Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 2,912
- 12,904
Thanks for the reminder !!Kama umenotice kipindi hiki telegram na JF kumekuwa na shida kiasi kuingia tofauti na mitandao mingine..... tunaenda kwenye uchaguzi Mkuu, jiongeze.... hakikisha hukosi VPN kwenye simu yako...... incase wakikaza zaidi kama kipindi kile ikafikia mitandao yote hutakuwa unakosa taarifa
jeshi la wauajijeshi la polisi
Jamaa kawaumbua kweupeHuyu ni tapeli anawajua matapeli wenzake, anatoa majibu kabla hata ya uchunguzi kukamilika
UWT mmefurahi snJamaa kawaumbua kweupe
Bawacha mlipitiliza mipaka ya kuzusha, jamaa kawaweka mguu sawa.UWT mmefurahi sn
Bado katekwaNi wakati wenu kutubia dhambi ya uongo na kulisingizia jeshi la polisi.
Jumaa Mubarak
UWT pendeni nchi yenuBawacha mlipitiza mipaka ya kuzusha, jamaa kawaweka mguu sawa.
kuishi na watu vizuri kistaarabu na kwa heshima ni jambo muhimu sana ndrugu zangu 🐒Ni wakati wenu kutubia dhambi ya uongo na kulisingizia jeshi la polisi.
Jumaa Mubarak