Kwa Makala Hii ya Daraja la Kigamboni Mwanakijiji Kachemsha

Asante. Wazungu wametengeneza simulator ya hiyo Kigamboni new city kwenye DVD pack of 6 wanaiuza TZS 300,000. Ukiangalia utashindwa kuamini!. Nimetembelea nchi za watu, hazifikii!.

Hizo nchi za watu zisizofikia ni zipi?
 

Hata hizo simulation videos for Olympics hazifiki asilimia 5 tu ya masaa hayo, itakuwa Kigamboni!
 
"Katika kitu cha kushangaza kabisa ni kuwa Jina la Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere halikutukuzwa katika hafla hiyo. Ni katika kile ambacho nimekiita kuanzia mwaka jana kuwa ni “juhudi dhaifu za kulifuta jina la Nyerere” katika mchango wa maendeleo. Katikati ya miaka 1970 ni uongozi wa Mwalimu Nyerere uliofanya upembuzi yakinifu wa kina wa ujenzi wa daraja la Kigamboni" - Mwanakijiji.


[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: contentheading, width: 100%"]Dk Magufuli atangaza neema Kigamboni [/TD]
[TD="class: buttonheading, width: 100%, align: right"] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: createdate"]Monday, 09 January 2012 21:17 [/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Dk Ramadhan Dau alisema tathmini ya awali ya ujenzi wa daraja hilo ilianza mwaka 1977... “Ilipofika mwaka 1991, Serikali iliendelea na upembuzi yakinifu chini ya Kampuni ya Gauff ya Ujerumani ambayo ilionyesha gharama za ujenzi huo kuwa ni zaidi ya Dola 47 milioni.”

sasa mimi sioni mnachobishana na umuhimu wake kwetu sisi watanzania..... what is the big deal? Mbona inajulikana ni mwaka gani daraja hilo lilianza kutathminiwa?
Mimi naona Serikali ya awamu ya nne inastahili pongezi kwa kupata sponsors ...... kibakuli sometimes kinasaidia!
 
"Dk. Magufuli, Waziri wa Ujenzi akizungumza katika hafla ya kutia sahihi makubaliano hayo alizungumza na kujaribu kushawishi watu waamini kuwa hatua hii imefikiwa baada ya uongozi mzuri wa Rais Jakaya Kikwete na hivyo wananchi waunge mkono na inaonekana wafanye hivyo bila kuuliza maswali!"- Mwanakijiji.

Hayo maneno aliyasema lini? Naomba tuwekee aidha video clip, au makala ya gazeti lolote.


"Mojawapo ya tafiti nyingine za Benki ya Dunia za miaka ya karibuni zaidi zilionesha kuwa daraja la Kigamboni lingegharimu karibu dola milioni 46 hivi (karibu sawa na kiasi kilichokombwa na Kagoda Agriculture katika kashfa ya EPA!) Lilichelewa kwa sababu ya umaskini au kukosekana uwezo"- Mwanakijiji.

Mkuu nadhani unazungumzia 1991,

"The project needs a fresh feasibility study and a concession document that investors can use to evaluate the project's worth"-
Dieter Schelling, World Bank Tanzania, May 2009.



Hii ishafanyiwa feasibility study na investors wameikubali.


[h=1]WB to fund new study of Kigamboni bridge[/h]"The initial plan was for a 560-metre long bridge with 14 spans of 40 metres each. The construction period was put at three-and-a-half years while its cost was $46 million"..........



46m$ mwaka 1991 ni sawa na 112m$ mwaka 2010 - Source http://www.measuringworth.com/uscompare/relativevalue.php
 
waandishi wa habari wa Bongo kwa kujipa mamlaka ya vitu wasivyo ujuvi navyo si wadogo!

Hawa si ndo waliowalisha Watanzania kasa aitwae "Kikombe cha Babu" hawa?

Labda washachukua bahasha zao? Usikute Babu nae alikuwa anagawa bahasha?
 



Asante Soby kwa kuweka haya mabandiko!

Mwanakijiji anadhania CCM wote wasipotaja jina la Nyerere basi hawampendi......Nyerere is dead, buried in butiama, thats life amewaza na kumsemea mengi magufuli na hajaweka vithibitisho au sababu

mwanakijiji na 'nyerere' wake anaonekana kama michael jackson
 
Makala original ni hiyo ya Tanzania Daima ambayo imetoka karibu mwezi mmoja nyuma. Sikutuma makala nyingine Mwanahalisi.

