Wawakumbushe watawala umuhimu wa kuheshimu katiba.Unstaka JWTZ wachukue hatua gani?

DuuuhFake news.
Google search ndogo tu inakuonesha hivi.
"Did Traore pay off national debt?"
AI Overview
No, Burkina Faso, under the leadership of Ibrahim Traoré, has not paid off its entire national debt.
While there have been claims circulating on social media suggesting that Burkina Faso has cleared its international debts, these claims are not supported by evidence and have been refuted by fact-checking organizations.
Here's a breakdown of the situation:
External Debt: Burkina Faso continues to hold a significant external debt. A Reuters fact-check from April 2025 indicated that Burkina Faso had arrears of approximately $5.6 billion to international creditors by the end of 2024.
Debt to China: It's also important to note that Burkina Faso owes an undisclosed amount of money to China, with no information suggesting this debt has been repaid.
Domestic Debt: Some social media users have also claimed that the government paid off $4.7 billion in domestic debt, but these claims also lack evidence.
In summary, despite claims to the contrary, there's no credible evidence to suggest that Burkina Faso has paid off its national debt under Ibrahim Traoré's leadership.
Hisani haichukui nafasi ya haki iliyozuiliwa.Huduma za kijamii zinazorota, halafu kuna kenge zinafurahia
Hajawalalamikia walaji kwa urefu wa kamba zao yeye anawalalamikia wanaofungua kamba za walaji. Ili waonekane wanakula bila kamba. "Lijitu "Si.alisema.wale kwa urefu wa kwamba mbona analalama tena
Mbona wamefanya unyama wakutisha kwanini wasinge mrudisha kwao kwa njia njema na NZURIIKuna mambo usiulize mkuu ingia tu Google then search taarifa zipo wazi hadi Wiara ya Mambo ya Nje ya Marekani wametoa tamko.
Hawa hawa walioshindwa kumpiga kunguru Goma? 😳Unstaka JWTZ wachukue hatua gani?
Hii nchi mpaka hapa ilipofikia, inamhitaji kijana aina ya Ibrahim Traore. Akitokea na kufanya jambo, naamini wahuni wengi watakimbilia kwa wale mabwana zao wa Kiarabu wanaotaka kuwauzia nchi yetu.Akiwaapisha Viongozi mbalimbali leo, Rais Samia ameelezea kushuka kwa maadili ya Viongozi wa Umma na Watumishi hadi kufikia nyaraka za Serikali kupigiwa picha na Watumishi na kurushwa kwenye Mitandao ya Kijamii.
Kwa maneno haya aliyotamka Rais leo hii, ni uthibitisho tosha kuwa tuhuma nzito za ufisadi wa kutisha unaofanywa na Rais Samia na Watu wake wa karibu wakiwemo Viongozi wa juu kama zilivyoripotiwa na Mwanamitandao na Mwanaharakati Mange Kimambi ni za kweli.
Kwa maneno aliyotamka leo Rais Samia. Ni uthibitisho tosha kuwa bado Tanzania tuna watumishi wachache ambao ni Wazalendo kweli na wanaumia kuona Viongozi wachache wakijinufaisha binafsi kwa kuiba kodi za masikini wa Tanzania na hivyo kuamua kuanika maovu hayo hadharani.
Napenda kuwapongeza watumishi wazalendo kweli ambao wamechoshwa na namna Wanasiasa na Viongozi wachache wanavyolifisadi hili taifa kwa kiwango cha kutisha tena kwa fedha na mali za walipakodi masikini wa Taifa hili.
Hongera pia Mange Kimambi. Wewe ni mzalendo kweli na Taifa hili litakukumbuka daima kwa namna ulivyosimama kuwatetea masikini wake ambao wamenyimwa haki ya kuzungumza na Watawala makatili.
Hitimisho.
Lawama zangu siku zote nitazielekeza kwa JWTZ maana wao wana kiapo cha kuilinda Katiba kwa uzalendo mkubwa alafu hawachukui hatua stahiki dhidi ya hawa Wanasiasa na Viongozi ambao wanainajisi katiba kwa kiwango cha kutisha kwa kufanya ufisadi dhidi ya Watanzania masikini.
Lord denning
Mwanza
Aisee.... Ile document wakati naiona nilikuwa siamini aisee....Kuna waliosema zile nyaraka za Mange zilikuwa famba, oneni sana mwenye nyaraka zake amezitambua kuwa ni zenyewe.
