chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,969
Alikuwa akihojiwa na Dar24 na kuulizwa kuhusu minong'ono ya watu kuwa Magufuli huenda hakufariki kwa ugonjwa uliotajwa kweli na kuwa huenda aliuawa
Polepole akakwepa kujibu swali hilo na kusema mtu akishakufa yeye hamzungumzii tena (hata Rais wa nchi?)
Polepole ambaye alikua moja ya watu wa karibu sana na Magufuli kabla hajafa, na kwa sababu hiyo lazima atakuwa anajua mengi kuhusu kuumwa hadi kufariki kwa Magufuli
Na wafuasi wengi wenye hii minong'ono ni wale wanamuunga mkono na kumuamini Polepole kama mfuasi wa kweli wa Magufuli aliyebaki, angesema ndio ni matatizo ya moyo yalimuondoa basi ingepungua sana kama sio kuisha
Kwa nini anashikwa na kigugumizi ku back up taarifa aliyotoa Rais kuwa Magufuli alifariki kwa ugonjwa wa moyo wakati anajua ni kweli kuna minong'ono?
Kusema hawezi kuzungumzua kifo cha Magufuli kuugua kwake kuliambatana na usiri mkubwa haoni kuwa anazidi kuongeza nguvu kwenye hiyo minong'ono?
Video