How can they publish without your consent? please check with them.....itafute angalia hiyo artcile
 

mwanakijiji fuatilia hii article kwenye mwanahalisi, japo hazija differ sana kuna tofauti.

lakini hata hii mkuu, kuweka vitu vya baba wa taifa na kusema kuna 'hujuma ya kulifuta jina lake' sijui inatokea wapi
na mengine yanabaki vile vile tu mkuu...is just a challenge
 
Waberoya, kabla ya kwenda mbali, hiyo makala ya Mwanakijiji uliyosoma kwenye gazeti la Mwanahalisi inafanana na hiyo niliyoweka hapo juu kutoka tovuti ya freemedia.co.tz? Vichwa vya hizo makala vinatofautiana?

kuna tofauti ya mtiririkona content zingine za kwenye daimahazimo mwanahalisi!!!!

ila vipengele vinavyoni boa vimo sana tu kama

Magufuli bila kupiga vita ufisadi anatuaminisha uongo. Mojawapo na ninaweza kusema kwangu ni tatizo kubwa la Magufuli ni kuwa haamini kabisa kuwa ufisadi ndilo tatizo kubwa kabisa linalokabili taifa sasa hivi na kuwa mambo mengi anayoyapigia kelele (kutofuatwa sheria kwa mfano) ni zao la ufisadi huo.

Magufuli anaamini kabisa kuwa serikali yake ni safi, uongozi wake ni bora zaidi na kuwa chama chake ni safi kabisa! Amefumba macho kabisa kama mbuni hasikii wala haambiwi kuhusu ufisadi--mwanakijiji

Hakuna kitu kibaya kama kumwazia mtu, ukamsemea , halafu akaka kimya asikujibu , mwanakiji anaa mini kila anayepiga kelele ufisadi ndiye 'fighter'!!!
 
A million dollar question!
Kwa nini tuko desperate kuwaondolea wakaazi wa kigamboni (wenye magari)adha ya foleni ya pantoni? Foleni ya morogoro road inajulikana haswaa shida yake, why are we not doing the fly_whatevers? Watanzania, daraja linaweza lisiwahusu! Magufuli anajijua anafanya nini na kwa nini!
..mpaka sasa hivi sijui faida za ujenzi wa hili daraja ni zipi.

..je, ktk madaraja yote yanayotakiwa kujengwa, hili la kigamboni lina umuhimu kuzidi hayo mengine?
 

du umechemsha mpaka basi!! aibu
 
Umenikumbusha initial plan ya mlimani city! Haikuwa yale ma_godown pale yaliyojengwa na temporary structures! Yalisambazwa kama insert kwenye newspapers nikasema walau! Afadhali wangempa manji akajenga ka-quality something tukawa tunaenda kushangaa maji yanarukaruka!
Hiyo simulator part of it ipo youtube na humu jf...
Tafuta hizo 6 DVD utaona simulator itakuwa kama Doha!.
 

Kikwete anataka akiondoka madarakani akumbukwe kwa kujenga daraja la Kigamboni kama Mkapa alivyojenga la Rufiji. Except hilo daraja nini zaidi cha kumkumbuka Kikwete? Hakyanani nakwambia hilo daraja kama litakamilika halitaitwa "Kigamboni Bridge" bali "Kikiwete Bridge".

Maelezo ya Mwakyembe bungeni jana yanaonyesha bado ni "plans" za kujenga daraja. Nilidhani tutakuwa kwenye "actions" sasa ikizingatiwa magufuli amesema daraja litakamilika ndani ya miezi 36? Hizi habari zinatoka bungeni jana kweli?

[TABLE="width: 100%, align: left"]
[TR]
[TD="class: theTopicHead, align: left"]From the Parliament[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: mainStory, align: left"]Plan on Kigamboni bridge still stands[/TD]
[/TR]
[/TABLE]



Friday February 03, 2012

THE government has reiterated its commitment to implement the construction of the much awaited Kigamboni Bridge in Dar es Salaam so as to ease transport, the National Assembly was told on Friday.
Deputy Minister for Works Dr Harrison Mwakyembe said when responding to a question by Faida Bakari (Special Seat - CCM), who demanded to know when the project would be implemented. Dr Mwakyembe said: "Plans are well underway to construct the Kigamboni Bridge, but at the moment we'll continue to improve the existing ferries to ensure that there is reliable transport between Kigamboni and Dar es Salaam city centre."

