Mimi toka nikiwa mdogo huwa najua wanawake hawanaga huruma na hela ya mwanaume.
Mmoja aliwah pata upele kwa sababu ya joto lililotokana na kubanwa na mkanda wa sindiria,
Basi hvyo vipele kila siku ilikuwa ni kelele akitaka nimpeleke hospital
Mwsho wa sku nkaamua nimpeleke duka la madawa ambalo lina daktari,
Tumefika bahati mbaya hatukumkuta daktari lakin muuzaji aliekuwepo tukamwelezea tatzo akatuambia tube fulani ya kununua lakin alivyokiona kidonda akasema mbona kimeshakauka(na kabla ya kwenda dukani nilkuwa namwambia kuwa huo upele utakauka wenyew lakin hakutaka kukubal)
Basi tukachukua hyo tube,tumetoka pale dukani anasema twende duka lingine tuone nao watasemaje,duka jingine huko ndo tulikutana na wataalamu makajanja wanamwambia hyo ni fungus na itakuwa ipo mwilin wakatupatia dawa za kumeza na wakatupatia tube nyingine tofauti.Nikawa mwanaume nmetoboka kizembe tu siku hyo