Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Huyu dada ni rafiki yangu kiasi flani maana tuliwahi kuwa karibu kipindi cha nyuma. Nmekuja kutana naye this time ana watoto watatu wana baba tofauti.
Na hawa baba zao wote wamemwachia yeye watoto. So anahangaika nao sana. Nilipokutana naye tukaongea nilimwonea huruma sana.nikawaza how to help her. Sikumwambia lolote lakini.
Juzi kaniambia anaumwa UTI nikaona leo nimpeleke Hosp. Kwa roho safi kabisa. Pamoja na kuwa najua ana Bima maana anafanya kazi Serikalini.
Akanitajia jina la Hosp flani ndo anapenda aende huko. Nikampeleka.... Tumeenda amepima kila ugonjwa mwilini na kuchukua dawa nyingi sana. Yaani alikuwa anaomba tu apimwe kitu flani,apimwe na hiki, apimwe na kile....
Mwishowe akawa anaomba apewe dawa na nyingine anazo kwenye simu anaomba aandikiwe apewe. Analeta Bill Tsh 378,000. Nilipe. Kweli nimelipa. But ameni disappoint sana. Anaonekana hana utu au hajui thamani ya pesa ya mwenzie.
Wakati mimi nlidhani ataangalia tu UTI ,Typhoid na Malaria. Then tutoke twende fanya shopping ya vyakula awapelekee watoto. Yeye kaona watoto wake wataenda kula madawa.
Tunatoka ananambia "sasa tunaelekea wapi My?" Nimemjibu tu nyumbani kwako.
Anaonekana hajafurahi. Tunarudi ananiambia 'yaani hapa sijui hata nachowaza My.... Nyumbani nimeishiwa kila kitu" nimejisikia uvivu hata kumjibu. Nimeona tu huyu dada akili hana.
Last week tumetoka out akawa anaagiza vinywaji vya gharama na kuku mzima ambaye hakummaliza nikadhani atabeba apeleke nyumbani. Akaacha. Nlimwambia basi si bora angeagiza nusu. Akajibu tu hakutegemea kuku angekuwa mkubwa kiasi kile. Simple like that.
Nimeshindwa namna ya kuendelea kuwaza msaidia. Maana naona hasaidiki. Sijui anawaza nini. Dada mzuri sister du but kichwani mweupe kabisa. Huku analalamika kuwa wazazi wenzie wamemwachia tu watoto ahangaike nao peke yake.
Imeniumiza sana. Akina dada muwe na subra, uvumilivu na upendo. Usimkatishe tamaa mtu anayetaka kukusaidia.