In her basic question, Pindi Chana (Special Seat -- CCM) had demanded to know if the government had any plans to introduce weekly or monthly payments for people using the ferry services. Responding, Dr Mwakyembe said the government introduced a pilot project for ferry passengers to pay monthly fees for cars of various institutions including development partners, students vans, parastatals, ambassadors and private banks.

However, he said the government experienced challenges on maintaining the new procedures to use seasonal tickets, saying they were at the time thinking of alternative conducive procedures to run the project. He further said that already the government through Tanzania Electrical, Mechanical and Electronics Services Agency (TEMESA) had contracted a consultant under the World Bank support.

The consultant would be tasked to come up with a vending machine system. He said the new system would enable easy usage of weekly, monthly or even seasonal tickets because, he said, the machines would be installed in different parts of the city to prevent unnecessary queues. He said the design work would be completed by June this year, and thereafter the procedure to get a contractor for the project would be announced.

Daily News | Plan on Kigamboni bridge still stands
 
Kwa hali ilivyo, tena magufuli ndo ataiomba serikali kumruhusu kufanya huo ubatizo, sasa kama hana cha kujisifia nacho afanyeje banaa!

Ila bado niko hapo, plans hata kama zitachukua another 40 yrs (manake kama issue ilianza 1977...)Kuna zao gani tunalopigania kutoa kigamboni kuleta mjini? Morogoro road inaleta mahindi na kila kitu na kufikisha mjini imekuwa shughuli, kigamboni kuna mchicha na nazi chache hazifiki kkoo! Kuna mchango gani kiuchumi kigamboni iwe na thamani hiyo? Ungeniambia tunajenga daraja la mto kilombero ili mahindi na mchele vivuke kirahisi ningeelewa zaidi!
 
Reactions: EMT


Kwa kweli nikanza kufuatilia hivyo ntakuwa sina kazi nyingine. Tumia makala hiyo ya TD kama msingi wa ukosoaji wake.
 

Unapokataa kuwa si vyena mimi kumdhania Magufuli na jujona sahihi wewe nwenyewe unanidhania mimi na Nyerere "wangu" na hauoni tatizo. So kwako ni vibaya kwa mwanakijiji kumdhania Magufuli lakini ni sawa wewe kunidhania mimi?
 

Well, as Desmond Tutu once said "If you are neutral in situations of injustice, you have chosen the side of the oppressor. If an elephant has its foot on the tail of a mouse and you say that you are neutral, the mouse will not appreciate your neutrality." Inawezekana the like of Magufuli, Pinda, etc hawaamini serikali ya Kikwete ni safi but in public wameamua kuwa neutral kwa kutozungunzia ufisadi. Kama hata mtoto wa primary anajua ufisadi unaofanyika nchini, ndiyo sembuse Magufuli asijue?

"Nothing is more unjust, however common, than to charge with hypocrisy him that expresses zeal for those virtues which he neglects to practice; since he may be sincerely convinced of the advantages of conquering his passions, without having yet obtained the victory, as a man may be confident of the advantages of a voyage, or a journey, without having courage or industry to undertake it, and may honestly recommend to others, those attempts which he neglects himself" per Samuel Jackson.
 
Kwa kweli nikanza kufuatilia hivyo ntakuwa sina kazi nyingine. Tumia makala hiyo ya TD kama msingi wa ukosoaji wake.

sikujua kuwa uliwahi kuitoa Tanzania daima, nimesoma mwanahalisi ambako umesema haukuituma huko.........nakueleza tofauti unasema huna muda wa kufuatilia......unamdanganya nani? content za Tanzania daima na mwanahalisi zina utofauti mkuu!! usishtuke kwa hili? mtu a-edit kazi yako halafu unasema huna muda wa kufuatilia?

mwanahalisi ni wewe ulipeleka na edit iko so obvious kutokana na muda wa article uliyoandika. TD uliandika soon baada ya lile tukio, mwanahalisi umeandika baadae sana baada ya tukio hili!

TD ngau ina vichwa vidogo vidogo vya ndani ya article,this is not a case in mwanahalisi!
 

Huyo mpiganaji ni nani ndani ya CCM, mweke hapa nimjue!!

hints: soma signature yangu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…