Kwa mambo haya mnataka tuoe kweli?

Ulichoandika ni tofauti na kile nilichokiandika. Kuwa na ndoa au kutokuwa na ndoa ni suala binafsi na wala halihitaji kampeni.
 
Atakuwa jini huyu
Sisi wanawake hatuko hivi
 
MWANAUME UKIWA NA FAMILIA, UNAFANYA KAZI NYINGI, KWA MUDA MWINGI KWA AJILI YA FAMILIA. (UNAONEKANA WEWE SIO ROMANTIC).
WALE WANAUME WA WENGINE KWA SBB HUISHI NAO WANAONEKANA WANAJUA KUJALI, WANAJUA KUTUNZA, WANAJUA KUPENDA. HAYA SASA NENDA KUISHI NAO, UNAKUJA KUKUTA UMEUVAA MZOGA NA WAKATI HUO HUO UMEPOTEZA DHAHABU.
 
Si walifuata msemo wa KATAA NDOA.... Aendelee tu .... Aende tu makao makuu ya KATAA NDOA Kwa msaada zaidi...kumbaafu
 
Kuacha nyumba ni easy tu mkuu... Wala usiwaze tupo tuliochaga kitambo tu.... Na maisha yakamchapa vya kutosha .... Vikao viiingiii Kwa ajili ya watoto tu nikarudi ila Kila mtu na ratiba zake ..... Kuachia nyumba sio issue ...issue wanajazaje choo na kuvaa na kuishi Kwa ujumla wake.
 
Story za iddi malengo hizo.

Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app

Dada sio story haya mambo hutokea kweli
Imemtokea jamaa yangu hi
Tena msimuliaji alipoanza nkajua anamuongea jamaa yangu kumbe ni tofauti

Ni kisa cha kweli kabisa.... now nnaloongea na wewe jamaa yangu kabaki na nyumba na mtoto wake tu
Yule wa pili alikua wa huyo dogo alieenda kuishi na shemeji

Haya mambo yapo na yanatokea kwenye jamii zetu
Kwakweli kuna wakati wanaokataa ndoa naona wapo sawa
Me nmekulia mazingira ya dini na nna amini MUNGU
Na MUNGU ndio muasisi wa ndoa hivyo naamimi kukataa ndoa ni kwenda kinyume na MUNGU

sasa sijui tushike lipi...
I wishi niowe mke atakaenielewa na nimuelewe pia
TUELEWANE. Ila ukisikia haya unashuka chini unaanza na zeo
 
Watu wabishi sana sijui kwann hawaelewi [emoji19][emoji19]
 
Tuendelee kumsubiri masia atakuja soon,dunia iishe hatimaye tukauone mji mpya,yerusalemu ule mji wa dhahabu.Ndoa tuwaachie wenye uwezo nazo
 
😂😂😂😂👏👏👏
 
KATAA NDOAAAAAÀAAAAAAAAAAAAAAA
KATAA NDOAAAAAÀAAAAAAAAAAAAAAA
KATAA NDOAAAAAÀAAAAAAAAAAAAAAA
KATAA NDOAAAAAÀAAAAAAAAAAAAAAA
 
Nawewe muachie nyumba ukimbie,kama mme wako wa kwanza alivyokuachia nyumba akakimbia na nguo zake,
ila wewe fanya tofauti kidogo,kimbia na mtoto wako,ili huyo mme mpya alete hapo mke wake walee watoto wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…