Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 4,437
- 13,836
Sawa bongee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa FISIEM mmetengeneza kitu cha kutuaminisha uongo. Hili ni game tu kulisafisha jeshi la poliCCMNi wakati wenu kutubia dhambi ya uongo na kulisingizia jeshi la polisi.
Jumaa Mubarak
Bawacha mna makasiriko sana aseeehSawa bongee
Hawatamrudia, ameshawasafisha, watamtumia kama komba mavi waoWatamrudia huyu ndio milele ajiandaeee
Hii ni movie iliyoandaliwa na Polisi katika kujivua na tuhuma za utekaji .Ni wakati wenu kutubia dhambi ya uongo na kulisingizia jeshi la polisi.
Jumaa Mubarak
Wawe Polisi au wawe Usalama sisi tunajua dola inahusika and you've just been squeezed between hard rock and concrete so you remained with no other option but to dance their tunes.Ni wakati wenu kutubia dhambi ya uongo na kulisingizia jeshi la polisi.
Jumaa Mubarak
Mmmm watekaji sio.polisi wewee wale tiss ooh utasikia tu haonekaniii milelee ntoleeeHawatamrudia, ameshawasafisha, watamtumia kama komba mavi wao
Wapuuzi chadema mlitaka aseme uwongo ili iweje?Nyumbu bana ,ovyo kabisa.Huyu ni tapeli anawajua matapeli wenzake, anatoa majibu kabla hata ya uchunguzi kukamilika
Statement aliyoizungumza mkuu unapaswa kutega sikio la ndani kumwelewaHuyu ni tapeli anawajua matapeli wenzake, anatoa majibu kabla hata ya uchunguzi kukamilika
Kikubwa picha zilikuwa clearHuyu ni tapeli anawajua matapeli wenzake, anatoa majibu kabla hata ya uchunguzi kukamilika
Ccm imejaa mapumbavu ndio maana wenye akili wote walishayakimbia.Wapuuzi chadema mlitaka aseme uwongo ili iweje?Nyumbu bana ,ovyo kabisa.
UWT nyie mnajua sn kupanikiWapuuzi chadema mlitaka aseme uwongo ili iweje?Nyumbu bana ,ovyo kabisa.
Nje na polisi nani anaruhusiwa kumiliki pingu na anajua matumizi ake kama siyo polisi wenyewe? kuna duka linauza pingu kwa watu binafsi kama chain ya kufungia mbwa?Statement aliyoizungumza mkuu unapaswa kutega sikio la ndani kumwelewa
Waliojaribu kumteka kwa hisia zake anaamini siyo Police, ila kuna kikundi nje ya jeshi la police kinachoteka watu
Hii inatupa nafasi ya kama nchi sasa, watu wote wanakamata watu, inawapasa wawe na sare za jeshi na vitambulisho vyao, nje ya hapo, wapigwe mawe tu na kuchomwa moto maana hao ni boko haramu
Hao ni wenyeweKikubwa picha zilikuwa clear
Atakuwa katishiwaMaelekezo chalii yangu.