Kwa maneno ya Rais Samia nyaraka zilizovuja mtandaoni kuhusu tuhuma za Ufisadi ni za kweli

Mimi nina mtazamo tofauti kabisa.

Nakataa kwamba wananchi tumekosa nguvu ya kuwaondoa watawala wasiofaa.

Wananchi tupo zaidi ya milioni 60 na jana nimeona makadirio mapya yanayosema tumeshavuka milioni 70!

Nakuhakikishia kuwa hakuna jeshi wala kundi jingine lolote lile linaloweza kutuzuia, endapo tutaamua.

JWTZ haina risasi milioni 70! Haina mizinga milioni 70. Haina vifaru milioni 70.

Vivyo hivyo kwa polisi na hata magereza.

Tumeshashuhudia kwingineko duniani wananchi wakiwaondoa watawala toka madarakani kwa nguvu ya umma.

Hilo hata Tanzania linawezekana.

Ni suala la uamuzi tu.

Hao walinzi wa Samia hawafui dafu mbele ya hata umati wa watu 10,000 tu.

Leo hii watu milioni moja wakiamua kwenda kumfurusha Samia toka ikulu, nani atawazuia?

Ndiyo, kutakuwepo na gharama zake lakini mshindi anajulikana atakuwa nani.
 
Kuji organize hao watu 70 millions, kazi kweli kweli maana wengine wakipewa msosi na njaa zetu wanavujisha mpango mzima.
 
Uzoefu unaonesha hata kule maandamano ya Wananchi yalipofanikiwa watu wa mwisho kuwageuka Viongozi waliokuwa madarakani ni Wanajeshi.

Jeshi ndo lilimwambia Ben Ali kule Tunisia ondoka na usipoondoka tutaacha wananchi wavamie makazi yako.

Jeshi ndo lilimwambia Sheikh Hasina Bangaleshi hatuwezi kuendelea kukamata Wananchi na Vijana kwa hiyo ondoka.

Same to Thailand na kwingineko.

Hoja yangu ni kwamba Popular movement ya wananchi ili ikamilike na kushinda ni lazima siku ya mwisho Jeshi liungane na Wananchi.
 
Niwe mkweli sijajua yupo strongest kwenye nini? Nikipima mizania naona ana weakness nyingi sana kuliko strongest.
 
😆😆😆😆😆
 
Kwa uliyopitia kipindi cha Magufuli bado unataka CCM waendelee kutawala nchini Tanzania?

Acha kujitoa ufahamu we msukuma. Wasukuma wenzako nipo nao hapa Mwanza hawana akili za kipuuzi hivyo.
Kosa langu kubwa siku zote ni kuwa mkweli daima, sasa ukweli kuhusu siasa zetu,Tanzania tuna chama kimoja tuu cha siasa kwa chama cha siasa as chama cha siasa capable with capability,its the one and only CCM!Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
P
 
Wale Chawa waliokuwa wakisema hizo Documents ni fake na kufungua nyuzi humu kutuaminisha kuwa ni fake wameungia mitini😂😂😂😂🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…