Kwa mahojiano haya ya Deo Bonge na Ayo, atakuwa 'amefinywa'? Asema aachwe apumzike, analiamini Jeshi la Polisi kufanya kazi yake

Kwa mahojiano haya ya Deo Bonge na Ayo, atakuwa 'amefinywa'? Asema aachwe apumzike, analiamini Jeshi la Polisi kufanya kazi yake

Deo hawezi kaa kwenye media na kuongelea unachokipenda wewe ili ufurahi,badala yake ataongea kistaarabu hata kama ana maumivu moyoni,lengo ni kutoichafua serikali Kwa kile ambacho hakina ushahidi wa moja Kwa moja.

Deo ana familia inamtegemea ,hivi ulishawahi kuwaza raia wa kawaida ukaingia kwenye mzozo na serikali nini kitatokea?
 
Kama umenotice kipindi hiki telegram na JF kumekuwa na shida kiasi kuingia tofauti na mitandao mingine..... tunaenda kwenye uchaguzi Mkuu, jiongeze.... hakikisha hukosi VPN kwenye simu yako...... incase wakikaza zaidi kama kipindi kile ikafikia mitandao yote hutakuwa unakosa taarifa
Thanks for the reminder !!

Ngoja nikae kijanja
 
1731684214637.png
 
Jemba kama hizi ndiyo maana huwa zinaachwa zikapotee huko huko.
 
Aisee hawa nyumbu sasa wanataka kutuzoea wanatuona watoto wadogo ni wakati wa kuungana dhidi yao tukiua ata 5 watatuheshim tyu
 
Back
Top Bottom