Habarini wakuu nimekuwa nikifikiri deepdown kwa muda mrefu,
● Hivi mfumo wa ndoa kwa hapa Tanzania ni kama family ya kike inamuuza mtoto wa kike kwa mwanaume but wameifanyia camouflage iitwe kwa MAHALI
● Pili sidhani kama Mungu analiafiki hilo maana hata maandiko hakuna sehemu yamebariki hicho hicho kitendo
● Ila kwakuwa mfumo wa dunia kuna baadhi ya vitu havipo sawa ila wanavifanya vionekane sawa
Kwa mantiki hii hata wanandoa wengi ni wanunuzi wa wanawake ila utofauti na hawa wanaonunua makahaba ni mmoja ananunua for long run mwingine for short time
NB: Usitumie mihemko kureply tumia logic mantiki ya mahali ni nini?