Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Busara sana hiii.Nyumbani kwangu ukipakua sahani hairudi nyeupe hata Kama mgeni ukishashika ukasema Asante nauliza hiki nikakitupe??anaona aibu
🙏🙏🙏MkuuBusara sana hiii.
Unafikiri kwanini aliachwa na watoto 3 akilea peke yake? Kuna mizoga na wanawake, wanawake kama hawa akishakupa a red light at the first time mkatie line atakutia hasara huko mbeleni.Huyu dada ni rafiki yangu kiasi flani maana tuliwahi kuwa karibu kipindi cha nyuma. Nmekuja kutana naye this time ana watoto watatu wana baba tofauti.
Na hawa baba zao wote wamemwachia yeye watoto. So anahangaika nao sana. Nilipokutana naye tukaongea nilimwonea huruma sana.nikawaza how to help her. Sikumwambia lolote lakini.
Juzi kaniambia anaumwa UTI nikaona leo nimpeleke Hosp. Kwa roho safi kabisa. Pamoja na kuwa najua ana Bima maana anafanya kazi Serikalini.
Akanitajia jina la Hosp flani ndo anapenda aende huko. Nikampeleka.... Tumeenda amepima kila ugonjwa mwilini na kuchukua dawa nyingi sana. Yaani alikuwa anaomba tu apimwe kitu flani,apimwe na hiki, apimwe na kile....
Mwishowe akawa anaomba apewe dawa na nyingine anazo kwenye simu anaomba aandikiwe apewe. Analeta Bill Tsh 378,000. Nilipe. Kweli nimelipa. But ameni disappoint sana. Anaonekana hana utu au hajui thamani ya pesa ya mwenzie.
Wakati mimi nlidhani ataangalia tu UTI ,Typhoid na Malaria. Then tutoke twende fanya shopping ya vyakula awapelekee watoto. Yeye kaona watoto wake wataenda kula madawa.
Tunatoka ananambia "sasa tunaelekea wapi My?" Nimemjibu tu nyumbani kwako.
Anaonekana hajafurahi. Tunarudi ananiambia 'yaani hapa sijui hata nachowaza My.... Nyumbani nimeishiwa kila kitu" nimejisikia uvivu hata kumjibu. Nimeona tu huyu dada akili hana.
Last week tumetoka out akawa anaagiza vinywaji vya gharama na kuku mzima ambaye hakummaliza nikadhani atabeba apeleke nyumbani. Akaacha. Nlimwambia basi si bora angeagiza nusu. Akajibu tu hakutegemea kuku angekuwa mkubwa kiasi kile. Simple like that.
Nimeshindwa namna ya kuendelea kuwaza msaidia. Maana naona hasaidiki. Sijui anawaza nini. Dada mzuri sister du but kichwani mweupe kabisa. Huku analalamika kuwa wazazi wenzie wamemwachia tu watoto ahangaike nao peke yake.
Imeniumiza sana. Akina dada muwe na subra, uvumilivu na upendo. Usimkatishe tamaa mtu anayetaka kukusaidia.
Huyu dada ni rafiki yangu kiasi flani maana tuliwahi kuwa karibu kipindi cha nyuma. Nmekuja kutana naye this time ana watoto watatu wana baba tofauti.

Ni changudoa tu huyo, na unajua kilicho mawazoni mwake wakati wote, ni kumvulia mwanaume! Pole kwa watoto kuwa na mama wa aina hiyo!Huyu dada ni rafiki yangu kiasi flani maana tuliwahi kuwa karibu kipindi cha nyuma. Nmekuja kutana naye this time ana watoto watatu wana baba tofauti.
Na hawa baba zao wote wamemwachia yeye watoto. So anahangaika nao sana. Nilipokutana naye tukaongea nilimwonea huruma sana.nikawaza how to help her. Sikumwambia lolote lakini.
Juzi kaniambia anaumwa UTI nikaona leo nimpeleke Hosp. Kwa roho safi kabisa. Pamoja na kuwa najua ana Bima maana anafanya kazi Serikalini.
Akanitajia jina la Hosp flani ndo anapenda aende huko. Nikampeleka.... Tumeenda amepima kila ugonjwa mwilini na kuchukua dawa nyingi sana. Yaani alikuwa anaomba tu apimwe kitu flani,apimwe na hiki, apimwe na kile....
Mwishowe akawa anaomba apewe dawa na nyingine anazo kwenye simu anaomba aandikiwe apewe. Analeta Bill Tsh 378,000. Nilipe. Kweli nimelipa. But ameni disappoint sana. Anaonekana hana utu au hajui thamani ya pesa ya mwenzie.
Wakati mimi nlidhani ataangalia tu UTI ,Typhoid na Malaria. Then tutoke twende fanya shopping ya vyakula awapelekee watoto. Yeye kaona watoto wake wataenda kula madawa.
Tunatoka ananambia "sasa tunaelekea wapi My?" Nimemjibu tu nyumbani kwako.
Anaonekana hajafurahi. Tunarudi ananiambia 'yaani hapa sijui hata nachowaza My.... Nyumbani nimeishiwa kila kitu" nimejisikia uvivu hata kumjibu. Nimeona tu huyu dada akili hana.
