Kwa mambo kama haya Dada zangu mnajiharibia sana kisha baadaye mnatulaumu

Ndio walivyohao, juzi kuna mmoja tulikutana Makao makuu ya nchi nikampeleka Royal tumefika anamuuliza mhudumu ampe menu ya vyakula vyakizungu nilivyoona hvyo nikakumbuka alishawahi nisumbua kuagiza pizza na milk shake ambayo aliiacha akisema ni mbaya inasukari nyingi, basi mm nikaagiza makange ya kuku yakaja akaonja akasema yana chumvi, mm nikala nikamaliza na pepsi baada ya hapo akasema anataka bites tena za supermarket usiku wa saa 7 nikaona poa kwa nje kuna maduka lakini chakushangaza akanunua chocolate zile kubwa mbili na maziwa.
Kesho yake nikampeleka sehemu pale wanaita oven....akaagiza pizza na milk shake alivyoanza kula akaniambia hajapenda hiyo ladha hivyo abadili na mm nikamkata jicho.
Kesho yake tena nikampeleka Mwambao tukaagiza but yeye aliagiza vitu vingi nikamwambia cha msingi umalize ila mwisho wa siku aligusa kila kimoja akasema ameshiba
Jioni akasema anataka sehemu iliyotulia, pale mwambao kwa juu kulia kuna mgahawa flani kama wakihindi umetulia. Tukafika akapewa menu alivyochagua akaambiwa hamna kwa sasa ikabd achague upya.
Baada ya hapo kwakuwa kesho tulisafiri kurudi makwetu akaniambia tutafute maduka ya nguo nikamwambia tayari tumeshatumia zaidi ya 300k so imetosha

Nilichogundua baadhi ya wanawake wanakuwa single mother kwa sababu ambazo huwa wanajitakia wenyewe kwasababu huyu alikuwa anachagua chakula chenye gharama kubwa kuliko chochote kwenye menu. Ukiachana na dread alizotaka kusuka kwa 100,000

Daah, siku ya kwanza kazingua kesho yake unamtoa tena na kesho kutwa yake [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]looh
 
Huyu dada ni rafiki yangu kiasi flani maana tuliwahi kuwa karibu kipindi cha nyuma. Nmekuja kutana naye this time ana watoto watatu wana baba tofauti.

Na hawa baba zao wote wamemwachia yeye watoto. So anahangaika nao sana. Nilipokutana naye tukaongea nilimwonea huruma sana.nikawaza how to help her. Sikumwambia lolote lakini.

Juzi kaniambia anaumwa UTI nikaona leo nimpeleke Hosp. Kwa roho safi kabisa. Pamoja na kuwa najua ana Bima maana anafanya kazi Serikalini.

Akanitajia jina la Hosp flani ndo anapenda aende huko. Nikampeleka.... Tumeenda amepima kila ugonjwa mwilini na kuchukua dawa nyingi sana. Yaani alikuwa anaomba tu apimwe kitu flani,apimwe na hiki, apimwe na kile....

Mwishowe akawa anaomba apewe dawa na nyingine anazo kwenye simu anaomba aandikiwe apewe. Analeta Bill Tsh 378,000. Nilipe. Kweli nimelipa. But ameni disappoint sana. Anaonekana hana utu au hajui thamani ya pesa ya mwenzie.

Wakati mimi nlidhani ataangalia tu UTI ,Typhoid na Malaria. Then tutoke twende fanya shopping ya vyakula awapelekee watoto. Yeye kaona watoto wake wataenda kula madawa.

Tunatoka ananambia "sasa tunaelekea wapi My?" Nimemjibu tu nyumbani kwako.

Anaonekana hajafurahi. Tunarudi ananiambia 'yaani hapa sijui hata nachowaza My.... Nyumbani nimeishiwa kila kitu" nimejisikia uvivu hata kumjibu. Nimeona tu huyu dada akili hana.

Last week tumetoka out akawa anaagiza vinywaji vya gharama na kuku mzima ambaye hakummaliza nikadhani atabeba apeleke nyumbani. Akaacha. Nlimwambia basi si bora angeagiza nusu. Akajibu tu hakutegemea kuku angekuwa mkubwa kiasi kile. Simple like that.

Nimeshindwa namna ya kuendelea kuwaza msaidia. Maana naona hasaidiki. Sijui anawaza nini. Dada mzuri sister du but kichwani mweupe kabisa. Huku analalamika kuwa wazazi wenzie wamemwachia tu watoto ahangaike nao peke yake.

Imeniumiza sana. Akina dada muwe na subra, uvumilivu na upendo. Usimkatishe tamaa mtu anayetaka kukusaidia.
Mbona hapo inaonekana wote hamna akili sawa sawa.
 
