Aisee, naona huyu Britannica yupo mbele ya wakati, mbona imekuwa kweli kabisa. sasa sio unaona wengine wamepewa ubunge na uwaziri isipokuwa huyo duli ndo anazurura na mamake kila pahali? duh!Hizi mambo zichunguzwe aiseeeeeeView attachment 3607033
Huu ujumbe naona una circulate kwenye makundi kadhaa huko whatsap nadhan huyu ndo britanicca wa hapa au wapo tofauti ?
Kuna kosa gani hapo amefanyaAbanwe atuambie Nani alimwambia haya
Mbona polepole kashaweka wazi Kila kitu? Au mwezetu hukuwepo Dunia hii?Hizi mambo zichunguzwe aiseeeeeeView attachment 3607033
Huu ujumbe naona una circulate kwenye makundi kadhaa huko whatsap nadhan huyu ndo britanicca wa hapa au wapo tofauti ?
Makebo yakoKulalamika kuwa magufuli kauliwa sio sahihi.
Maana kama familia yake imekaa kimya ni wazi imeridhika na kile KIFO.
Kama kauliwa toeni ushahidi sio dhana
Kumbe aiseeee basi magufuli aliuwawa
Hizi mambo zichunguzwe aiseeeeeeView attachment 3607033
Huu ujumbe naona una circulate kwenye makundi kadhaa huko whatsap nadhan huyu ndo britanicca wa hapa au wapo tofauti ?
Ukiambiwa uende mahakamani ukatoe ushahidi unaweza?Makebo yako
Niko hapa naangalia ZBC habari live
Mama alichofeli ni kubeba kibubusa dhana ya utengano vile kaaminishwa toka mda Zanzibar inanyonywa kaimeza
Magufuli kauliwa kwa hila alizojenga nyerere kwenye system kwa wasiwasi wake wa kutoamini wenzake.!
Kikwete kameza vile mtu unastaafu lakini bado una nguvu 50 to regain
Hii ikatengeneza disaster tuliyomo the system is aredy dead
Yupo na mifupa na ngozi akijiaminisha uzalendo uliokufa Wacha ajichonyote mpaka afwe
Niende nikahukumiwe kwa katiba ya mkoloni.!Ukiambiwa uende mahakamani ukatoe ushahidi unaweza?
Hii mada inawahusu watanganyika, sasa sijui unawashwa nnKulalamika kuwa magufuli kauliwa sio sahihi.
Maana kama familia yake imekaa kimya ni wazi imeridhika na kile KIFO.
Kama kauliwa toeni ushahidi sio dhana
Na bio ningekuwa bado na acces ya accounting ningeifuta
Hii tweet niliiweka Mwaka 2021 Bashite akanifuata inbox kunitisha nikampelekea motoNapata shaka kama huu ni mwandiko wa britanicca wa jeiefu...
Akiambiwa na naniUkiambiwa uende mahakamani ukatoe ushahidi unaweza?
Hii tweet Nimeikumbuka kabla sijabadili handle ila bado sitaandika mengiNimeuona, ila mimi ni Tomaso, siamini hii screenshot kuwa ni bonafide genuine, hadi niuonee kwenye link, ya hiyo tarehe, ndipo nitaamini,
Mkuu Burita, britanicca , naomba the original link tukupe maua yako.
P
Kuridhika kwa familia hakuwazuii watu kutulia mashaka namna alivyofariki/alivyouawa, familia wana haki ya kuamini wanachokiamini au kuamua kuwa yapite tu hata kama nao wanahisi aliuawa ila hawana haki ya kuzuia hisia na kulalamika kwa watu wengine au watu kutilia mashaka namna alivyofariki.Kulalamika kuwa magufuli kauliwa sio sahihi.
Maana kama familia yake imekaa kimya ni wazi imeridhika na kile KIFO.
Kama kauliwa toeni ushahidi sio dhana