Kwa mambo yanavyoendelea, napata mashaka na kifo cha Hayati Magufuli

Wewe ni nabii mkubwa!
 
Basi acha ujinga wa kutangaza vitu ambayo hauna uhakika navyo Wala ushahidi
Mimi natangaza.!

Kama ulikuwa unadhani TZ ni ile ya mwaka 64 pole

Kama si 60% kwa 70 ya mbugila wa kitaa wanamtazamo huu na hawajakosea

Yupo level ya u waziri alikiri mwenyewe aliwahi kunyweshwa sumu

Yupo raisi anasema anajitoa muhanga kupambana raia masikini.!

Na akafa kweli.! Unataka wa TZ tuone nini.!?

Sawa hatujui kusoma hata picha tusione unataka tuamuliwe namna ya kuona na wengine

Hivi we unadhani ni mara ngapi chaguzi zimepigwa tatu chafu na watu wakaridhika

Iweje ghafla from no where watu wanaandamana na wanapata nguvu tena kwa kichaa kabisa na wanakufa

Eti Sijui mitandao inashawishi watu.! Ujinga

Kuna fukuto kwenye mioyo ya watu na kunataka wenye hekima kushughulika nayo vile hawapo basi
 
Haya.kama kuuliwa atakuja kufufuka aseme
 
Dogo aliempa Magufuli covid ni katika walinzi wake angalia kwa makini akiwa sokoni Morogoro.

Ni ngumu kulaumu watu, hakuna deep state makini ingemuacha pamoja na uihitaji wetu kwake.

Uwezi kuzuia chanjo kwa sababu ya imani zako (that was a grave error). Tatizo labda awakufikiria nani apewe nchi kuendeleza kazi iliyotukuka aliyoianza.

Waliompa nchi Samia mungu anawaona hakuna hata mmoja ataiona pepo kati yao; ni watu wa hovyo mno.
 
Magufuli alipanda Mbegu ya mauaji bila kuulizwa, hatimaye kama ni kweli aliuwawa Mbegu aliyootesha ikamea hadi kumla na yeye. Kama ni kweli aliuwawa basi karma ilafanya kazi yake.
baz kaiza
Wewe utashindwa kumpa mimba mke wako utasingizia Magufuli alishakufa vipi mauaji yameisha ulikua mdogo kipindi mwangosi anakufa?
 
Waliompa nchi Samia mungu anawaona hakuna hata mmoja ataiona pepo kati yao; ni watu wa hovyo mno.
Katiba hii tunayoilalamikia ndiyo imempa Samia nchi, na hiki kipindi chake cha pili wa kulaumiwa ni wanaccm kwa kukubali kuburuzwa na Jakaya Mrisho Kikwete na kumpitisha Samia kihuni kuwa mgombea na hatimaye INEC ikampa nchi kwa gharama ya Watanganyika zaidi ya 10,000 kuuwawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…