Ndio walivyohao, juzi kuna mmoja tulikutana Makao makuu ya nchi nikampeleka Royal tumefika anamuuliza mhudumu ampe menu ya vyakula vyakizungu nilivyoona hvyo nikakumbuka alishawahi nisumbua kuagiza pizza na milk shake ambayo aliiacha akisema ni mbaya inasukari nyingi, basi mm nikaagiza makange ya kuku yakaja akaonja akasema yana chumvi, mm nikala nikamaliza na pepsi baada ya hapo akasema anataka bites tena za supermarket usiku wa saa 7 nikaona poa kwa nje kuna maduka lakini chakushangaza akanunua chocolate zile kubwa mbili na maziwa.
Kesho yake nikampeleka sehemu pale wanaita oven....akaagiza pizza na milk shake alivyoanza kula akaniambia hajapenda hiyo ladha hivyo abadili na mm nikamkata jicho.
Kesho yake tena nikampeleka Mwambao tukaagiza but yeye aliagiza vitu vingi nikamwambia cha msingi umalize ila mwisho wa siku aligusa kila kimoja akasema ameshiba
Jioni akasema anataka sehemu iliyotulia, pale mwambao kwa juu kulia kuna mgahawa flani kama wakihindi umetulia. Tukafika akapewa menu alivyochagua akaambiwa hamna kwa sasa ikabd achague upya.
Baada ya hapo kwakuwa kesho tulisafiri kurudi makwetu akaniambia tutafute maduka ya nguo nikamwambia tayari tumeshatumia zaidi ya 300k so imetosha

Nilichogundua baadhi ya wanawake wanakuwa single mother kwa sababu ambazo huwa wanajitakia wenyewe kwasababu huyu alikuwa anachagua chakula chenye gharama kubwa kuliko chochote kwenye menu. Ukiachana na dread alizotaka kusuka kwa 100,000
Hizo taka taka mnatoaga wapi aisee..na inakuaje mnazivumilia...au papuchi zao kuliko...kheeee[emoji1787]

But nimegundua ukikuta mtu hana mtu na kazalishwa ..jiulize why ameachwa...aliyeondoka kilimshinda nn[emoji28]
 
Huyu dada ni rafiki yangu kiasi flani maana tuliwahi kuwa karibu kipindi cha nyuma. Nmekuja kutana naye this time ana watoto watatu wana baba tofauti.

Na hawa baba zao wote wamemwachia yeye watoto. So anahangaika nao sana. Nilipokutana naye tukaongea nilimwonea huruma sana.nikawaza how to help her. Sikumwambia lolote lakini.

Juzi kaniambia anaumwa UTI nikaona leo nimpeleke Hosp. Kwa roho safi kabisa. Pamoja na kuwa najua ana Bima maana anafanya kazi Serikalini.

Akanitajia jina la Hosp flani ndo anapenda aende huko. Nikampeleka.... Tumeenda amepima kila ugonjwa mwilini na kuchukua dawa nyingi sana. Yaani alikuwa anaomba tu apimwe kitu flani,apimwe na hiki, apimwe na kile....

Mwishowe akawa anaomba apewe dawa na nyingine anazo kwenye simu anaomba aandikiwe apewe. Analeta Bill Tsh 378,000. Nilipe. Kweli nimelipa. But ameni disappoint sana. Anaonekana hana utu au hajui thamani ya pesa ya mwenzie.

Wakati mimi nlidhani ataangalia tu UTI ,Typhoid na Malaria. Then tutoke twende fanya shopping ya vyakula awapelekee watoto. Yeye kaona watoto wake wataenda kula madawa.

Tunatoka ananambia "sasa tunaelekea wapi My?" Nimemjibu tu nyumbani kwako.

Anaonekana hajafurahi. Tunarudi ananiambia 'yaani hapa sijui hata nachowaza My.... Nyumbani nimeishiwa kila kitu" nimejisikia uvivu hata kumjibu. Nimeona tu huyu dada akili hana.

Last week tumetoka out akawa anaagiza vinywaji vya gharama na kuku mzima ambaye hakummaliza nikadhani atabeba apeleke nyumbani. Akaacha. Nlimwambia basi si bora angeagiza nusu. Akajibu tu hakutegemea kuku angekuwa mkubwa kiasi kile. Simple like that.

Nimeshindwa namna ya kuendelea kuwaza msaidia. Maana naona hasaidiki. Sijui anawaza nini. Dada mzuri sister du but kichwani mweupe kabisa. Huku analalamika kuwa wazazi wenzie wamemwachia tu watoto ahangaike nao peke yake.

