Kwa maneno haya ya Polepole inamaanisha kifo cha Magufuli kina mchezo mchafu ndani yake?

Kwa maneno haya ya Polepole inamaanisha kifo cha Magufuli kina mchezo mchafu ndani yake?

Ni COVID-19 hata kama ukweli hausemwi. Magu alikuwa mpumbavu mpaka kudharau COVID.

Na huo upumbavu wake umegharimu maisha ya watu wengi, yeye mwenyewe pamoja na watu wake wa karibu.

Philipp Mpango aliponea CHUP CHUP.

Imagine, hawa wote wamefanyiwa Coup 👇👇

View attachment 2059453
Upumbavu wako tunaupima .
Tangu JPM afe
Je CoVID 19 haijaua ?
Kama imeua
Basi umeandika upumbavu. Kaombe msamaha kaburi LA mzee JPM
 
aisee magufuli sio wa kwanza kufa humu duniani, hata sisi tulishafiwa na ndugu zetu tutoleeni upumbavu humu, yeye alikua na hatimiliki ya kuishi daima?

Screenshot_20211029-110122.png
 
Alikuwa akihojiwa na Dar24 na kuulizwa kuhusu minong'ono ya watu kuwa Magufuli huenda hakufariki kwa ugonjwa uliotajwa kweli na kuwa huenda aliuawa

Polepole akakwepa kujibu swali hilo na kusema mtu akishakufa yeye hamzungumzii tena (hata Rais wa nchi?)

Polepole ambaye alikua moja ya watu wa karibu sana na Magufuli kabla hajafa, na kwa sababu hiyo lazima atakuwa anajua mengi kuhusu kuumwa hadi kufariki kwa Magufuli

Na wafuasi wengi wenye hii minong'ono ni wale wanamuunga mkono na kumuamini Polepole kama mfuasi wa kweli wa Magufuli aliyebaki, angesema ndio ni matatizo ya moyo yalimuondoa basi ingepungua sana kama sio kuisha

Kwa nini anashikwa na kigugumizi ku back up taarifa aliyotoa Rais kuwa Magufuli alifariki kwa ugonjwa wa moyo wakati anajua ni kweli kuna minong'ono?

Kusema hawezi kuzungumzua kifo cha Magufuli kuugua kwake kuliambatana na usiri mkubwa haoni kuwa anazidi kuongeza nguvu kwenye hiyo minong'ono?

Video

View attachment 2059441
Alidharau kujikinga na covid 19, ikamsambaratisha
 
Ni COVID-19 hata kama ukweli hausemwi. Magu alikuwa mpumbavu mpaka kudharau COVID.

Na huo upumbavu wake umegharimu maisha ya watu wengi, yeye mwenyewe pamoja na watu wake wa karibu.

Philipp Mpango aliponea CHUP CHUP.

Imagine, hawa wote wamefanyiwa Coup 👇👇

View attachment 2059453

It’s a coup!
 
Alikuwa akihojiwa na Dar24 na kuulizwa kuhusu minong'ono ya watu kuwa Magufuli huenda hakufariki kwa ugonjwa uliotajwa kweli na kuwa huenda aliuawa

Polepole akakwepa kujibu swali hilo na kusema mtu akishakufa yeye hamzungumzii tena (hata Rais wa nchi?)

Polepole ambaye alikua moja ya watu wa karibu sana na Magufuli kabla hajafa, na kwa sababu hiyo lazima atakuwa anajua mengi kuhusu kuumwa hadi kufariki kwa Magufuli

Na wafuasi wengi wenye hii minong'ono ni wale wanamuunga mkono na kumuamini Polepole kama mfuasi wa kweli wa Magufuli aliyebaki, angesema ndio ni matatizo ya moyo yalimuondoa basi ingepungua sana kama sio kuisha

Kwa nini anashikwa na kigugumizi ku back up taarifa aliyotoa Rais kuwa Magufuli alifariki kwa ugonjwa wa moyo wakati anajua ni kweli kuna minong'ono?

Kusema hawezi kuzungumzua kifo cha Magufuli kuugua kwake kuliambatana na usiri mkubwa haoni kuwa anazidi kuongeza nguvu kwenye hiyo minong'ono?

Video

View attachment 2059441
Wana sgang Kuna sinema Gani mnataka kutuchezea wadanganyika?
 
aisee magufuli sio wa kwanza kufa humu duniani, hata sisi tulishafiwa na ndugu zetu tutoleeni upumbavu humu, yeye alikua na hatimiliki ya kuishi daima?
Tena wasitujazie server kwa upuuzi wa namna hii!
 
Wajinga tu ndo hawawezi jua hii movie ilichezwaje, changa la macho ili tujuwe corona kisa watu wake wa karibu wamekufa .
Hata hivyo Tanzania hakuna Rais aliyewahi kufa mwenyewe tu kawaida.

Waswahili tunaamini mtu hawezi kufa hivi hivi tu.

Akifa mtu wa mtaani tu lazima kuna mkono wa mtu.

Akifa kiongozi lazima kauawa au karogwa.

Tangu enzi za Karume na Sokoine kuuawa na Nyerere mpaka leo ni nani bado hawajui WASWAHILI.
 
Anajifanya kuihamishia kinyemela Shule yake ya uongozi Dar24 siyo?
 
Hata kama asingesema ni kweli let alone kuruka swali maneno yake hayawezi kutumika kama evidence, hana credibility
 
Pole pole alikuwa amefikia juu sana. Alikuwa na mamlaka makubwa sana ya kumhoji yeyote ndani ya taifa hili.

Wakati huo alikuwa na kipindi chake Channel Ten anajifanya anatatua shida za wananchi, anampigia simu kiongozi yeyote wakati wowote hata usiku wa manane kumhoji atoe majibu.

Sasa hayo madaraka yamemponyoka ghafla sana. Hapo alipo kiakili hayuko sawa, bado ana HANG OVER ya MADARAKA.

Na kibaya zaidi bado anaihitaji SIASA lakini akiangalia haoni FUTURE. Maana hayuko kwenye Chama wala serikalini na hata akienda kugombea huko CCM kwenye kura za maoni hawezi kupita.

Sasa sasa hivi anachofanya ni kutafuta mashabiki kwa kujifanye yeye ni mtetezi wa watu.

Hakuma kingine cha maana.
Moja ya wahuni tulioachiwa na magufuli ni polepole
 
Uyu jamaa ni was kupuuzwa sana maana kipindi kilewatu wanaokotwa kwenye mifuko wakielea mtoni, watu wanapigwa na kutishiwa maisha waziwazi, watu wanatekwa, watu wanapigwa risasi mchana jua linawaka na alikua asemi chochote, eti Leo hii anajiita mwanaharakati!!! Pumbavu kabisa uyu au anatufanya sisi wajinga km yeye? Mm cku iz nikikuta MTU anaongelea issue za polepole kumuona km mwanaharakati namuona mjinga na mpumbavu. Swine
 
Back
Top Bottom