- Thread starter
- #21
So what???Soma hy comment vzr, nshajibu hi
So what???Soma hy comment vzr, nshajibu hi
KufaSo what???
Anza wewe sheitwanKufa
Shetani mama ako mzaziAnza wewe sheitwan
Wa 90% ni maskiniWale 90% ni maskini
Na wana elimu ndogo.
Hapana, shetani ni wazazi na ndugu zako wakiongozwa na kinyamkera wewe kkkkk.Shetani mama ako mzazi
Jibu liko wazi! Havihitajiki. Wenzetu Wazungu kelele za aina hii huzitambua kama noise pollution. Usisahau pia kuna kelele za muziki kutoka kwenye mabaa yaliyo karibu na makazi, kelele za honi za magari, pikipiki, nk.Hoja iko wazi.
Naomba niwasilishe.
Hahaha!Wanazingua hao watu, wafunge soundproof bana..!! 😹😹
Kama mtu hataki kwenda hataki tu!
Hata wamtishe vipi..
Usiombe uishi katikati ya msikiti na kanisa la kilokole.. wohiii wohii
Mchungaji kafunga vyombo vya band full misebene ya Yesu ya mkesha wa kufukuza umaskini..!! Usiku mzima mabati yanatikisika mpaka panya nao wanaamua kusafiri kwa muda wanakususia ghetto..!!
Saa 10 usiku panatulia, unasema sasa nipate lepe la usingizi walau hata lisaa saa 12 niamke nijiande mguu wa kutoka..!!
Kabla hujalaza mbavu..
Laulaaaaahhh..!!
Msikitini unasikia spika kama la wauza sumu za mende na viroboto linaanza kukoroma..!!
Adhana inalia unaambiwa iko kitanda unachoringia ni kaburi lako..!! 😹
Okey kinhembe mkuuHaya qhuma, uwe na siku njema