Kwa maneno haya ya Idris, ni kweli mimba ya Wema ilitoka!

Kwa maneno haya ya Idris, ni kweli mimba ya Wema ilitoka!

Mkuu hata huo ujumbe Idriss amekopi na kupaste google, dah drama zimezidi, google A letter to my unborn baby. Hapakuwa na ujauzito now confirmed
June 21/2013.....very interesting
 
Yeyote aliye karibu na Wema ampe taarifa kuwa nina tiba ya tatizo lake.


1. Aokote udongo wa njia panda... Auokote saa nane Usiku kinyume nyume akiwa Uchi..


2. Atafute maji ya maiti aliyetelekezwa na ndugu zake.


3. Aniletee chupi ya mwanamke aliyejifungua.


4. Anilletee na majani aina 99...




Hapo naweza kulitoa Jini Chukizo
.





Wema anaongoza ktk Orodha ya Wanawake wanaochukiwa duniani.
 
Yeyote aliye karibu na Wema ampe taarifa kuwa nina tiba ya tatizo lake.


1. Aokote udongo wa njia panda... Auokote saa nane Usiku kinyume nyume akiwa Uchi..


2. Atafute maji ya maiti aliyetelekezwa na ndugu zake.


3. Aniletee chupi ya mwanamke aliyejifungua.


4. Anilletee na majani aina 99...

Hapo naweza kulitoa Jini Chukizo
.
Wema anaongoza ktk Orodha ya Wanawake wanaochukiwa duniani.

Masharti ya waganga wa kienyeji bana!

Umenichekesha sana.

Halafu sijui kwa nini wanawake ndo huwa wahanga wa hawa waganga.

Unakuta kabisa mwanamke anaamini katika huo upuuzi.

Mara nyingi waganga huwa ni wanaume na wateja wao wengi huwa ni wanawake.

Ndo maana kuna tofauti ya kiakili [kwa ujumla] kati ya wanawake na wanaume.
 
Wema huyo........

Ni kweli, na imeniuma sana lakini kwenye hatua maishani mwangu naweza kusema Alhamdulillah kwa kila kitu, Alhamdulillah kwa wote wanaojua uchungu nilio nao na wameonyesha moyo wa kibinadamu, nawashukuru kwa upendo wenu.. MNANIPA NGUVU.

Alhamdulillah kwa wote wanaojua uchungu nilionao na wamefurahia kwasababu zao binafsi. Nawashukuru kwa uwepo wenu, MNANIPA UJASIRI, Alhamdulillah kwa siku ya kesho Ilimradi nina pumzi, SITACHOKA KUJARIBU TENA.

Hata ukikosa, ukakosa, ukokosa eeeeeeh…sema ASANTE, KWELI YEYE NI MUNGU…"
 
Ila mazee, hebu fikiria hili...

Watu wanashinda kwenye mitandao wakiraruana kisa 'mimba ya Wema'.

Mimba ambayo pengine hata haikuwepo.

Jingine la kushangaza zaidi, kwani mimba ni jambo la ajabu hivyo mpaka liwe kivutio kama ilivyokuwa hii 'mimba' ya huyo binti?

Karibu kila siku mimi naona wanawake wenye mimba. Hivyo kwangu ni jambo la kawaida kabisa la kimaisha.

Lakini hiyo ya huyo binti ikawa ni gumzo na chanzo cha watu kuchukua pande na kuanza kurushiana matusi.

Hako katoto katarajiwa kakabatizwa hadi jina eti 'mtoto wa taifa'.

Like, seriously? For real, for real?

Hahahaaa, I mean, you can't make this shit up. It's real.

Good grief....Jesus take the wheel!!!

Hee siyo "katoto" Nyani Ngabu ni "vitoto" eti vilikuwa vipacha. Yaani wonders shall never seize. Haya maisha ya uigizaji kumbe si mazuri maana mpaka maisha halisi unadhani una cheza movie. Mweeee.
 
Hahahahaha.....Ukimgusa wema Idriss kasema hata kaa kimya
 

Attachments

  • 1455730063511.jpg
    1455730063511.jpg
    52.9 KB · Views: 19
Wema alishatuandikiga kuwa hana uwezo wa kuzaa,na akasema siyo mapenzi yake sasa nyie wadanganyika mnadanganywa kuwa kuna vijusi mnaingia box
 

Wema Sepetu amethibitisha kuwa ujauzito wake aliokuwa ameubeba umetoka.

Taarifa hiyo ilianza kusambaa baada ya mpenzi wake Idris Sultan kuandika ujumbe wa kupoteza watoto wake mapacha waliokuwa tumboni bado.

Kupitia Instagram, Wema ameandika:
Ni kweli. Na imeniuma sana lakini nimefika kwenye hatua maishani mwangu naweza kusema Alhamdulillah for everything. Alhamdulillah kwa wote wanaojua uchungu nilionao na wameonyesha moyo wa kibinadamu. Nawashukuru kwa upendo wenu, MNANIPA NGUVU.

Alhamdulillah kwa wote wanaojua uchungu nilionao na wamefurahia kwasababu zao binafsi. Nawashukuru kwa uwepo wenu, MNANIPA UJASIRI.

Alhamdulillah kwa siku ya kesho. Ilimradi nina pumzi, SITACHOKA KUJARIBU TENA. Hata ukikosa, ukakosa, ukokosa eeeeeeh…sema ASANTE, KWELI YEYE NI MUNGU. Alhamdulillah for EVERYTHING!

Pole Wema.
 
Idrissa atakua kalipwa igiza hiyo drama
Ni heri iwe hivyo mana watakuwa wanaingiza hela vinginevyo kwa kweli nazitilia shaka akili zao, kujitoa thamani bila sababu!!!!!

Sent from my Y3S using JamiiForums mobile app
 
alitakiwa kukaa kimy co kujitangaza na kumbeza ex wake , sio wote wananena vizuri kuhusu mimba xo ajifunze
 
Ha ha ha bibi bomba haishi vituko! Atakuja na lingine tuu! Nay mpiga ramli nae.
 
Back
Top Bottom