Kwa maendeleo ya teknolojia na sayansi bado tunahitaji vipaza sauti misikitini na makanisani kweli?

Hoja iko wazi.
Naomba niwasilishe.
Jibu liko wazi! Havihitajiki. Wenzetu Wazungu kelele za aina hii huzitambua kama noise pollution. Usisahau pia kuna kelele za muziki kutoka kwenye mabaa yaliyo karibu na makazi, kelele za honi za magari, pikipiki, nk.

Hizi zote ni noise pollution. Ibada zifanyike kwenye mazingira ya utulivu. Hakuna sababu ya kuwasumbua wasiohusika kupitia vipaza sauti. Kwanza siku hizi kuna alarm!
 
Naona Nyongo Imetumbukia...​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…