Katiba yenyewe inatueleza dhana ya "Civilian control of the military".Wawakumbushe watawala umuhimu wa kuheshimu katiba.
Kama ambavyo taifa lenye nguvu lilivyoongizwa na Wahuni kupitia Rais mgonjwa!Yule rais wao Traore ana jeshi la wanajeshi halafu ana jeshi la watu wanaotumia AI mitandaoni kujaza uongo, kwa hiyo kwa watu wasiojua kuchambua habari ni rahisi sana kuamini ujinga wanaojazwa.
Kama anapendwa sana jivyo asingekataa kuingia kwenye uchaguzi na kupata kura za watu. Alikataa uchaguzi mwaka 2024.
Juzi juzi hapa kaua watu wao wa kabila la WaFulani kibao.
Lakini watu wasiofuatilia hawajui hilo.
Hapana,Hawa hawa walioshindwa kumpiga kunguru Goma? 😳
Bosi wa wanajeshi anateuliwa na nani?Akiwaapisha Viongozi mbalimbali leo, Rais Samia ameelezea kushuka kwa maadili ya Viongozi wa Umma na Watumishi hadi kufikia nyaraka za Serikali kupigiwa picha na Watumishi na kurushwa kwenye Mitandao ya Kijamii.
Kwa maneno haya aliyotamka Rais leo hii, ni uthibitisho tosha kuwa tuhuma nzito za ufisadi wa kutisha unaofanywa na Rais Samia na Watu wake wa karibu wakiwemo Viongozi wa juu kama zilivyoripotiwa na Mwanamitandao na Mwanaharakati Mange Kimambi ni za kweli.
Kwa maneno aliyotamka leo Rais Samia. Ni uthibitisho tosha kuwa bado Tanzania tuna watumishi wachache ambao ni Wazalendo kweli na wanaumia kuona Viongozi wachache wakijinufaisha binafsi kwa kuiba kodi za masikini wa Tanzania na hivyo kuamua kuanika maovu hayo hadharani.
Napenda kuwapongeza watumishi wazalendo kweli ambao wamechoshwa na namna Wanasiasa na Viongozi wachache wanavyolifisadi hili taifa kwa kiwango cha kutisha tena kwa fedha na mali za walipakodi masikini wa Taifa hili.
Hongera pia Mange Kimambi. Wewe ni mzalendo kweli na Taifa hili litakukumbuka daima kwa namna ulivyosimama kuwatetea masikini wake ambao wamenyimwa haki ya kuzungumza na Watawala makatili.
Hitimisho.
Lawama zangu siku zote nitazielekeza kwa JWTZ maana wao wana kiapo cha kuilinda Katiba kwa uzalendo mkubwa alafu hawachukui hatua stahiki dhidi ya hawa Wanasiasa na Viongozi ambao wanainajisi katiba kwa kiwango cha kutisha kwa kufanya ufisadi dhidi ya Watanzania masikini.
Lord denning
Mwanza
Kwanini unataka kufanya Marekani iwe ndiyo topic wakati hatuzungumzii Marekani hapa?Kama ambavyo taifa lenye nguvu lilivyoongizwa na Wahuni kupitia Rais mgonjwa!
Jake Tapper and 1 more
Original Sin: President Biden's Decline, Its Cover-Up, and His Disastrous Choice to Run Again
Hivi kuna mtu ambaye alitilia mashaka nyaraka zile alizoweka Mange? Idi Amini Mama ni jambazi sugu full stop, hatuhitaji kauli yakeAkiwaapisha Viongozi mbalimbali leo, Rais Samia ameelezea kushuka kwa maadili ya Viongozi wa Umma na Watumishi hadi kufikia nyaraka za Serikali kupigiwa picha na Watumishi na kurushwa kwenye Mitandao ya Kijamii.
Kwa maneno haya aliyotamka Rais leo hii, ni uthibitisho tosha kuwa tuhuma nzito za ufisadi wa kutisha unaofanywa na Rais Samia na Watu wake wa karibu wakiwemo Viongozi wa juu kama zilivyoripotiwa na Mwanamitandao na Mwanaharakati Mange Kimambi ni za kweli.
