Kwa mahojiano haya ya Deo Bonge na Ayo, atakuwa 'amefinywa'? Asema aachwe apumzike, analiamini Jeshi la Polisi kufanya kazi yake

Kwa mahojiano haya ya Deo Bonge na Ayo, atakuwa 'amefinywa'? Asema aachwe apumzike, analiamini Jeshi la Polisi kufanya kazi yake

Ni wakati wenu kutubia dhambi ya uongo na kulisingizia jeshi la polisi.

Jumaa Mubarak
Wawe Polisi au wawe Usalama sisi tunajua dola inahusika and you've just been squeezed between hard rock and concrete so you remained with no other option but to dance their tunes.
Kwa kifupi ulitekwa ili ukapotezwe na umeponea chupuchupu na isitoshe kuamini kuwa ulijua yanayojiri ndiyo maana ulikuwa ukipiga kelele kwamba unaenda kuuawa, we ain't stupid.
 
Huyu ni tapeli anawajua matapeli wenzake, anatoa majibu kabla hata ya uchunguzi kukamilika
Statement aliyoizungumza mkuu unapaswa kutega sikio la ndani kumwelewa

Waliojaribu kumteka kwa hisia zake anaamini siyo Police, ila kuna kikundi nje ya jeshi la police kinachoteka watu

Hii inatupa nafasi ya kama nchi sasa, watu wote wanakamata watu, inawapasa wawe na sare za jeshi na vitambulisho vyao, nje ya hapo, wapigwe mawe tu na kuchomwa moto maana hao ni boko haramu
 
Ndio maana wananchi walikuwa wanamcheki tu....
Kila mtu ashinde mechi zake hahahaha
 
Statement aliyoizungumza mkuu unapaswa kutega sikio la ndani kumwelewa

Waliojaribu kumteka kwa hisia zake anaamini siyo Police, ila kuna kikundi nje ya jeshi la police kinachoteka watu

Hii inatupa nafasi ya kama nchi sasa, watu wote wanakamata watu, inawapasa wawe na sare za jeshi na vitambulisho vyao, nje ya hapo, wapigwe mawe tu na kuchomwa moto maana hao ni boko haramu
Nje na polisi nani anaruhusiwa kumiliki pingu na anajua matumizi ake kama siyo polisi wenyewe? kuna duka linauza pingu kwa watu binafsi kama chain ya kufungia mbwa?
 
Back
Top Bottom