Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 2,912
- 12,904
Deo hawezi kaa kwenye media na kuongelea unachokipenda wewe ili ufurahi,badala yake ataongea kistaarabu hata kama ana maumivu moyoni,lengo ni kutoichafua serikali Kwa kile ambacho hakina ushahidi wa moja Kwa moja.
Deo ana familia inamtegemea ,hivi ulishawahi kuwaza raia wa kawaida ukaingia kwenye mzozo na serikali nini kitatokea?
Deo ana familia inamtegemea ,hivi ulishawahi kuwaza raia wa kawaida ukaingia kwenye mzozo na serikali nini kitatokea?