Kasinja jr
JF-Expert Member
- Aug 4, 2017
- 1,069
- 1,958
Ndie huyu huyu britanicca mpiga ramli wa huku JFHizi mambo zichunguzwe aiseeeeeeView attachment 3607033
Huu ujumbe naona una circulate kwenye makundi kadhaa huko whatsap nadhan huyu ndo britanicca wa hapa au wapo tofauti ?
Abanwe atuambie Nani alimwambia hayaNdie huyu huyu britanicca mpiga ramli wa huku JF
KigogoAbanwe atuambie Nani alimwambia haya
NAONA SASA HUYU MAMA ANAZUNGUKA NA MWANAYE DUNIANINa ilitimia wakatuondolea Magu
Mbeba mikobaNAONA SASA HUYU MAMA ANAZUNGUKA NA MWANAYE DUNIANI
Kumbe aiseeee basi magufuli aliuwawaBritanicca nilianza Kumzingatia Baada ya Hiyo Post 2021.
Kama uliwahi kumsikiliza Polepole kabla hajatekwa amewahi kugusia hilo.So, tuseme Magufuli aliuwawa?
Mimi nimekuwa nikipinga hiyo hoja kwa kuzingatia hali ilivyokuwa wakati ule, watu walivyokuwa wakifa kwa Corona na hasa wasaidizi wake.
Nikawa najiuliza, iweje wasaidizi wake wafe, halafu yeye aliyekuwa hataki kujikinga apone? nikaona hii hoja ya kusema Magufuli aliuwawa sio ya kweli.
Lakini nazidi kuona kila siku zinavyozidi kusogea ndio haya maneno ya Magufuli kuuwawa yanazidi kusambaa.
Inawezekana kweli walimuwekea sumu mahali na siku waliyopanga ili kumuua, lakini ushahidi wa hili uko wapi?
Daktari aliyekuwa akihusika kumtibu Magufuli angekuwa mtu muhimu kwenye hili. Bahati mbaya naye hawezi kuongea, labda na Mabeyo aliyekuwa mkuu wa majeshi wakati ule.
Walikuwa wanasema Polepole Ndo BritaniccaKama uliwahi kumsikiliza Polepole kabla hajatekwa amewahi kugusia hilo.
Nitamtafuta youtube. Naanza kuhisi kuna mengi yaliyojificha.Kama uliwahi kumsikiliza Polepole kabla hajatekwa amewahi kugusia hilo.
Hawa wapuuzi wachukuliwe hatua na ICC. Kumbe walimuua Magufuli kwa makusudi ili wapate nafasi ya kupora nchi? Wapuuzi wakubwa!Hizi mambo zichunguzwe aiseeeeeeView attachment 3607033
Huu ujumbe naona una circulate kwenye makundi kadhaa huko whatsap nadhan huyu ndo britanicca wa hapa au wapo tofauti ?
Abanwe na Nani wakati waliomuua ndio wapo madarakani.Abanwe atuambie Nani alimwambia haya
Nenda kaangalie..Nitamtafuta youtube. Naanza kuhisi kuna mengi yaliyojificha.