Kwa maneno aliyotamka leo Rais Samia. Ni uthibitisho tosha kuwa bado Tanzania tuna watumishi wachache ambao ni Wazalendo kweli na wanaumia kuona Viongozi wachache wakijinufaisha binafsi kwa kuiba kodi za masikini wa Tanzania na hivyo kuamua kuanika maovu hayo hadharani.
Napenda kuwapongeza watumishi wazalendo kweli ambao wamechoshwa na namna Wanasiasa na Viongozi wachache wanavyolifisadi hili taifa kwa kiwango cha kutisha tena kwa fedha na mali za walipakodi masikini wa Taifa hili.
Hongera pia Mange Kimambi. Wewe ni mzalendo kweli na Taifa hili litakukumbuka daima kwa namna ulivyosimama kuwatetea masikini wake ambao wamenyimwa haki ya kuzungumza na Watawala makatili.
Hitimisho.
Lawama zangu siku zote nitazielekeza kwa JWTZ maana wao wana kiapo cha kuilinda Katiba kwa uzalendo mkubwa alafu hawachukui hatua stahiki dhidi ya hawa Wanasiasa na Viongozi ambao wanainajisi katiba kwa kiwango cha kutisha kwa kufanya ufisadi dhidi ya Watanzania masikini.
Lord denning
Mwanza
Habari za Mange ukiziamini maana yake wewe una matatizo binafsi.Akiwaapisha Viongozi mbalimbali leo, Rais Samia ameelezea kushuka kwa maadili ya Viongozi wa Umma na Watumishi hadi kufikia nyaraka za Serikali kupigiwa picha na Watumishi na kurushwa kwenye Mitandao ya Kijamii.
Kwa maneno haya aliyotamka Rais leo hii, ni uthibitisho tosha kuwa tuhuma nzito za ufisadi wa kutisha unaofanywa na Rais Samia na Watu wake wa karibu wakiwemo Viongozi wa juu kama zilivyoripotiwa na Mwanamitandao na Mwanaharakati Mange Kimambi ni za kweli.
Kwa maneno aliyotamka leo Rais Samia. Ni uthibitisho tosha kuwa bado Tanzania tuna watumishi wachache ambao ni Wazalendo kweli na wanaumia kuona Viongozi wachache wakijinufaisha binafsi kwa kuiba kodi za masikini wa Tanzania na hivyo kuamua kuanika maovu hayo hadharani.
Napenda kuwapongeza watumishi wazalendo kweli ambao wamechoshwa na namna Wanasiasa na Viongozi wachache wanavyolifisadi hili taifa kwa kiwango cha kutisha tena kwa fedha na mali za walipakodi masikini wa Taifa hili.
Hongera pia Mange Kimambi. Wewe ni mzalendo kweli na Taifa hili litakukumbuka daima kwa namna ulivyosimama kuwatetea masikini wake ambao wamenyimwa haki ya kuzungumza na Watawala makatili.
Hitimisho.
Lawama zangu siku zote nitazielekeza kwa JWTZ maana wao wana kiapo cha kuilinda Katiba kwa uzalendo mkubwa alafu hawachukui hatua stahiki dhidi ya hawa Wanasiasa na Viongozi ambao wanainajisi katiba kwa kiwango cha kutisha kwa kufanya ufisadi dhidi ya Watanzania masikini.
Lord denning
Mwanza
Simuoni hata mmoja mwenye viashiria vya uzalendo jeshini zaidi ya uchawa.Hapana,
Hata kama wangekuwa na uwezo mkubwa kabisa.
Kauli hizi zimekuwa zikisemwa kabla hata wewe haujazaliwa, pengine utakufa bila kuona chochote kikitokea Tanzania hii.Ni suala la Muda tu, Tanzania LITATOKEA Jambo kubwa sana Sana.
Hakuna atakayeishi milele! Wote Sisi tuko kwenye foleniKauli hizi zimekuwa zikisemwa kabla hata wewe haujazaliwa, pengine utakufa bila kuona chochote kikitokea Tanzania hii.
Kuna kipindi nilifikisika kweli nikajua tabia ya mama watoto😅, alikuwa mbusi kwelikweli 😁.Indeed 😁
Ila waswahili husema ""PATA PESA UIJUE TABIA YAKO....FILISIKA TUJUE YA MKEO""
Tupieni hiyo video basiAmeenda mbali zaidi na kuwa shauri wawe makini katika kula kwa urefu wa kamba pia ame toa njia za kuficha mali bila kujulikana