Waseme
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 2,603
- 4,082
June 21/2013.....very interestingMkuu hata huo ujumbe Idriss amekopi na kupaste google, dah drama zimezidi, google A letter to my unborn baby. Hapakuwa na ujauzito now confirmed
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
June 21/2013.....very interestingMkuu hata huo ujumbe Idriss amekopi na kupaste google, dah drama zimezidi, google A letter to my unborn baby. Hapakuwa na ujauzito now confirmed
Hatimaye tunakaribia mwisho wa hii tamthiliya ya mimba.
Sidhani kama kulikuwa na mimba yoyote.
Yeyote aliye karibu na Wema ampe taarifa kuwa nina tiba ya tatizo lake.
1. Aokote udongo wa njia panda... Auokote saa nane Usiku kinyume nyume akiwa Uchi..
2. Atafute maji ya maiti aliyetelekezwa na ndugu zake.
3. Aniletee chupi ya mwanamke aliyejifungua.
4. Anilletee na majani aina 99...
Hapo naweza kulitoa Jini Chukizo
.
Wema anaongoza ktk Orodha ya Wanawake wanaochukiwa duniani.
Ila mazee, hebu fikiria hili...
Watu wanashinda kwenye mitandao wakiraruana kisa 'mimba ya Wema'.
Mimba ambayo pengine hata haikuwepo.
Jingine la kushangaza zaidi, kwani mimba ni jambo la ajabu hivyo mpaka liwe kivutio kama ilivyokuwa hii 'mimba' ya huyo binti?
Karibu kila siku mimi naona wanawake wenye mimba. Hivyo kwangu ni jambo la kawaida kabisa la kimaisha.
Lakini hiyo ya huyo binti ikawa ni gumzo na chanzo cha watu kuchukua pande na kuanza kurushiana matusi.
Hako katoto katarajiwa kakabatizwa hadi jina eti 'mtoto wa taifa'.
Like, seriously? For real, for real?
Hahahaaa, I mean, you can't make this shit up. It's real.
Good grief....Jesus take the wheel!!!
Ni heri iwe hivyo mana watakuwa wanaingiza hela vinginevyo kwa kweli nazitilia shaka akili zao, kujitoa thamani bila sababu!!!!!Idrissa atakua kalipwa igiza hiyo drama
Kujua nini wadau?Du ney sijui alijua