Kwa mantiki hii, Kila mwanaume amewahi kumnunua mwanamke

donga

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2017
Posts
2,560
Reaction score
5,245
Habarini wakuu nimekuwa nikifikiri deepdown kwa muda mrefu,

● Hivi mfumo wa ndoa kwa hapa Tanzania ni kama family ya kike inamuuza mtoto wa kike kwa mwanaume but wameifanyia camouflage iitwe kwa MAHALI

● Pili sidhani kama Mungu analiafiki hilo maana hata maandiko hakuna sehemu yamebariki hicho hicho kitendo

● Ila kwakuwa mfumo wa dunia kuna baadhi ya vitu havipo sawa ila wanavifanya vionekane sawa

Kwa mantiki hii hata wanandoa wengi ni wanunuzi wa wanawake ila utofauti na hawa wanaonunua makahaba ni mmoja ananunua for long run mwingine for short time

NB: Usitumie mihemko kureply tumia logic mantiki ya mahali ni nini?
 
Japo wanajifanya wanataka haki sawa na wanaume, ukweli utabaki palepale kuwa wanawake waliumbwa ili wawe pumbazo la starehe kwa wanaume.

Ili upumbazwe vizuri, lazima ulipie na hapo ndipo swala la kuuza na kununua linapokuja.

Huyo dada anaejiita feminist, siku akipewa zawadi ya iphone na bwana'ke, atahakikisha anamyonya mpaka kusiponyonyeka. Mwenyewe atahisi anaonyesha furaha ya simu lakini kiuhalisia keshatoa huduma kwa malipo ya simu.

Kihalisia kila mwanamke anajiuza malipo na aina ya uuzaji ndio inatofautiana.

Tukiwamithilisha na nyumba, kuna wale wanaopangisha nyumba zao kwa kodi ya kila siku kwa wapangaji tofauti (makahaba), wapangaji wa miezi/miaka kadhaa (michepuko na mademu) na wale wanaopangisha nyumba zao milele kwa malipo ya awali ya mkupuo (mahari) na michango midogo midogo endelevu ya marekebisho/uendeshaji wa nyumba (mke).
 

Wazungu hawatoi Mahari.
Kutoa Mahari ni kumkandamiza na kumdhalilisha Mwanamke
 
Hiyo post yako imenifanya nicheke sana. Naunga mkono Hoja for 95%. Kuna kipindi niliitwa kusuluhisha ugomvi wa Mjomba (mtoto wa dada) na mkewe. Chanzo cha ugomvi MATUMIZI MADOGO anamuachia elfu 8 kwa siku (mke na mtoto mmoja) mke akawa anagomba eti hela haitoshi kwa hiyo ili kuhimiza mwanaume aongeze matumizi mke akawa anamnyima uchi mme wake. Mwanaume kuona hivyo Badala ya kuongeza matumizi akapunguza akawa anaacha elfu 6 kisha ile elfu 2 ameikata akawa anaenda zake buguruni kununua uchi [emoji1787][emoji1787][emoji1787] maisha yakaendelea kimya kimya.
 
Huu ni utumwa kama utumwa wa wazungu kipindi icho ila hapa umelainishwa kwa mahari
 
Ndoa ya kweli navojua haihusiani na kuanza kuagizwa cjui blanket la mjomba
Mara mkaja wa babu cjui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…