Imeniumiza sana. Akina dada muwe na subra, uvumilivu na upendo. Usimkatishe tamaa mtu anayetaka kukusaidia.
Nilichokugundua huyo ni duu wako. We fanya kumtembezea rungu af achana nae ukijifanya romantic kwa sister du wa bongo hahaa hutaamin
 
Ndio walivyohao, juzi kuna mmoja tulikutana Makao makuu ya nchi nikampeleka Royal tumefika anamuuliza mhudumu ampe menu ya vyakula vyakizungu nilivyoona hvyo nikakumbuka alishawahi nisumbua kuagiza pizza na milk shake ambayo aliiacha akisema ni mbaya inasukari nyingi, basi mm nikaagiza makange ya kuku yakaja akaonja akasema yana chumvi, mm nikala nikamaliza na pepsi baada ya hapo akasema anataka bites tena za supermarket usiku wa saa 7 nikaona poa kwa nje kuna maduka lakini chakushangaza akanunua chocolate zile kubwa mbili na maziwa.
Kesho yake nikampeleka sehemu pale wanaita oven....akaagiza pizza na milk shake alivyoanza kula akaniambia hajapenda hiyo ladha hivyo abadili na mm nikamkata jicho.
Kesho yake tena nikampeleka Mwambao tukaagiza but yeye aliagiza vitu vingi nikamwambia cha msingi umalize ila mwisho wa siku aligusa kila kimoja akasema ameshiba
Jioni akasema anataka sehemu iliyotulia, pale mwambao kwa juu kulia kuna mgahawa flani kama wakihindi umetulia. Tukafika akapewa menu alivyochagua akaambiwa hamna kwa sasa ikabd achague upya.
Baada ya hapo kwakuwa kesho tulisafiri kurudi makwetu akaniambia tutafute maduka ya nguo nikamwambia tayari tumeshatumia zaidi ya 300k so imetosha

Nilichogundua baadhi ya wanawake wanakuwa single mother kwa sababu ambazo huwa wanajitakia wenyewe kwasababu huyu alikuwa anachagua chakula chenye gharama kubwa kuliko chochote kwenye menu. Ukiachana na dread alizotaka kusuka kwa 100,000
Msisingizie usingle mom jamani. Wengine hayo maisha ya kula sehemu nzuri hawajazoea wakipata mtu wanaona wamalize kabisa na wao wasikose cha kuhadithia. Kakosa exposure huyo wako ndo maana hata hajui ale nini na bado anakula kama anamkomoa mlipaji
 
Huyu dada ni rafiki yangu kiasi flani maana tuliwahi kuwa karibu kipindi cha nyuma. Nmekuja kutana naye this time ana watoto watatu wana baba tofauti.

Na hawa baba zao wote wamemwachia yeye watoto. So anahangaika nao sana. Nilipokutana naye tukaongea nilimwonea huruma sana.nikawaza how to help her. Sikumwambia lolote lakini.

Juzi kaniambia anaumwa UTI nikaona leo nimpeleke Hosp. Kwa roho safi kabisa. Pamoja na kuwa najua ana Bima maana anafanya kazi Serikalini.

Akanitajia jina la Hosp flani ndo anapenda aende huko. Nikampeleka.... Tumeenda amepima kila ugonjwa mwilini na kuchukua dawa nyingi sana. Yaani alikuwa anaomba tu apimwe kitu flani,apimwe na hiki, apimwe na kile....

Mwishowe akawa anaomba apewe dawa na nyingine anazo kwenye simu anaomba aandikiwe apewe. Analeta Bill Tsh 378,000. Nilipe. Kweli nimelipa. But ameni disappoint sana. Anaonekana hana utu au hajui thamani ya pesa ya mwenzie.

Wakati mimi nlidhani ataangalia tu UTI ,Typhoid na Malaria. Then tutoke twende fanya shopping ya vyakula awapelekee watoto. Yeye kaona watoto wake wataenda kula madawa.

Tunatoka ananambia "sasa tunaelekea wapi My?" Nimemjibu tu nyumbani kwako.

Anaonekana hajafurahi. Tunarudi ananiambia 'yaani hapa sijui hata nachowaza My.... Nyumbani nimeishiwa kila kitu" nimejisikia uvivu hata kumjibu. Nimeona tu huyu dada akili hana.

Last week tumetoka out akawa anaagiza vinywaji vya gharama na kuku mzima ambaye hakummaliza nikadhani atabeba apeleke nyumbani. Akaacha. Nlimwambia basi si bora angeagiza nusu. Akajibu tu hakutegemea kuku angekuwa mkubwa kiasi kile. Simple like that.

Nimeshindwa namna ya kuendelea kuwaza msaidia. Maana naona hasaidiki. Sijui anawaza nini. Dada mzuri sister du but kichwani mweupe kabisa. Huku analalamika kuwa wazazi wenzie wamemwachia tu watoto ahangaike nao peke yake.

Imeniumiza sana. Akina dada muwe na subra, uvumilivu na upendo. Usimkatishe tamaa mtu anayetaka kukusaidia.
Wee uliona hao wanaume wengine wajinga kumtia mimba na kumuacha🤣🤣🤣🤣🤣
Mwanamke mimba ya kwnza bila kuolewa tunaweza samehe...ujan maji ya moto....sasa huyo watotto watatu midume mitatu tofauti...huyo hana akili na hastahili kusaidiwa ni wakumpelekea moto tuu
 
Back
Top Bottom