Last week tumetoka out akawa anaagiza vinywaji vya gharama na kuku mzima ambaye hakummaliza nikadhani atabeba apeleke nyumbani. Akaacha. Nlimwambia basi si bora angeagiza nusu. Akajibu tu hakutegemea kuku angekuwa mkubwa kiasi kile. Simple like that.
Nimeshindwa namna ya kuendelea kuwaza msaidia. Maana naona hasaidiki. Sijui anawaza nini. Dada mzuri sister du but kichwani mweupe kabisa. Huku analalamika kuwa wazazi wenzie wamemwachia tu watoto ahangaike nao peke yake.
Imeniumiza sana. Akina dada muwe na subra, uvumilivu na upendo. Usimkatishe tamaa mtu anayetaka kukusaidia.
Ujinga wa mwenzio unakuumiza kichwa utateseka sana
Mimi Huwa natoa tahadhali kabisa hamna kutupa chakula nyumbani kwangu; kwa hilo sioni haya hata ukiwa mgeniYaani katika Mambo ya chakula mtu akiacha chakula huwa namuona mshamba na limbukeni wa kupitiliza,kwa Nini uagize kitu hujawahi kula lakini?sijui huwa wanawaza Nini hata!
Nyumbani kwangu ukipakua sahani hairudi nyeupe hata Kama mgeni ukishashika ukasema Asante nauliza hiki nikakitupe??anaona aibu
Wewe tungekaa wote ndio wangetuona kamati ya roho mbaya.Mimi Huwa natoa tahadhali kabisa hamna kutupa chakula nyumbani kwangu; kwa hilo sioni haya hata ukiwa mgeni
Ulikuwa kwenye mkutano mkakutana na bongo moviesNdio walivyohao, juzi kuna mmoja tulikutana Makao makuu ya nchi nikampeleka Royal tumefika anamuuliza mhudumu ampe menu ya vyakula vyakizungu nilivyoona hvyo nikakumbuka alishawahi nisumbua kuagiza pizza na milk shake ambayo aliiacha akisema ni mbaya inasukari nyingi, basi mm nikaagiza makange ya kuku yakaja akaonja akasema yana chumvi, mm nikala nikamaliza na pepsi baada ya hapo akasema anataka bites tena za supermarket usiku wa saa 7 nikaona poa kwa nje kuna maduka lakini chakushangaza akanunua chocolate zile kubwa mbili na maziwa.
Kesho yake nikampeleka sehemu pale wanaita oven....akaagiza pizza na milk shake alivyoanza kula akaniambia hajapenda hiyo ladha hivyo abadili na mm nikamkata jicho.
Kesho yake tena nikampeleka Mwambao tukaagiza but yeye aliagiza vitu vingi nikamwambia cha msingi umalize ila mwisho wa siku aligusa kila kimoja akasema ameshiba
Jioni akasema anataka sehemu iliyotulia, pale mwambao kwa juu kulia kuna mgahawa flani kama wakihindi umetulia. Tukafika akapewa menu alivyochagua akaambiwa hamna kwa sasa ikabd achague upya.
Baada ya hapo kwakuwa kesho tulisafiri kurudi makwetu akaniambia tutafute maduka ya nguo nikamwambia tayari tumeshatumia zaidi ya 300k so imetosha
Nilichogundua baadhi ya wanawake wanakuwa single mother kwa sababu ambazo huwa wanajitakia wenyewe kwasababu huyu alikuwa anachagua chakula chenye gharama kubwa kuliko chochote kwenye menu. Ukiachana na dread alizotaka kusuka kwa 100,000
Sasa wewe game ilikuwa iishie ndani ya dk 90 ukaenda mwenyewe kuongezea muda wa ziada....ulitegemea nini? Pale pale duka la mwanzo mlikuwa mmemaliza mchezo na mpo ngoma draw. Mnagawana point moja moja. Wewe ukata upate zote tatu....ndo hivyo ikala kwako.Mimi toka nikiwa mdogo huwa najua wanawake hawanaga huruma na hela ya mwanaume.
Mmoja aliwah pata upele kwa sababu ya joto lililotokana na kubanwa na mkanda wa sindiria,
Basi hvyo vipele kila siku ilikuwa ni kelele akitaka nimpeleke hospital
Mwsho wa sku nkaamua nimpeleke duka la madawa ambalo lina daktari,
Tumefika bahati mbaya hatukumkuta daktari lakin muuzaji aliekuwepo tukamwelezea tatzo akatuambia tube fulani ya kununua lakin alivyokiona kidonda akasema mbona kimeshakauka(na kabla ya kwenda dukani nilkuwa namwambia kuwa huo upele utakauka wenyew lakin hakutaka kukubal)
Basi tukachukua hyo tube,tumetoka pale dukani anasema twende duka lingine tuone nao watasemaje,duka jingine huko ndo tulikutana na wataalamu makajanja wanamwambia hyo ni fungus na itakuwa ipo mwilin wakatupatia dawa za kumeza na wakatupatia tube nyingine tofauti.Nikawa mwanaume nmetoboka kizembe tu siku hyo
Nilichukia,hata hilo duka la pili nilienda kwasababu ya hasira tuSasa wewe game ilikuwa iishie ndani ya dk 90 ukaenda mwenyewe kuongezea muda wa ziada....ulitegemea nini? Pale pale duka la mwanzo mlikuwa mmemaliza mchezo na mpo ngoma draw. Mnagawana point moja moja. Wewe ukata upate zote tatu....ndo hivyo ikala kwako.