Kwa mambo yanavyoendelea, napata mashaka na kifo cha Hayati Magufuli

Hizi mambo zichunguzwe aiseeeeeeView attachment 3607033

Huu ujumbe naona una circulate kwenye makundi kadhaa huko whatsap nadhan huyu ndo britanicca wa hapa au wapo tofauti ?
MAGU alimwamini Bashite.

Bashite akapewa Sumu na wahuni, wakamuua.

Ndio maana wahuni wanamlinda Bashite hata avuruge vipi.

Wanampa mavyeo na pesa za wizi tuk
 
Vipi haiwezi kuwa ni njia iliyotumika kuamisha umma ili ionekane kuwa corona ndiyo inapita nao kumbe ni mkakati
Outbreak of COVID-19 ndiyo ilikuwa kisingizio rahisi kukitumia, coronavirus pandemic was global hivyo hata kimataifa iliaminika kirahisi labda tu kwa wale ambao walishakuwa na fununu ya kinachopangwa na wale 'akili nyingi' ambao huwaza deep sana kwenye jambo lolote lile.
 
Mnaoipinga ndo mnatupa mashaka
 
Hizi mambo zichunguzwe aiseeeeeeView attachment 3607033

Huu ujumbe naona una circulate kwenye makundi kadhaa huko whatsap nadhan huyu ndo britanicca wa hapa au wapo tofauti ?
Nimeiona hiyo screenshot, ila mimi ni Tomaso, siamini hii screenshot kuwa ni bonafide genuine, hadi niuonee kwenye link, ya X page ya hiyo tarehe, ndipo nitaamini,
Mkuu Burita, britanicca , naomba the original link tukupe maua yako.
Kulalamika kuwa magufuli kauliwa sio sahihi.
Naunga mkono kwa asilimia 100% chini ya 100%
Maana kama familia yake imekaa kimya ni wazi imeridhika na kile KIFO.
Hakuna familia inaridhika na kifo cha ghafla cha mpendwa wake, bali jambo likiishatokea, ni familia kukubali matokeo, na kukubali ni kazi ya Mungu.
Kama kauliwa toeni ushahidi sio dhana
Naunga mkono hoja, ila mazingira ya kifo chake, yamezingirwa na abrakadbra nyingi sana, you can't rule out speculations, bado maswali ni mengi kuliko majibu, na kama ni kweli chanzo sio kile tulichotangaziwa, siku ya kifo sio ile tuliotangaziwa, taarifa ya kupelekwa Nairobi hospital haikuwahi kukanushwa, taarifa ya kupelekwa India na kukataliwa haikuwahi kutolewa, mimi mwenyewe pia niliuliza Je, leo inaweza kuwa ndio ile siku? Ukweli halisi ni upi? Nini hasa kilitokea na kwanini tulijulishwa baada ya siku 5? sikuwahi kujibiwa na yeyote!.

Pia niliwahi kutoa maangalizo matatu haya
Maadam mimi nilielezwa JPM alipo, Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani, naomba tumwacheni huyu Baba wa watu, apumzike kwa amani!.

P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…