Kwa mambo yanavyoendelea, napata mashaka na kifo cha Hayati Magufuli

Pengine
hao wasaidizi wake nao waliondolewa kwa njia hiyo hyo ya boss wao ili wasi retaliate kipindi boss wao akiondolewa

Wahuni Huwa Wana mahesabu ya mbali sana

Nakumbuka the late Maiga aliondoka kihuni huni tu
 
Vipi haiwezi kuwa ni njia iliyotumika kuamisha umma ili ionekane kuwa corona ndiyo inapita nao kumbe ni mkakati
 
Wote waliokuwa karibu naye ni kama walikuwa corrupted na wale wabishi ndiyo walianza kupewa sumu na mkadanganywa kuwa wamekufa kwa coronavirus, ilikuwa ni kisingizio rahisi sana na watu hawakuwa wakijiuliza maswali wanapoambiwa kuwa mtu amekufa kwa coronavirus.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…