Kwa maneno ya Rais Samia nyaraka zilizovuja mtandaoni kuhusu tuhuma za Ufisadi ni za kweli

Mimi sitojilimbikizia kabisaa na mali zangu ntazikabizi kwa Dr am 4 real foundation ☺️😁
 
Huyu mzanzibar mambo ya kuongea na kukemea huwa hakemei, ila mambo yasiokuwa na ulazima wa kuyaongelea ndio anakaza shingo kuyaongelea.

Yaani suala la watumishi wa uma ambao wengi ni machawa wake kusambaza nyaraka za serikali mitandaoni limemuuma kuliko hata matukio ya mauaji yanayoendelea nchini.
 
Mbona Burkina Faso nasikia wanaenjoy life?
 
Wanazidi kujionesha namna wasivyofaa kwa Watanzania.
 
Ufisadi wa kutisha wakati Watanzania wanapitia ufukara wa kutisha kabisa.


TUNDU LISSU 2025 MAMA RUDI UNGUJA.
 
Ufisadi wa kutisha wakati Watanzania wanapitia ufukara wa kutisha kabisa.
View attachment 3343831
View attachment 3343832
TUNDU LISSU 2025 MAMA RUDI UNGUJA.
Wanakwambia kufichua ufisadi wao sio uzalendo.

Wametengeneza tafsiri mpya ya uzalendo sasaivi na kwa tafsiri yao uzalendo ni kuwa chawa kwao, kiwalamba miguu, kuwasifia na kutosema chochote juu ya mabaya yao ikiwemo namna wanavyosifisadi pesa za masikini wa Taifa hili.
 
Majizi ya Mali ya Umma yanalindwa na mfumo wa umma wenyewe,mpaka kufikia Oktoba Kuna mengi sana yatasikika.
 
Uzalendo kwa tafsiri ya sasa ni kuwa mtiifu kwa kiongozi kwa kile kinacho itwa kulinda mamlaka.
 
Wapuuzi hao,, whistle blowers ni wazalendo wa kweli na wanastahili maua yao na kwasababu huyu Mama keshakuwa Dikteta basi tunawaomba wajilinde 🫑🫑🫑🫑🫑 saluti yangu kwao.

FREE TUNDU LISSU! NO REFORMS NO ELECTION
 
Na nyie mpunguze kuonja za jikoni.. Chakula kinatufikia kidogo huku.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mkuu Shadow7 unakuta zimeshaingia kwenye Account, huna cha kufanya. Watanzania wameridhika na hii hali, ya wachache watajirike kupitia nguvu zao. Wangekuwa wakali, nani angethubutu kuchezea pesa za umma kiasi hiki?
 
Wapuuzi hao,, whistle blowers ni wazalendo wa kweli na wanastahili maua yao na kwasababu huyu Mama keshakuwa Dikteta basi tunawaomba wajilinde 🫑🫑🫑🫑🫑 saluti yangu kwao.

FREE TUNDU LISSU! NO REFORMS NO ELECTION
Anaongea hayo hajui nchi yetu ina Sheria kabisa ya kuwalinda watoa taarifa za siri za Ufisadi. Sheria hiyo ni Whisleblower and Witness Protection Act na ilitungwa na kupitishwa kabisa na Bunge.
 
Anaongea hayo hajui nchi yetu ina Sheria kabisa ya kuwalinda watoa taarifa za siri za Ufisadi. Sheria hiyo ni Whisleblower and Witness Protection Act na ilitungwa na kupitishwa kabisa na Bunge.
Mama keshakuwa DIKTETA hakuna Katiba wala Sheria zinazofuatwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…